Header Ads

Header ADS

Chombezo: bado hujasema sehemu ya nane (08)

 


Upande wa kisimani kukaanza zogo wanasema jamani uyu sio chizi wengine wanasema uyu chizi.

 

Mama mmoja akasema jamani Sisi ndio machizi sio yule.

 

Watu wakapaniki sasa wanaume wakaanza wewe mama tunakuheshimu kitendo cha kutuita Sisi machizi atukipendi sawa amani itavulugika hapa mbele ya mwenyekiti wa kijiji.

 

Mama akasema ivulugike tu yani munavyokasilika ndio mnazidi kuwa machizi.

 

Wanaume walitaka wamkamate yule mama wampige wagambo wakawazuia wakasema tulieni tumsikilize anamaanisha nini yeye kusema Sisi machizi na point yake IPO wapi.

 

Mama akasema kwanza kumbe neno chizi linakera kwanini mnalitumia kumwita yule kijana pili nyinyi mmekaa miaka mingapi hapa kijijini amjafikilia ata siku moja kuweka mfuniko kisima chetu tatu arichosema hapa cha kukataza wanawake kuoga kisimani mbona yeye kaongea mbele ya mwenyekiti nyinyi mnaongea pembeni nani chizi kati anaongea pasipo kuogopa na nyinyi mnaogopa.

 

mjumbe akasema mama basi inatosha ushaheleweka unachomaanisha kuwa yule kijana asiitwe chizi ilo limepita yule sasa babu yake yupo hapa ata sema tumwitaje.

 

Babu akasema kwanza nyinyi vijana mmekosa adabu tu mnamwita mjukuu wangu chizi mjukuu wangu ana miliki mwanamke mzuri kuliko wote hapa kijijini si mwenyekiti si mjumbe wote wanawake wenu wabaya mjukuu ana chombo kikari hahahahahaha.

 

Mjumbe akasema kweli yule kijana mzima machizi tunao sasa uyu mzee anaambiwa ataje jina la mjukuu wake yeye anakashifu wake zetu sasa kama si uchizi ni nini.

 

Mala chizi anakwenda kumwita babu kumwambia kuwa mama mkwe wangu kafika.

 

Alipofika pale akasema amjaondoka tu sasa sababu wote mupo hapa tufyekeni ichi kichaka chote kuwa kweupe tuone kama kuna mtu atakuja kuoga hapa aya tena tuanzeni kazi sio muda wa kuangaliana usoni.

 

Walipofyeka kichaka waliona kondom kibao chizi akacheka sana akasema mwanamke kweli achungungiki yani izi kondom wanatombew* wake za watu tusimung'unye mung'unye maneno akuna mtoto nasema wewe mwanaume unayekuja kumfanya mke wa mtu kisimani umekuwa auna tofauti na mchawi yani sehemu hii ndio tunachota maji ya kunywa wewe unakuja kutomb* hapa ukimaliza lazima ushike bol* lako ujifute au ufutwe na uchafu wenu mnakuja kushika kopo hili linaingia kisimani amuwoni kama mulikuwa mnawanywesha watu uchafu.

 

Sasa nasema mwisho wa kuchota maji saa 12 jioni na funguo nipeni mukinikosa mimi nyumbani mtamkuta dear dear dear wangu atawapa wale wa asubuhi tu usiku akuna kuchota maji hapa nani anapinga aseme hapa nasema nani anapinga.

 

Wote kimya na wamebaki na mshangao tu wa neno dear dear dear.

 

Upande wa nyumbani wazazi wangu walikuja wakaonana na mama chizi wakasema waniite niseme ukweli kuwa chizi ni mchumba wangu au vipi.

 

Mama akaniita yani.....

 

 

mama akaniita niende nikajibu swali Lao kuwa chizi ni mpenzi wangu au basi mama yake chizi akanipa kigoda nikalie wao wenyewe wamekaa kwenye mkeka mama akasema.

 

Mwanangu naomba uniambie ukweli wewe na uyu kijana ni wapenzi wa kweri au kuna nini kinaendelea kati yenu.

 

Wakati najiuliza niwajibu nini chizi kaingia na babu yake chizi akaniambia dear dear dear ingia ndani ujapona bado.

 

Mimi nikajikuta namfatisha bwana wangu chizi naingia ndani mama akawaka.

 

Mwanangu usinifanye mimi sina akiri yani badala ujibu swali unaludi tena ndani sipendi iyo dhalau naomba unijibu uko uko swali langu.

 

Chizi akasema ivi mtu sauti imekauka kwanini mnafosi aongee niachieni dear dear dear wangu sipendi ateseke jamani nampenda niulize mimi.

 

Mama wa chizi akamuuliza chizi ivi mwanangu uyu ndio mchumba wako??

