Header Ads

Header ADS

Chombezo: Nipe kidogo sehemu ya sita (06)

 



Ile anatoka tu akakutana na mwanaume handsome ambae alimsalimia akamuitikia uyo mwanaume hakuwa na maneno mengi aliomba namba ya simu tu nakujitambulisha anaitwa Brown.


Monalisa alimpatia nakuondoka nyumbani lakini mawazo yotr yalikuwa juu ya Brown alimfikilia sana.


"Mmmh ni handsome...aaah alafu anasauti nzuri jaman.


Kiukweli naisi kumpenda"


Alikuwa kitandani monalisa akajikuta akitamani ata Brown ampigie simu muda huo japo amtakie usiku mwema alikosa usingizi kabisa moyo wake ulijikuta ukimpenda sana mwanaume aliekutana nae club.


Hali ilikuwa ivyo ivyo kwa Brown hakuwahi kupenda alikuwa mchezeaji tu ila kumuona monalisa tu moyo wake ukajikuta upo kwenye Mapenzi ya kweli alimpenda sana nakutamani awe mkewake.


Alipofika tu nyumbani hakuchelewa aliweka ile namba nakumpiga Monalisa ambae alikuwa macho alipoona namba ni ngeni akapokea akiisi atakuwa Brown.


BONYEZA HAPA UPATE SMS NZURI ZA MAHABA BUREEE


ITAENDELEA





No comments

Powered by Blogger.