Header Ads

Header ADS

Chombezo: Safari sehemu ya pili (02)



Watumwa wote waliamini ya kuwa nanarudi kwao, basi kila nyimbo zilipigwa ndani

ya majahazi hayo, waliotumia kusafilia huku furaha ikizidi na kutaamani kupaaa

ndani ya dakika chache tu wafike.

MGAZA mfalme alimuamuru kjakazi wake mmoja ajurikanae kama "YOROBI" kuangalia

wamebakiza kilomita ngapi kufika kwenye ngome yao nae alifanya haraka huku

akionesha juhudi zidi ya hamri aliyopewa na mfalme wake alitizama na ndipo

alipotamka na kusema.

YOROBI"mkuuuu wangu tumebakiza kilomita chache tu kwani hapa tulipo ni robo

tatu ya sehemu tuliyotoka matumaini ya kufika mapema nyumbani yapoooo"

MGAZA "Okey sawa yorobi nimekuelewa basi waambie vijana wenzako juuu ya

kuchochea vizuri hizo jahazi tuwahi kufika sawa"

YOROBI "sawaaa mfalme nafanya hivyo mara moja wala usijariiii mkuuu wangu"

yorobi aliamlisha vijana wenzake na ndipo walipotia juhudi kubwa kwa tamko

alilosema mfalme wao MGAZA basi ilimbidi yorobi awe msitali wa mbele

kuhakikisha hiyo shughuri ya kufanya vyombo vitembee haraka ilikuwa yake.

Kasi ilipokuwa kubwa basi vijakazi wote walianza kuchoka na ndipo hakiba ya

chakula ikaagizwa kwani kulukuwa na mikate na soda ili kufanya mwili uwe na

nguvu na kuendelea na kazi. 


ITAENDELEA

No comments

Powered by Blogger.