Chombezo: safari sehemu ya tisa (09)
kumbe binti BERALITA hakuwa na mawazo hayo, aliyokuwa akiwaza kijana MWAIPAMBA, yeye alikuwa kawaida tu, yale ya
nyuma alikuwa ameyasahau, basi nae alipomuona tu kijana MWAIPAMBA Alipomwona tu wala hakujawa na hasira nae aliona ni jambo
la lakupiata tu, baada ya mda kidogo walimaliza kuimba, na kuanza kupiga story na kusahau yale yaliopita. kijana MWAIPAMBA
alizidi "mmh samahani dada, BERALITA, nyimbo uimbazo, zinagusa hisia zangu, maana nyimbo hiyo nimeimbiwa sana na mpenzi
wangu, kipindi cha nyuma, kabla sijaletwa huku," binti BERALITA aliimba kidogo ile nyimbo, akimwambia kijana MWAIPAMBA kisha
akamwambia "karibu wala uiogope kwani namimi hii nyimbo, huwa naipenda sana kuimba, pindi nikiwa sina kitu cha kufanya".
ndipo kijana akakaribia huku woga ukimwisha, wkati wakiongea hayo walikuwa waki zidi kukaribia ule mji, lakini kunakitu
tofauti alikiona BERALITA, akamwambia kijana MWAIPAMBA, "tumeuzwa mala yapili"MWAIPAMBA alimwangalia BERALITA, akimshangaa
kwamaneno yake, lakini alimwona binti huyo akiwa amekaza macho yake kule wanako elekea, naye akatazama mbele, "kweli
tumeuzwa tena" maana walishuhudia tofauti na kwao ambapo bandari yao haina majengo marefu yanayo waka taa, kama haya, wakati
kijana huyu akipiga mahesabu ya kujirusha kwenye maji ikiweze kana awakimbie wakina YOROBI, wakati anataka kumwambia
BERALITA, mpangowake huo, aone kama ataukubari, maana aliuona uwezo wake wakucheza na maji, ghafla wakashuhudia zile
taambele yao, zikizima ghafla, wote wakapigwa na butwaa, kimya kikatanda kama dakika moja hivi, huku wakiona mawimbi
yakianza kuwa makubwa kidogo, hapo minog'ono yachini chini ikaanza, kila mtu akiongea lakwake, wengi wakisema wale ni
walinzi wa mwambao, wamezima taa kwaajili ya usalama wa mji hule, kwamaana walitaka kuwa tambua kama ni watu wao au maadui,
wakati kiza kime tawala, mawimbi yakaongezeka kila dakika, wakati kiza kime tawala, mala taa zika waka nakuzima tena,
lakini kila mmoja alione kilicho kuwa mbele yao, ambacho muda wote walizania kuwa ni mji, kila mmoja alipigwa na butwaa
wakamtazama YOROBI, kwamacho yakuomba msaada, ..