 

chizi akacheka sana mpaka anagala gala chini sasa akasema mchumba wangu mimi bibi na ayupo sijui yupo wapi mama yako ndio mchumba wangu mimi ivi mama yako yupo wapi??

 

Hapo ndipo mama mkwe anachoka sasa maana jibu alilopewa tofauti na alivyofikiria.

 

Babu akasema mama uwezi kumuuliza mwanao wa kiume ilo swali acha mimi nimuulize ilo swali kuwa uyu ni nani wake.

 

Chizi akaniita dear dear dear mimba nikatoka akaniambia nikune mgongoni kuna niwasha arafu niangalie akuna mdudu aliyenitambaa maana nimefyeka kichaka pale kisimani dah nimemaliza maficho ya watu walikuwa wanatomban* sana watu pale aswa wake za watu nimealibu Alibu kile kichaka wakatombw* sehemu salama arafu awaofii usalama wao mwanamke sio muoga sasa umetanua kum* polini kaingia Nyoka si utakufa na kwanini wasifanye kama..

 

Ajamalizia akaanza kujipalia.

 

Mama na mama yake wakaondoka maana chizi anafanya uchizi wake sasa anatukana ndio anapiga stoly ivyo sasa walikaa kwa mbari wananiangalia mimi namkuna chizi mgongoni yani mama anajiuliza maswali nini kimenikuta na mama chizi anajiuliza maswali ivi inawezekana vipi mimi nimpende chizi.

 

Wakaambiana hapa tuwaite wazazi wa kiume ndio wanaweza pata jibu juu ya ili swali sababu vitendo vinaonyesha awa ni wapenzi muonekano wao wa kiafya ya akili ndio inatupa ukakasi jibu wanaume watatoa.

 

Walikubaliana akaitwa baba na baba yake chizi.

 

Wakati huo chizi ananiambia kaa chini hapa nikusuke dear dear dear wangu tunatakiwa tusafiri.

 

Nasema kimoyoni sasa ndio mwezi mchanga tayari nikakaa akawa ananisuka uku ananiimbia nyimbo ya diamond kipofu wengi amuijui ila ni ile kipofu anajiuliza kwanini amependwa wakati yeye aoni.

 

Akaniimbia nyimbo ya lemmy ongala mapenzi yangekuwa yanachagua Sisi wabaya tusinge pata kitu.

 

Sasa akawa anaimba nyimbo za mafumbo flani ivi uku ananisuka nywele kijiji kizima kilichukulia mimi kama sehemu ya maonyesho yani wananikejeri kunidhalau wengine walifikia atua mpaka kuwatukana wanawake wanasema wanawake awana akili ndio maana ata shoga yani mwanaume anayepumuliwa kisogoni na wanaume wenzie na yeye anapata mwanamke.

 

Yani maneno yote yanawatoka sababu ya penzi letu na wanapita wengi kuja kuniona mimi jinsi chizi anavyo nifanyia mama inamuuma sana yani anajisikia aibu kwanini mimi najidhalilisha vile yani kama wamekosekana wanaume wengine mpaka mimi nimpende chizi kuna nini kimejificha nyuma ya pazia akawa anajiuliza maswali hayo mama.

 

Chizi akanipeleka kisimani nimebeba kidumu cha lita 5 kama mtoto yeye kabeba madumu makubwa mawili tukafika kisimani chizi madumu yake kajaza kidumu changu kaniwekea nusu namwambia jaza ananiambia ujazaliwa uteseke wewe dear dear dear.

 

Sasa njiani tukakutana na bibi mmoja aliyesema kuwa uyu asiitwe chizi siku ya fujo kisimani.

 

Akatusalimia akasema kijana naomba nitakupe mpunga kama zawadi yangu wewe unafaa kuwa mwenyekiti wa ichi kijiji kabisa yani umefanya jambo zuri sana kwenye ichi kijiji nimetokea kukupenda sana naomba kama unaona kuna sehemu nyengine inakosewa useme ili mambo yaende.

 

Chizi alifulai sana bibi yule kujua mchango wake akamwambia bibi naomba nipeleke maji arafu nifate mpunga kwako ila mwenyekiti naisi amechaguliwa kwa sababu ya kuuza mashamba tu.

 

Bibi akamwambia mjukuu wangu Leo kuna kikao twende kwanza ukawaambie wananchi ilo neno chizi akapeleka madumu kwa bibi akaenda kwenye kikao na mimi alipofika watu wote wakatuangalia Sisi chizi akasema mimi nimekuja kukwambia wewe mwenyekiti unafikilia kuuza mashamba tu sio maendeleo ya kijiji sio kila kitu mtegemee selekali angalieni shule imezungukwa na kichaka unaisi muda wa mapumziko nini kinaendelea pale shuleni sasa si muda wa siasa twendeni sasa ivi wote tukaondoe vichaka shuleni watoto wa kike wana aibu wanaweza wakabakwa na wakashindwa kusema sababu ya aibu yao twendeni.

