Header Ads

Header ADS

NIPUNGUZE NYEGE SEHEMU~16



By Steve
WhatsApp 0765441971
Umri ✝️🔞
________ILIPOISHIA________
Mama Halima bado walikua kwenye mazungumzo na Mr Alben
""Kwa hiyo wewe unataka Nini!?""
""Nataka nikuoe au la sivyo utayaona mauti yako na kila umpendae akiteketea!!""
""Eeeh? We mzee mzima akili yako??""
_________SONGA NAYO________
Mr Alben aliendelea kuzungumza
""Kama hutaki Sina la kukusaidia,nakupa siku mbili ufikirie!!""
"Kumbuka kua hata mmeo na baba yako! Mi ndo niliyewapoteza uhai!!""
""Nini??""
Mama Halima alizidi kupandwa na hasira
""Kumbe wewe kizee ndo uliyemwondoa uhai mme wangu kipenzi??""
""Kumbe wewe ndo uliyemwondoa uhai baba yangu kipenzi??""
""Hahaha,Sina jinsi mlaumu baba yako kwa maamuzi Yake ya kipuuzi!! Alidhani atanikwepa Mimi ?? Chichichichiiii Mimi ndo Mr Alben hakuna anaekatiza mbele yangu na kubaki salama! Nimekupa siku mbili ufikirie""
Mama Halima aliondoka pale kwa hasira na kurudi nyumbani huku akiwa na mawazo tele,hakuwahi kujua kuwa mmewe alipoteza maisha pasipo siku zake kuwadia...
Mbaya zaidi Ni kumhusisha asiyehusika ambae Ni Dr July
Mmh Dr July Hana hata mtoto wa kumsingizia halafu ndo hivyoooo kapata ajali mbaya na kurudi tena kuwa Kama mwanamme Ni big no...
Kutokana na mawazo aliyokua nayo mama Halima,kichwa chake kilikua kizito,Sana hakuna Jambo alilolifikiria na kulifanya kwa siku hiyo likakamilika,mwili ulikua mzito,moyo wake ulikua na kovu kubwa Sana ambalo lilivuja machozi ya damu!! Alizoea kuishi maisha ya raha na furaha lakini hakujua kua maisha Yake nyuma ya pazia mengi yalitendeka Tena maovu mno!!
""Mama mbona hivyo jamani,Kuna shida gani??""
Halima aliuliza maana hakumzoea mama Yake kuwa katika huzuni na uzito Kama aliokua nao siku hiyo!!
""Hamna tatizo mwanangu!!""
""Mama! Mi nakujua mama yangu!! Usinifiche unaonekana una mawazo mengi Sana mama yangu!!""
""Mwanangu usiwe na Shaka ,Ni kwa sababu ya uchovu wa Jana ,siunajua tulichelewa kurudi kulala?""
""Mmmmh! Haya bhana Kama unanificha mwanao utamweleza Nani sijui!!""
Frola na Dr Denis walipatwa na mshituko mkubwa Sana baada ya kumwona rafiki yao kipenzi Dr July kapatwa na janga Lile!!
Dr July bado alikua ICU hawezi kutazama Wala hawezi kuongea, wataalamu wa afya husema kupoteza fahamu,
Siku mbili zilikata pasipo mama Halima kumpa jibu Yule mzee aliyemuomba penzi a.k.a Mr Alben...
Ndipo mama Halima alipata wazo na kwenda kituo Cha polisi,,hakikujulikana Ni kitu gani ambacho alikwenda kuwaambia ..pia alianza kumtafuta wakili...
Kesho Yake mapema Mr Alben alipiga simu Tena kwa mama Halima
""Hallo,habari yako vipi?.""
""Salama,Hali gani??""
""Hahahhaaa njemaaa!! Leo naona uko na furaha!!""
""Mmh! Hiyo furaha unaijua wewe!!""
""Vipi kuhusu jibu langu?""
""Jibu gani Tena?""
""Mmmh! Unajifanya umesahau??"
""Ndo unikumbushe!!""
""Vipi kuhusu kuwa na Mimi??"'
""Mmh! Sasa we mzee utanisaidia Nini?""
""Mimi sio mzee,mimi Ni Mr Alben,tajiri mkubwa afrika mashariki,,ukiwa na Mimi sitaidhuru familia yako na wote hao uwapendao!!,""
""Mmh! Ya kweli hayo??""
""Ndiyo,niamini ntakupa pia kila nilichonacho!!""
""Haya sawa nimekubali!!""
""Kweli??""
""Ndio au huamini??""
""Siamini kabisa!!""
""Ndo uamini!!""
""Hapana mpaka uje hapa ndo Nijue umenikubalia!!""
""Mmh! Hapo naogopa labda tukutane sehemu nyingine!!""
""Kweli eeh?! Basi chagua unapopataka wewe!""
""Haya ngoja nifikirie halafu ntakwambia!!""
""Haya sawa!!""
Mr Alben alifurahi Sana kukubaliwa na mama Halima aka Ashura Abdallah! Alikua akiutamani ule muumbo na usura wa Ashura toka kitambo Sana mwili ukimsisimka na kumfanya jogoo wake kuwika ,,aliwaza kichwani Ni staili gani atakayoitumia kumkuna mrembo Yule,kila aliyoifikiria aliona haifai,,ilibidi aingie gugo aangalie picha mbalimbali za mikao ya kimahaba ili aweze kubaini Ni staili gani ingekua Tamu kumtafuna Yule demu!! Kichwa Cha Mr Alben hakikuwaza chochote kabisa siku hiyo zaidi ya kufanya nyono,kila muda aliiangalia simu yake kuona Kama mama Halima ameshamtext juu ya mahali pa kutafunana
Mara baada ya dakika chache,mama Halima alituma text
""Baby naomba tukutane five Stars 🌟!!""
Mmmh Mr Alben hakuamini Kama kweli ndo anaenda kumtafuna mama Halima leo ndani ya hoteli kali ya five 🌟....
Alianza kujiandaa na kujiweka safi ili aweze kunukia kiujana na sio kiuzeeuzee!! Alitaka amuonyeshe mama Halima kua Mr Alben Ni mwamba !!!!
Tukirudi huku upande wa pili! Paschal alirudi super market kuendelea na kazi Yake Kama ilivyokua siku zote
Mara ghafla alikuja Ruth
""Kaka Paschal Mambo??""
""Safi mdogo wangu hujambo?!""
""Sijambo!!""
""Naona saivi umekua kakubwa eeh??""
""We mi mtu mzima saivi ujue?""
""Miaka mingapi!?"
""Miaka 19 eti jamani!!"
""Karibu utu uzimani!!"'
""Kaka Paschal!!""
""Nambie Ruth!!""
""Nikuulize swali?""
""Niulize mdogo wangu!!""
""Hivi una mpenzi??""
""Haaa! Kwanini umeniuliza hivyo??""
""Nimekuuliza tu nataka Nijue!!""
""Mmmh! Mi bado mdogo mdogo wangu, Sina mpenzi!!""
""We mkubwa hivyoooo!!""
""Ndo hivyo mdogo wangu!!""
""Kaka Paschal nilikua naomba uwe mpenzi wangu!!""
Heeeehe!! Kumekuchaaaa! Unaambiwa sielewi kijacho nasubiri kuuona huo mtanange jinsi unavyokwendA...
USIKOSE KUJUA YANAYOJILI SEHEMU IJAYO..

No comments

Powered by Blogger.