:wamezima taa kwaajili ya usalama wa mji hule, kwamaana walitaka kuwa tambua kama ni watu wao au maadui, wakati kiza kime tawala, mawimbi yakaongezeka kila dakika, wakati kiza kime tawala, mala taa zika waka nakuzima tena, lakini kila mmoja alione kilicho kuwa mbele yao, ambacho muda wote walizania kuwa ni mji, kila mmoja alipigwa na butwaa wakamtazama YOROBI, kwamacho yakuomba msaada, mbele yao waliona kiumbe mkubwa sana, mwenye umbo la hajabu, likipamwa na mikia kama ya pweza huku, ikiwa na vitu kama macho mengi sana yanayo ng'aa kama taa, ukubwa wakiumbe hicho, nisawa na mlima mkubwa huku vitu kama pembe zikiwa zime chomoza kwenye kichwa cha kiumbe hicho, wakiwa wanatafakari wafanye nini, waka shuhudia mkia mmojammoja wakiumbe kile, ukiinuka juu nakushuka kwakasi kwenye maji, nakusababisha wimbi kubwa, ambali lilipelekea chombo chao kupata msukosuko, kikiplekwa huku na huku, hapo zilisikika kelele, kila mmoja akipiga kelele kwa namna yake, mwengine "mayo" "mawe" "mama yoyo" "nakufa" wakati wakiendelea, kupigakelele, wakashuhudia mikia kama minne ya kiumbe kile, ambayo inafanana kabisa na pweza, kisha akaishusha tena kwenye maji, hapo waliona chombo chao kikizidi kuyumba, huku binti BERALITA hakiwa hajui wapi pakuanzia, mara aliona mkia mkubwa wa ajabu, ulipita karibu kabisa na uso wake nakumguza kidogo, ambao ulimfanya akate moto kidogo, kwani le kumgusa tu! ulimkwaluza, nakumletea maumivu, maeneo ya kichwa chake, nae alidondoka chini hapo hapo na kubaki akiwa kama amezima, na ndipo kijana MWAIPAMBA kuona vile alitoka nduki, kumfwata binti BERALITA pale alipo dondokea, kwalengo la kwenda kumsaidia, haikuwa lahisi hivyo kwake, kwani chombo kilikuwa kiki pata kash kash, kutokana na vurugu za kiumbekile, chenye mikia kama ya pweza, na pembe kama zakifaru, YOROBI alichanganyikiwa, aliganda kwa mda, akishanga sana, ni kiumbe gani hicho mfano wa ngome, na kukaa kati kati ya BAHARI hiyo, akupata majibu na kubaki eme jishikilia kwenye nguzo moja, maana tukio hili lilimfanya achoke kimwili na akili, hapo akakumbuka bastola yake, akaitowa kiunoni, akaishika siraha yake vyema, na kuamlishia vijana wake kupambana vilivyo, kiukweli kilikuwa ni kiumbe cha ajabu, huku akiwa hana hili wala lile akiwa anasubiri vijana wake wawe tayari, iliatowe amri ya mapigano, mara aliona mkia ukija usawa wa kichwa chake, nae alikuwa mwepesi, akainama na kukwepa, hapo akaanza kurusha risasi ovyo ovyo. kuelekea kwa yule kiumbe, lakini kiumbe kile hakikuonyesha dalili yakwamba kina guswa na risasi, huku upande wa kijana MWAIPAMBA alifanikiwa kufika mahari alipo dondokea BERALITA, na kuanza kumpa huduma ya kwanza, huku akiweka jitihada za kumfanya aweze kuamka, arudi kwenye hali yake, araka iwezekanavyo, maana angeweza kupaoteza mahisha endapo ile jahadhi ita pigwa na ile mikia, nakupasuka, huku BERARILITA, akiwa bado kakatamoto, MWAIPAMBA alijitoea kwa jitihada za hali yajuu sana, adi alipo mwona akifumbua macho, hapo MWAIPAMBA akatabasamu, lakini basi wakati BERALITA anajiandaa kuuliza ilikuwaje, akashangaa kuona kitu kikimkamata,