 

Wote wakasema kimoyoni uyu usalama sio chizi.

 

Walipo fyeka kichaka wanaona mabox kwenye kichaka cha shule.

 

Chizi akawaacha wanafyeka Sisi tukaludi kuchukua madumu kwa bibi yule na mpunga tunafika nyumbani ambapo kwa babu tunaona kikao kizito baba yangu baba yake chizi mama yangu mama yake chizi.

 

Tunafika tu tunaambiwa kaeni chini hapa.

 

Chizi akaniambia dear dear dear uyu baba yangu baba yangu mimi sawa dear dear dear.

 

Baba akasema na wewe mtambulishe mwenzio Sisi nani ili mutujibu maswali yetu aya mtambulishe mwenzio sasa tunakusubiri wewe.

 

Dah yani.,......

 

 

 

dah ikabaki dhamu yangu kumtambulisha chizi kwa wazazi wangu basi nishajitoa ufahamu kwenye kichwa changu chizi ndio mwanaume pekee aliyenipa mimba ndio aliyenipa furaha kwenye maisha yangu kwanini niwe mnafki najiuliza moyoni ikiwa hao timamu wamenipa maneno ya kishenzi na taraka juu hoo mimi najaza choo mimi chuma ulete majina yote mabaya yalikuwa yangu sababu sipati mimba maana ya chuma ulete yani wewe unapokea tu ila utoi mwanaume anataka utoe watoto wewe utoi ndio maneno ya kashfa yanapokuja chizi ajawai kunikashifu chizi kanipa mimba toka moyoni nampenda sana nilimwita.

 

Dear wangu awa ni wazazi wangu.

 

Baba alistuka sana akasema wewe wewe mwanangu unasema nini??

 

"sikusita nikaludia tena dear wangu awa ni wazazi wangu.

 

Arafu chizi anajuwa kukera akasema hasante my wangu nakupenda wewe ni mkweli kuliko wanawake wote duniani.

 

" sio wao tu walioshangaa ata mimi nilishangaa chizi kusema yale maneno arafu kwa mala ya kwanza kaniita my hapo akazidi kunichanganya.

 

Sasa baba akasema samahanini naombeni vyeti vyake uyu jamani.

 

Bahati mzuri mama mkwe alipomleta uku chizi alimletea babu vyeti vyake babu akaleta vile vyeti wakasoma cha ajabu mpaka baba yake mzazi analudia kusoma jina la mwanawe kumbe chizi anaitwa shukuru ndio nimeiyona kwenye cheti sasa mala bwawa likaingia ruba wajiseme waswahili yani kikao kikavulugika Kuna mtu kapita anampiga mkewe chizi akatoka spead kumvaa yule mtu akaanza kumpiga.

 

Yani anapiga mpaka yule mwanamke aliyetetewa na chizi asipigwe na mumewe sasa anaona uruma mumewe anapigwa anaanza kumuomba chizi amuwachie mumewe.

 

Chizi akasema tena unayo bahati mkeo kasema nikuache wewe unampiga uyu kwa sababu ni mwanamke mbona kama wewe hodari kupiga wanawake kwanini usiende kumpiga mama yako mama yako kakukosea wewe ajakulea kwenye misingi ya kuwaheshimu wanawake unaisi wanawake ni sehemu ya kupigwa wewe mseng* tena fala arafu nakwambia ukiludia kumdhalilisha mwanamke nakudhalilisha wewe kijiji kizima na akuna mjinga yoyote anaweza kunizuia.

 

Sasa wazazi wangu wakaanza kuona kama kweri uyu chizi yanamtoka matusi mbele yao yani anayatoa mazima mazima sasa kumbe yule bwana anampiga mwanamke ndio mbabe wa kijiji alipoona watu wamejaa akasema uyu chizi anijui mimi mimi wamenishindwa wagambo itakuwa wewe taira tu.

 

Akaamsha asila za chizi chizi nguvu anayo alimnyanyua juu akamshusha akanyanyua akamshusha akampa kibao wakati jamaa kibao kimempa wenge akamvua nguo zote akawa anakwenda nae sokoni akiwa jamaa uchi arafu chizi anasema wewe si unasema mimi sikujui ata awa wanaokujua lakini walikuwa awakujui vizuri Leo watakujua vizuri ulivyo unapiga wagonjwa unajisifu wewe unazo nguvu pigana sasa nakudhalilisha tena unayo bahati nina mke ningekufil* mimi adhalani mpumbavu wewe bado unazama za utemi sasa Leo umekutana na mtemi mwenye vyeti vyake si unaona pale wanakagua vyeti vyangu.

