Chombezo: Nipe kidogo sehemu ya pili (02)
Hatimae alifika kwa kakayake akapokelewa vizuri ilikuwa usiku akalala adi kesho yake.
"Aya nambie umekuja jumla au utaondoka maana wewe hueleweki?"
Aliuliza Kelvin
"Nipo bro siondoki mimi nitafutie kazi nifanye"
Penny akadakia
"Wow bora shemeji jaman maana nyumba itachangamka"
"Sawa usijali kuhusu ilo nina duka langu la nguo maeneo ya studio pale nitakupatia liwe lako, ila tafadhari usije kuhonga ukafirisi duka"
"Amna brother mi sina mambo ayo kabisa yani"
Alijibu Brown na kweli alikuwa na sura ya upole uku akiongea taratibu lazima utamwamini.
"Sawa jiandae tutoke wote nikakukabidhi kabisa liwe lako"
Muda huo ilikuwa asubuhi wanakuja chai.
Walipomaliza waliondoka pamoja Brown akakabidhiwa duka la nguo za kike na kiume duka kubwa nguo nyingi zakisasa zimejaa apo.
Kelvin aliondoka nakukuacha Brown akiwa na kijana mmoja ambae ndo alikuwa muuzaji apo aitwae Mick.
Muda mfupi ulitosha kuzoea mazingira akafahamishwa mengi na kazi ikaanza!
Mida ya jioni kama saa kumi ivi alikuja msichana ambae alichagua nguo akalipa nakuondoka.
Bahati mbaya alidondosha kipochi kidogo ndani kulikuwa na pesa zake pamoja na vitambulisho cha shule na card ya bank.
Hakujua alidondosha wapi uyo msichana alihudhunika sana atawaambiaje wazawi wake wamuelewe.
Usiku akiwa amelala alishangaa namba ngeni inapiga hakusita alipokea sauti ya upole yenye mvuto flani ivi wa mahaba aliisikia akabaki ameganda uku mapigo ya moyo yakimdunda.
"Hallow sorry naitwa Brown nimeokota kipochi kidogo ndani kuna pesa pia nimeona vitambulisho sijui unamfahamu muhusika au niwewe niambie tuonane kesho nikupatie vitu vyako"
Alisema Brown
"Jaman ni vyangu! Asante kakayangu kesho nakuja dukani unipe"
Aliongea uyo msichana ambae alijitambulisha anaitwa Anita.
Basi huo ukawa mwanzo wakujuana Brown na Anita ambae alikuwa mwanafunzi wa chuo alitokea kumpenda sana Brown pasipokujua tabia zake zipoje.
Wakapanga siku wakutane hotel kwaajiri yakuvunja amri ya sita.
Chichi hotel iliyokuwa morroco ndio walichukua chumba nakuwepo humo Brown alijua kucheza na hisia za mwanamke alimpagawisha Anita adi akawa ajielewi anaongea lugha zisizoeleweka.
Ilikuwa ndo mara ya kwanza na ya mwisho walipotoka apo Brown hakumtafuta tena akipiga simu anakatiwa akituma meseji hajibiwi Anita aliumia sana.
"Brown nakupenda usinifanyie ivyo"
Aliongea uku akilia
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
"Sorry mamy siwezi kuwa nawewe jaman sina hisia mimi sijui kupenda kupoje usijiumize juu yangu okay bye"
Ilikuwa zaidi ya maumivu kwa Anita alilia sana.
Tabia yakubadirisha wanawake ikaendelea hakuweza kumaliza wiki bila kuwa na msichana alishazoea.
Kelvin alisafiri mwezi mzima nyumbani wakabaki Brown na shemeji yake penny alieanza kuonyesha tabia ya ajabu.
Siku moja asubuhi aliamka nakwenda jikoni uku kavaa kanga moja tu alafu alikuwa kajaariwa makalio makubwa!
Brown alipoamka nayeye akaelekea jikoni alishtuka alipomuona shemeji yake alivyovaa hakuwahi kumwona vile ikambidi arudi lakin penny aligeuka akamuona.
"Brown unaenda wapi Jaman?"
"Aahh mmm..ndani shem"
"Njoo bwana nisaidie kuipua chai"
Basi Brown alikubali akaenda nakumsaidia alipomaliza tu akashangaa penny amemsogelea nakumkumbatia kwa nyuma uku akihema sana.
"Brown ninahamu mwenzio naomba nipe kidogo tu"
Ulikuwa mtihani sana kwa Brown ni kosa kubwa kumuacha msichana tatizo uyu ni mke wa kakayake aliogopa ilo ila akimtizama penny mzuri kajazia akasema liwalo na liwe alimbeba nakumpeleka chumbani kwake akamlaza nakuanza kumnyonya mwili mzima kilichosikika ni sauti ya kilio kutoka kwa penny
*************************
Mzee maliki alipomaliza tu alitoka mbio nakukimbilia chumbani kwake uku akijilaumu sana kwa alichokifanya.
Alioga nakuondoka kabisa akapanda gari lake nakuelekea bar kunywa pombe.
Monalisa alilia sana adi macho yakamvimba alijiuliza huyu ni babayake kweli au?
Wazo lililomjia ni kujiua aliisi dunia nzima inajua kilichotokea alichokifanya ni kutoka adi stoo wanapoifadhi sumu za kuua wadudu hakuchagua alibeba aina tofauti kama tano kiisha akaenda kwenye friji akachukua pombe kali sababu babayake mnywaji sana pombe hazikosi ndani.
Zile sumu na iyo pombe alichanganya zote pamoja nakuweka mezani alilia sana hatoiona tena dunia zaidi ndoto yake yakuwa daktari imefutika ilimuuma.
Alichukua simu nakumpigia mamayake japo asikie sauti yake ya mwisho
"Haloo mona ujambo mwanangu?"
"Mama nimepiga kukuaga najiua siwezi kuishi tena siwezi"
Aliongea kwa kilio nakumshtua mamayake
"Kuna nini Jaman eeh nambie nini tatizo?"
"Baba amenibaka mimi babaaa katoa usichana wanguu najiua mimi nakufa mama tutakutana mbinguni"
Alikata simu kwa uchungu aliokuwa nao hakuchelewesha akainywa ile sumu yote dakika kumi nyingi mapovu yakaanza kumtoka mdomoni.
BONYEZA HAPA KUPATA MAKALA ZA MAFANIKIO BUREE
ITAENDELEA

No comments