MWAIPAMBA alijitoea kwa jitihada za hali yajuu sana, adi alipo mwona akifumbua macho, hapo MWAIPAMBA akatabasamu, lakini basi wakati BERALITA anajiandaa kuuliza ilikuwaje, akashangaa kuona kitu kikimkamata usawa wakiuno na tumbo, ile kutahamaki, lilikuwa ni limkia moja wapo la yule kiumbe alie fanana na pweza, huku likitumia mkia wake kumtoa ndani ya chombo hicho Binti BERALITA, alishangaa sana huku akiwa amekosa nguvu, akiwa hajui nini afanye, basi nae alikubaliana na tukio alilokuwa akifanya JITU hilo, lakini akuhacha kuomba mungu, kwani alijua ndio unakuwa mwisho wake siku hiyo, wakati huo tayari YOROBI alikuwa anamimina risasi, akizani utakuwa msaada kwa binti BERALITA, huku kijana MWAIPAMBA akikamata mguu wa BERALITA nakujaribu kumvuta, ilikujaribu kumchomoa toka kwenye mkia walile dude, haikusaidia kitu, licha ya risasi zote na kuvutwa na MWAIPAMBA, akashuhudia MWAIPAMBA akizidiwa nguvu na kumwachilia, hapo binti BERALITA aliona akipelekwa mpaka kwenye mdomo wa JITU hilo na ndipo alipo fumba macho akutaka kuangalia kitu kinachofwatia, maana alijuwa anatumbukizwa mdomoni, wakati huo akasikia kishindo kikuwa sana kikipiga jahazi, Gafra aliashangaa akiona akishushwaa tena chini huku,wakati huo hakuweza ata kupiga kelele, kwani hakuwa hata na nguvu za kupambana ilikujiokoa, kwanamna ule mkia walile dude, moyoni alisema kimya kimya "MUNGU NISAIDIE MWANAO KWENYE JANGA HILI". alisema hivyo hukuakishangaa hasijuwe nini kime tokea, maana lile dude pweza, lili mshusha huku likipiga kelele, mfano wa ng'ombe dume, lakini ilikuwa sauti kubwa sana, lili mshusha mpaka chini, likiwa bado lime mbana na mkia wake, BERALITA alifumbuwa macho nakushuhudia jahazi lao likiwa limevunjwa matanga yote, huku likiyumba huku nakule, kutokana na dhoruba ya mawimbi yaliyo sababishwa na kiumbe kile cha hajabu, lakini alipo tazama vizuri ndipo alipoona kitu ambacho hakukitegemea, kitu kilichompata matumaini ya kuokolewa,
kutokana na dhoruba ya mawimbi yaliyo sababishwa na kiumbe kile cha hajabu, lakini alipo tazama vizuri ndipo alipoona
kitu ambacho hakukitegemea, kitu kilichompata matumaini ya kuokolewa, maana alisha kata tamaa kutokana na lie jitu kuto
sikia maumivu ya risasi, BERALITA aliduwaa akiushuudia mkia mmoja wa lile dubwana ukishuka chini ukijitoa kwenye kichwa cha
lile dude, baada ya kupitiwa na upanga mmoja mkubwa sana wa dhahabu, ulioshikiliwa nakijana mmoja alievalia kifalme,
akipambwa na vifaa ya kimapigano navyo ni vya dhahabu,BERALITA alishuhudia kijana yule shupavu akipambana na lile dude,
akilirukia na kukata mkia moja baada ya mwingine, ammbapo lile dude lilikuwa na mikia mingi sana iliyo fanana napweza,
likijaribu kumshambulia yule kijana, ambae alikuwa mjanja sana kuliko dudu pweza pweza, Beralita hakusahangaa peke yake,
walishangaa wengi sana maana hawakujuwa ule msaada umetokea, wapi sasa lile dude lilionekana kulemewa na mashambulizi,
likaanza kufanya vulugu kubwa na kusababisha mawimbi mazito ambayo yali sababisha msukosuko zaidi kwenye jahazi lile, huku
bahadhi ya watu wakione kana wakitupwa kwenye maji, na wengine wakishikilia kwanguvu wasimwagike, lile dudu bado lilikuwa
lime mng'ang'ania BERALITA, huku BERALITA akianza kuhisi vitu kama miba, kwenye ule mkia, vikianza kumchoma bahadhi ya
sehemu katika mwili wake, lakini aliona juhudi ya yule kijana mwenye upanga wa dhahabu, akifanya juhudi za kuli maliza lile
dude, huku akiamini yakuwa kijana yule ndie msahada wpekee, maana vijana wenzake walikuwa wame jishikilia kwenye kingo za