 

" yani baba na mama ndio wanaona kweli uyu chizi yani ivi vyeti vya uchizi yeye anaona kama vyeti vya shule au vyenye thamani wanaendelea kwenda nae chizi anampeleka jamaa sokoni akamdhalilishe tu.

 

Akafika sokoni wafanyabiashara sokoni walifulahi sana sababu jamaa alimi kazi yake ni ubabe tu anakuja sokoni anachukua vitu bule ana uwezo wa kumchukua mkeo na wewe ukabaki kukimbilia kwa wagambo na wagambo wanamuogopa sababu jamaa ana kifua kikubwa wanamuona mbabe nguvu anayo sasa kakutana na mtemi mwenye vyeti vyake kama anavyosema mwenyewe sasa akamuweka kati kati ya soko.

 

Chizi akasema uyu ni mbabe nataka niwaambie maisha ya ubabe yashapitaga zamani Sana sasa ni wakati wa kuheshimiana sababu ataki heshima nimeamua kumfanyia ivi japo najidhalilisha ata mimi lakini kwa uyu litakuwa fundisho kwa wengine wanaonyanyasa watu.

 

Ususani mwanamke nasemaje sina mengi naomba wanawake wawili waje wampige bakora kwa kuonyesha ishara ya kumuukumu na kumuonya na ajuwe mimi ni mtetezi wa wanyonge.

 

Akatokea bibi aliyetupa mpunga akasema msamehe uyu kashakosa tayali na ushamuonyesha kuwa kila mbabe anaye mbabe wake nakuomba mimi msamehe aludii tena uyu.

 

Chizi akasema aya omba samahani kwa wanawake wote dk 1.

 

Jamaa akaomba msamaha fasta kwa wanawake wote kweli.

 

Arafu akapigwa kibao kimoja akaambiwa kwenda.

 

Jamaa aliama kijiji wafabiashara sokoni wakachangishana kuja kumpa asante chizi.

 

Sasa Sisi tukaludi tena kwenye kikao lakini wote wana hofu waongee kwa utalatibu wasimkele chizi inafikia atua baba yake anasema samahani shukuru usikwazike na swari nitakalo kuuliza je hii mimba ni ya nani??

 

Chizi akasema wewe baba ukitaka kuuliza swali liangalie ilo swali la kike au la kiume swali ilo la kike uwezi kuniuliza mimi mwanaume yani uniulize hii mimba ni ya nani yani mimi ndio nimebeba mimba mzee jiangalie na maswali yako pima neno kwenye moyo kabla ujalitoa mdomoni siwezi jibu ilo swali.

 

Baba yangu akasema shukuru yupo sahihi kwenye jibu lake ilo swali kweli uwezi kumuuliza yeye anaulizwa mwanamke ngoja nimuulize mwanangu wewe mwanangu hii mimba ya nani??

 

Dah sasa mtihani upo kwangu nimtaje mwenye mimba yangu wakati natafakari nahanzaje kusema.

 

Mama akasema mwanangu usitafute nipigwe unapoulizwa swari jibu kwa wakati umewezaje kutanua miguu kupata mimba ushindwe kutanua mdomo kumtaja aliyekupa usije ukasababisha nikutie mkofi mimi aya taja??

 

Mama amekunja sura sasa naanza kutaja sasa yani..........??

 

 

 

dah ikabaki dhamu yangu kumtambulisha chizi kwa wazazi wangu basi nishajitoa ufahamu kwenye kichwa changu chizi ndio mwanaume pekee aliyenipa mimba ndio aliyenipa furaha kwenye maisha yangu kwanini niwe mnafki najiuliza moyoni ikiwa hao timamu wamenipa maneno ya kishenzi na taraka juu hoo mimi najaza choo mimi chuma ulete majina yote mabaya yalikuwa yangu sababu sipati mimba maana ya chuma ulete yani wewe unapokea tu ila utoi mwanaume anataka utoe watoto wewe utoi ndio maneno ya kashfa yanapokuja chizi ajawai kunikashifu chizi kanipa mimba toka moyoni nampenda sana nilimwita.

 

Dear wangu awa ni wazazi wangu.

 

Baba alistuka sana akasema wewe wewe mwanangu unasema nini??

 

"sikusita nikaludia tena dear wangu awa ni wazazi wangu.

 

Arafu chizi anajuwa kukera akasema hasante my wangu nakupenda wewe ni mkweli kuliko wanawake wote duniani.

 BONYEZA HAPA UPATE VICHEKESHO KUPITIA SIMU YAKO

ITAENDELEA 


 

No comments

Powered by Blogger.