4.SITASAHAU NILIVYOFANYA KAZI YA KUNUNUA KONDOMU ZILIZOTUMIKA.
Sehemu ya Nne ( 4 )
***********
“ Ng’aaaa..ng’aaaaa…ng’aaaaa..ng’aaaa..” ilsikka saut ya watoto wachanga ndani ya zle roba. Ndiiii…ndiii..ndiii..Moyo wangu ulianza kudunda kwa hofu. Nilogopa na kutetemeka.Mguu ikiwa nacheza na moyo ukiwa unadunda nilisimama kitandani, lakini ile nimesimama tu…..
Loooh! Yalikuwa maajabu. Watoto wachanga wawili walikuwa wamenishika miguu.
“ Unatupeleka wapi?” Waliniuliza.
Ndiiii.Moyo wangu uldunda kwa hofu kuuu, pale pale nilinyongonyea na kuanguka chini.
………………….
Nusu saa mbele nilizinduka.
Haraka haraka nilisimama. Niliangala kushoto na kulia hakukuwa na mtu wala wale watoto wa changa. Nililifata lile roba na kulitazama. Hakukuwa na watoto wachanga wala mtu yeyote yule. Nlizichambua zile salama lakini sikuona kitu.
“ Hivi nilikuwa naota au?” Nilijiuliza.
“ Hii sio kawaida! Sio kawaida kabisaaaa..” Nilijiamba hofu kubwa ikiwa imenitawala.
Niliyaangalia mazingira ya chumba changu nikajikuta sina amani kabisa!mmmh. Niliguna, haraka nilivaa sendo na kutoka.Nje ya mlango wangu, uso kwa uso nilkutana na ashura, mke wa Alex ambae aliniuza salama nyingi zilzotumika.
Hali yake na jnsi alivyoniangalia angalia hakuonesha kama kaja kwa usalama.
“ Kuna usalama shem?” Nilmuuliza.
“ Hivi rich! Mimi nina undugu na wewe?” Alnuliza.
“ Hapana! We ni shemeji yangu tu.”
“ Shemeji yako? Inamaana Alex ni kaka yako?”
“ MMMH! Mbona sikuelewi shem! Sku zote nimekuwa nakuita shem na wala hujawahi kuchukia. Kipi kilichokufanya uchukie leo?”
“ Unajua nimeolewa na alex kwa miaka mitatu sasa! Miaka miwil ya nyuma sikutaka kushika mimba kwakuwa hali yetu kiuchum haikuwa nzuri! Mwaka huu MUNGU katusaidia, mambo yameenda vzuri na nilpanga kushika mmba! Lakini imekuwa haiwezekani! Na leo nlienda kwa mganga akasema kamwe siwez kushka mimba.”
“ Sasa shem hayo yananihusu vpi mmi?”
“ Wewe ndo chanzo! Wewe ndo sababu ya mm kutoshika mmba! Mganga nliyemfata hakujui wewe, na wala hapa hajawah kufka, lakini kwakutuma uganga wake kasema wewe ndio chanzo, wewe ndo sababu ya mm kutoshika mmba.” Aliniambia.
“ Huyo mganga atakuwa na kchaaa! Inawezekana vipi mimi nikazuia wewe kushika mmba? Mwli wakwako wewe na mumeo Alex, mimi naingiaje hapo! Tafadhali shem naomba usinletee nuksi usiku huu! Tafadhali sana aiseeeee.” Nilmwambia. Pasipokusubir jbu lake niliondoka nikamwacha kaduwaaa.
Moja kwa moja nilenda lodge ! Nlichukuwa chumba na kujipumzisha. Akili yangu ilikuwa na mengi yasiyokuwa na majibu. Nilianza kuchanganykwa na kuogopa pia. Ktendo cha watoto wachang’aa kulia ndani kwangu, pia shutuma za Alex zilinchosha.
Nlijlaza ktandani, hakuchukua muda nilpitwa na usingizi.
……………………….
Majira ya saaa tisa usiku nilishtulwa usingzini na mlio wa simu yangu. Baada ya kujtoamawenge ya usingizi niliipokea na kuiweka sikioni.
“ Brooo vipi?” Nlimjibu nkwa bado kwenye usngizi mzito.
“ Safiiii..upo sawa?” Aliniulza.
“ Kiasi nipo sawa brooo! Kwanza naomba nikuulze kitu.” Nlmwambia nkwa najiweka sawa kitandani.
“ Niulize.”
“ Hiv hizi kondomu na manii wewe unaenda kuzifanyia nini?”
“ Dogo hilo tumeshaongea! Wewe fanya kazi na achana na maswal maswali.”
“ Broo sikuulizi tu! Nakuuliza kwasababu! Kuna mambo yametokea hapa yananichanganya sana aiseee. Hata sielew nifanye nini.”
“ Mambo gan hayo?’
“ Usiku wa leo nlkuwa nasikia sauti za watoto wachanga kwenye salama, na pia walinishika miguu na kuniuliza nawapeleka wapi? Kama haitoshi nmekutana pia na jrani yangu mmoja ananishutumu eti mimi ndio chanzo cha wao kutopata watoto.” Nlmwambia.
Ajabu kaka badala ya kusikitika aliangua kicheko.
Kama mwendawazmu alcheka kwa nguvu sana.
“ Usicheke kaka! Ujue hadi nyumban nmetoroka! Hapa saizi nipo lodge.”
“ Unasemaje? Umetoroka nyumbani! Hebu nenda harakaaaa…haraka sana nenda ..hutakiwi kuwa mbal na pale..” Aliniambia. Alintoa wasiwas na kunipa moyo! Kinyonge nlikubal. Usku ule ule niljweka sawa na kuelekea nyumbani.
Nikiwa mita kadhaa nifike! Jcho langu la kushoto lilianza kucheza kwa nguvu sana. Na mara zote jicho lilpocheza kuna jambo llitokea.
Kwa hofu kwanza nilisimama.
Kumbukumbu ya tukio la nyuma ilinijia. Nilikumbuka wale watoto wachanga walvyonishka miguu! Nlikumbuka sauti yao ya kilio.
“ Sitakiwi kwenda huku.” Nilijiambia na kugeuza pale pale.
“ Lakin hapana! Ntakikimbia chumba changu hadi lini?” Nlijiulza tena. Liwalo na liwe. Nilijiambia. Nilijipa ujasiri na kwenda! kadri nilvyokuwa nasogea, jcho langu la kushoto llizid kucheza. Tena lilcheza kwa nguvu sana.
“ Nini hiki?” Nilijiuliza na kupuuzia. Nilipiga hatua kuelekea nyumban! Kadri nilivyosogea nyumban, ndivyo jicho langu llivyozidi kucheza. Dakka kadhaa mbele nlfika. Lakini nilichokiona sikukitegemea.
Mkiwa wavivu kucoment namimi nakuwa mvivu kupost hivyo comment kwa wingi jamani ili mnie mizuka
# PIA USISAHAU KUNI FOLLOW ILI USIWE UNAPITWA NA STORY ZANGU FAIDA YA KUNI FOLLOW NI KUWA WA KWANZA KUPATA STORY KILA NINAPO POST

No comments