jahadhi, wakishangaa mapambano, kitu kingine kilicho mshangaza BERALITA nawenzake nikwamba, chini ya maji zaidi ya mikia ya
lile dude, waliona kama kuna vitu vinapita kwa kasi, na kulishambulia lile dude pweza, walishindwa kuvitambua kutokana na
kuwa usiku, sasa mikia yalile dude ilianza kuonekana ikitapakaa baharini, lakini bado lilionekana kuwa na nguvu za hajabu,
likiendelea kupambana na yule kijana mwenye upanga wa dhahabu, bado BERALITA aliendelea kuhisi vimiba viki mchoma nakuanza
kusikia maumivu, akashuhudia yule kijana akiangalia pale alipo kuwa amebanwa na lilelimkia la dudu pweza, kisha kama spider
man akamwona akiruka na kuushusha upanga kwenye ule mkia, ulio mviliga yeye kwanguvu zote, lakini kabla upanga hauja gusa
ule mkia, alishuhudia yule kijana, ambae sasa alifanikiwa kuiona atasura yake, kwamba alikuwa wakuvutia kuanzia mwili na
sura, pia akagunduwa kuwa,
bado BERALITA aliendelea kuhisi vimiba viki mchoma nakuanza kusikia maumivu, akashuhudia yule kijana akiangalia pale
alipo kuwa amebanwa na lilelimkia la dudu pweza, kisha kama spider man akamwona akiruka na kuushusha upanga kwenye ule mkia,
ulio mviliga yeye kwanguvu zote, lakini kabla upanga hauja gusa ule mkia, alishuhudia yule kijana, ambae sasa alifanikiwa
kuiona atasura yake, kwamba alikuwa wakuvutia kuanzia mwili na sura, pia akagunduwa kuwa alikuwa ni NGUVA wakiume, akipigwa
na mkia walile dudu na kudondokwa kwenye maji, nayeye akizamiswa kwenye maji, ambako huko alipo tazama akaonakitu kilicho
mshangaza, aliona viumbe flani vikimshambulia yule dudu pweza, akabla haja watambua vizuri ni viumbe gani, akaibuliwa juu
ambapo akaona mtu mmoja mfano wa huyu alie pigwa na mkia wapweza, akiwa juu yamkia mmoja wapweza, akipambana vilivyo,
akashinwa kuelewa, kama naye ni Nguva au ninani, kabla hajapata jibu akastuka akiinuliwa juu na kusogezwa usawa wa mdomo
ilidude, kabala yule mtu haja achia panga lake na kumkata mkia mmoja karibu naule ulio mshika yeye hivyo ile dude lika yumba
kutokana na maumivu, nakumshusha Beralita kwenye maji tena, huku bado lime mng'ang'ania, nasauti kubwa ikimtoka lile dude,
wakati huo watu kwenye jahazi tayali walisha changanyikiwa baya sana, hakuna alie weza kufanya chochote zaidi waliwatazama
wale watu ambao walianza kuongezeka mmoja mmoja, wakiibukatoka kwenye maji, nakupambana na lile dude, hukuwao wakijishikiza
kwenye kingo za jahadhi lao, wakijaribu kujinusuru, binti Isabelah aliednelea kusikia zilemiba za kwenye lilekia lapwenza,
zikizidi kumchoma, huku yeye akiangaza macho yake uona kama yule kijana mwenye upanga wa dhahabu atamwona, maana toka alipo
pigwa na kia la pweza, hakumwona tena, akiwa katiaka maumivu makali ndipo alipomwona yule kijana, lakini tofauti nikwamba,
alikuwa anaelea kwenye maji, akiwa ana fahamu, hapo akakata tamaa ya kuokoka, maana yule kijana alikuwa anapigana kwa ustadi
mkubwa sana akamkumbuka binti Nguva, akawaza kama asingekuwa amepigwa risasi, basi angekuwepo katika kutoa msahada, najisi
binti yule anavyo juwa kupambana wake fanikiwa kujiokoa, lakini wakati anawaza hayo ndipo, ghafla akaona kitu kilicho
ulipuwa moyo wake, kwa furaha, nakurudisha matumaini ya kuokoka toka kwenye mauti, maana alimwona Binti Nguva ambapo sasa
alikuwa amevaa kimapambano na amefunga ile sehemu aliyo pigwa risasi, akiibuka nakwenda pale alipo kuwepo yule kijana mwenye
