Header Ads

Header ADS

SITASAHAU NILIVYOFANYA KAZI YA KUNUNUA KONDOMU ZILIZOTUMIKA.





Sehemu ya Tano ( 5 )
***********
“ Nini hiki?” Nilijiuliza na kupuuzia. Nilipiga hatua kuelekea nyumban! Kadri nilivyosogea nyumban, ndivyo jicho langu llivyozidi kucheza. Dakka kadhaa mbele nlfika. Lakini nilichokiona sikukitegemea.
Nje ya mlango wangu niliwakuta mwenyekiti wa mtaaa akiwa na polisi
“ Richard habari?” Alinisalimia mwenyekiti baada ya kuniona.
“ Safi.” Nilimjibu huku nikiwa makini kuisoma sura yake.
“ Unatoka wap usiku wote huuu?”
“Kwan kuna amri ya kutotoka nje usiku? hii nchi huru mwenyekiti.”
“ Ni kweli, ila Sasa Hawa askari wamepata taarifa sio nzuri kuhusiana na wewe! Wao kama maafisa usalama wamekuja kujridhisha kama walichosikia ni kweli au lah?’ Aliniambia mwenyekiti. Askari aliyekaa mkono wa kulia pale pale alitoa karatasi na kunionyesha.
“ Hiki nini?’ Nilimuuliza.
“ Ni search warrant.”
“ Mmmh! kwani nyie mmesikia nini?’
“ Tumesikia unanunua kondomu zilizotumika! Tumekuja kujiridhisha kama ni kweli au lah?’
“ Kwani kununua kondomu ni kosa?’
“ Biashara zote zinataratibu zake! Kuna swala la leseni na kodi! Lakini pia kila biashara ni lazima mamlaka iijue.” Aliniambia yule polisi.
“ Kusema ukweli hii biashara sio yangu! Mimi nimeambiwa tu ninunue.” Nilijitetea.
“ Aliyekuambia ununue nani? Na alikuambia anazitaka salama kwa ajili ya nini?”
“ Ni kaka yangu! Ila hajaniambia anazitaka kwa ajli ya nini?’
“ Kaka yako?” Aliuliza mwenyekiti kwa mshangao.
“ Ndio ni kaka.”
“ Yupi Elgius au?”
“ Ndio ni huyo huyo.”
“ Ahahahaha..ahahahahaha.ahahahahaha.” Mwenyekiti alianza kucheka kwa nguvu. Kicheko chake kilitufanya wote pale tumuangalie yeye. Wale askari na mimi wote tulishangaaaa. Mwenyekiti alicheka kwa muda mrefu sana.
“ Unacheka nini tena?” Askari walimuuliza.
“ Mtanisamehe ndugu zangu.. unajua alivyomtaja kaka yake kanifanya nikumbuke mambo ya zaman sana. Kaka yake huyu bwana ni mtu wa ajabu sana aiseeee.” Aliongea mwenyekiti.
“ Tuachane na hayo mwenyekiti. Tufanye jambo lililotuleta hapa.” ALiongea yule askar. Waliniamba nipo chini ya ulinzi kwa kufanya biashara isiyo halali na kuhatarisha afya ya jamii. Nikiwa sielew nifanye nini, mmoja wa wale askari alitoa pingu na kunifunga.
“ Kwann mnanifanyia hvi lakini? Kosa langu nini?” Niliwaulza nikiwa kwenye hamaki.
“ Ni…..” Kabla sijaongea nilichotaka kuongea tena. Askari alinipiga mdomoni, kwa nguvu alinisukuma nikaanguka chini. Gafla yule askar na mwenzake walinibeba msobe msobe na kuniondoa eneo lile.
Ilikuwa kama ndoto hivi.
“ Tafadhal naomba tuongeee..hili swala linazungumzika…nawaomba sanaaaa…nawaombaaaa..” Niliongea kwa uchungu.
Walinishusha.
Niliwaomba wanipe ruhusa niongee na kaka.
Walikubalii.
Nilimpigia simu kaka na kumueleza kila kitu. Kaka kwa dharau alisema niwape laki moja moja waondoke.
“ Aaaah! uoni nitaongeza kosa la rushwa?” Nilimuuliza.
“ Hao askari njaa zinawasumbua..hakuna jambo lingine zaidi ya njaaa tu.” Aliniambia. Kishingo upande nilikubal. Nilielekea ndani kuchukua hela, lakin nkiwa mlangoni kumbukumbu yak lo cha watoto wachanga ilinijia.
Nilijitutumua na kuingia hivyo hivyo, ni kama masikio niliweka pamba.Bahati nzuri ndani hakukuwa na le sauti, nlimulka chumba chote klikuwa sawa tu! Hakukuwa na watoto wachanga wala sauto yao. Nilchukua laki nne cash na kutoka nje, bila woga kila mmoja nilimpa laki moja.
Ajabu, wote walipokea na kuanza kutabasamu.
“ Akikusumbua mtu yeyote tuambie.” Waliniambia wale askari na kuondoka. Waliniacha nimeduwaaa.
“ Inamaana muda wote huu walichokuwa wanataka ni pesa?” Nilijiuliza. Nlirudi ndani na kumweleza kaka kilichotokea. ALiniambia nisijali , muda ule ule alinitumia tena milion kumi nyngne. ALnitaka asubuhi sana nizunguke kwenye lodge zote.
…………………..
Asubuhi ya siku ya pili, kama tulivyokubaliana na kaka, nilijihimia kwenye nyumba za kulala wageni! Lakini kitu cha kushangaza, lodge zote nilizopita nilikosa kondomu zilizotumka. Nilizunguka mji mzima pasipo kupata chochote.
Haikuwa kawaida.
“ Inamaana usiku wa kuamkia leo hakuna watu waliofanya mapenzi kwenye lodge zote hizi?” Nilijuliza pasipo majibu. Nilirud nyumban na kumpigia kaka.
Kama ilivyokuwa kwangu naye alishangaaaa. Haikuwa kawaida.
“ Mdogo wangu kuna jambo halipo kawaida, ila tutajua tu, kwasasa naomba wafundishe vijana hapo mtaani kufanya mapenz kwakutumia mende. Kisha salama zao nunua.” ALiniamba.
Nilikubaliana nae.
Kwa siri sana niliwaita baadhi ya vijana waliowahi kuniletea salama na kuwaeleza chakufanya.
“ Najua muda wote hamuwezi kuwa na wapenzi wenu! Sasa nina mbinu kabambe ya nyie kufanya mapenz na salama kuniletea mimi.” Niliwaeleza. Pasipo aibu nlitoa salama moja na kumweka mende kisha nikamvaaa, kama ilivyokuwa kawaida, mende alivyokuwa anahangaika kutoka miguu yake ilichezea kichwa cha nanilu yangu, hali iliyopelekea nijisikie vzuri na mwishoe nifike mshindo.
Vijana wote waliduwaaa.
Nilimpa mmoja salama na kumweka Mende, alivaaa .
Kama ilivyokuwa kwangu, mende alivyotaka kutoka, yule kijana alianza kupiga kelele za raha, lakini ajabu akiwa anakaribia kwenye kilele cha raha alianguka chini mzima mzima…………..
Nini kitatokea?
Mkiwa wavivu kucoment namimi nakuwa mvivu kupost hivyo comment kwa wingi jamani ili mnie mizuka
# PIA USISAHAU KUNI FOLLOW ILI USIWE UNAPITWA NA STORY ZANGU FAIDA YA KUNI FOLLOW NI KUWA WA KWANZA KUPATA STORY KILA NINAPO POST

No comments

Powered by Blogger.