upanga wa dhahabu, Haaaaaaaa fupiiiiiii japo tamu, ebu tukutane baadae nikujuze binti Nguva amefikaje hapa, na sababu zinazo
wafanya wajitolee kuwasaidia binadamu kiasi hicho, chakufanya isome kisha
ghafla akaona kitu kilicho ulipuwa moyo wake, kwa furaha, nakurudisha matumaini ya kuokoka toka kwenye mauti, maana alimwona Binti Nguva ambapo sasa alikuwa amevaa kimapambano na amefunga ile sehemu aliyo pigwa risasi, akiibuka nakwenda pale alipo kuwepo yule kijana mwenye upanga wa dhahabu, huku akifagia kila kile alichokuwa akikiona mbele yake, akitumia kile kisu chake mkunjo, tukio lile lilionekana mbele ya macho ya wengi japo bint Nguva alikuwa amebadirika kimavazi, lakini walimtambu mala moja, ilikuwa vigumu kumsahau, lakin ka bahadhi ya vijana akiwemo na kijana Yorobi, ilikuwa tofauti kidogo, kwani ujio hule uli wafanya wazani ni kwamba wale nguva wame kuja kulipiza kisasi cha kupigwa risasi kwa binti Nguva, licha yakuona akimfwata Nguva kijana aliepoteza fahamu, huku akipambana na mikia ya dudu pweza, lakini alizidi kuwaogopesha sana vijana hao, huku wakiwa hawana amani kwenye chombo chakavu walichokuwa wamepanda,walimshuhudia binti nguva akimfikia yule Nguva wakiume, ambae alikuwa amekata moto, nakumnyanyuwa akijiandaa kumsogeza sehemu salama, kwakuona hivyo binti Beralita akaona ndiyo nafasi ya pekee ya kuomba msaada, akapiga ukelele wakuomba msaada, ebe tuone wakina nguva wali fikaje hapa, kutowa msaada,
Ilikuwa hivi, baada ya kuwa amewasaidia wale binadamu, ambao Binti Nguva au kwajinalake unaweza kumwita FADHIRA, au mlizi mwamini fu wa mfalme kijana Yenda,(story ya ISABELAH mjukuu wa Mbuyamundu) nikawaida yake kuwa saidia binamu iwenchi kavu au kwenye maji, nasababu ya kupenda kuwasaidia bina damu ni kwamba anamausiano ya siri na binadamu mmoja wa kiume anaye fahamika kwajina la Jems komba, (PENZI LA BINTI NGUVA) baada ya kumaliza kuwa saidia kuwaokoa toka kwapapa, sasa aliitaji kuwaelekeza njia ambayo wange pita nakuwa salama, siyokule walikokuwa wanaelekea, kitu cha hajabu walimtandika risasi nakuamua kuondoka huku akimwona binti mmojatu ambae alionyesha shukrani kwake, akimpungia mkono, hakishindwa kuwaelekeza njia maana walionyesha kutokumwelewa toka mwanzo, huku kijana mmoja mkosa shukrani akimtandika risasi, FADHIRA aliwatazama mpaka walipo fika mbali, alichana kipande cha kilemba chake nakijifunga jelaha lake, alilo pigwa risasi, huku akiwaza namna ya kuwasaidia shemeji zake hawa wasio na shukrani, ndipo alipo pata wazo lakwenda kwa kiongozi wao YENDAYENDA, akiamini kuwa atakubari malamoja kwakuwa nayeye alikuwa na mausiano mazuri na binadamu, yaliyo sababishwa na binti Isabelah, mjukuu wa Mbuyamundu, taalifa zilipo mfikia mfalme Yenda, hakusubiri maana walifahamu kuwa uelekeo huo, unakaliwa na kiumbe mkubwa wahajabu, kutoka pale walipo kwenye maungio ya mto ruvuma ndani kidogo kwenye mto Matimila iliwachukuwa masaa kadhaa kuwafikia, huku Yenda akiwa mbele zaidi na wenzake wakifwatia wakiongozwa na binti Nguva au FADHIRA, nandipo walipo fika nakuanzisha mapambano, kelele za BERALITA zilimstua sana FADHIRA akaangalia kule zilipotokea alicho kiona kili mstua sana akajisemea kimoyo moyo "KAZI BADO HIPO" wazungu wana sema "JIMBOMBO JILIPO" kwanini FADHIRA anasema hivyo, inamaana ameshindwa kumsaidia BERALITA?,
INAENDELEA

No comments