Header Ads

Header ADS

SITASAHAU NILIVYOFANYA KAZI YA KUNUNUA KONDOMU ZILIZOTUMIKA.





Sehemu ya Kumi na Tatu ( 13 )
********
“ Mmmh!” Nilijikuta nimeguna.
Kwa tahadhar nilmtazama yule jamaa kisha nikaisogelea simu yangu. Niliipokea.
‘Nisikilize kwa makin sana! Kwakuwa ni mdogo wangu nakupa nafasi nyingne ya kuishi! Watu ninaofanya nao kazi hawanaga dogo! Ukizingua unakufa! Huyo mtu alyekuwa kwako hajapotea njia.” Alniambia na kukata simu.
Gafla, kwa kas ya umeme yule mtu alinirukia. Nikiwa nashangaa nilijkuta nimelala chini na kisu nimewekewa shingoni.
“ Kwaheriii..” ALiniambia huku akikikandamza kisu chake shngoni kwangu.
“ Triiiiiiiiiiiiiiiiiiii.” Mlio ulisikika kwenye kifaa kilichokuwa shngoni kwake.
“ MUNGU wako mkubwa sana…umepona..” ALiniambia. Alsmama haraka haraka na kutoka mle ndani. Jambo lilifanyika kwa muda mfupi sana. Haraka nilifungua mlango kumuangala nje sikumuona.
“ kaka.. anataka kuniua kwel?’ Nilijiuliza. Pasipokujielewa haja ndogo ilinitoka na kulowesha nguo yangu. Nlitetemeka kama nimepigwa na shoti ya umeme.
………………………………
Asubuh sana ya siku ya pili nliamua kuingia mtaani! Skuona njia nyngine zaidi ya kumtafutia kaka salama zake. Kwakuwa sikuwa na hela nilipanga kupita kwenye mshimo ya lodge na guest house. Niliamin lazima nitazikuta salama tu.
Nilizunguka lodge zote, lakn ajabu sikuzikuta salama.
“ Kaka umeamua kuangalia shimoni badala ya kuja kununua kwangu?” Dada wa mapokez aliniuliza.
“ We si ulikataa kunuzia.”
“ mmmh! mwenzagu siku ngap zile nahsi kama sikuwa mm! kabsa nahsi nilirogwaaa.”
“ Ni kwel ulichezewa..ila sasa nataka hzo salama japo sina hela.”
“ Aaah! Unataka nkupe bure ukauze upate hela nyngi.”
“ Haipo hvyo..”
‘ Hapana aiseee, bila elfu 25 sikup salama.. sikup ng’ooo.” Aliniambia. Niljaribu kumbembeleza lakini ilikuwa bure! Alkuwa kashafanya maamuzi yake. Sikuwa na namna niliondoka.
“ Hakika hawa walifungwa ndio mana kipndi kle walikataa na sasa wanakubali.” Nlwaza. Nlirudi nyumban, watu wa mtaan hakuna hata mmoja aliniuliza wala kuniletea salama, licha ya gundu kutolewa. Nazani Hii ilitokana na taarfa ya uzazi wao kupotea ikiwa watanipa salama.
Nlirudi nyumban na kujifungia ndani.
“ Napata wap salama?” Nlijiulza.
Nikijiulza hayo, simu yangu iliita. ALikuwa kaka. ALiniambia nimebaki na masaa 36 ya kukamilisha kaz aliyonipa. Aliniambia nkishndwa bas yule mtu ataniua. Niliogopa sana aiseee. Muda ule ule nilitoka nje tena. Nlizurula kila sehmu lakini sikupata ktu.
Giza lilipongia, nilienda kwenye uchochoro wa kwa mangi! Walev wengi wa bar ya DX uwa wanafanyia mapenzi pale baada ya kulewa. Nilitega na kutulia kimya kuwasubri waje.
“ Wakiacha salama zao tu, haraka sana naziokota.” Nilijiambia.Nilijibanza kwenye kona kimya kuwasubri, dakka kum na tano mbele, Nilimuona mage na jamaa ambaye skuwa namfahamu wakienda kwenye ule uchochoro.
“ Yes.” Nilijisemea moyoni.
Nilitulia kimya ili wasinione.
Dakika saba mbele walitoka kule kwenye giza na kuweka nguo zao sawa.
“ Tayri.” Nilijiambia. Haraka haraka nilienda pale walipofanyia! Nliwasha toch ya smu na kumulika. Looh! Hapakuwa na kitu.
“ Inamaana wamefanya bila kondomu?” Nilijiuliza.
“ Yule jamaa boya sana..anafanyaje bila kondomu.” Nilijiuliza.
Nlrudi kwenye kona yangu na kusubir wengine. Haukupita muda mwiing walifika. Dakika kadhaa mbele nao waltoka! Lakin kama ilivyokuwa kwa wale wa mwanzo, nilipoenda nao likuwa vle vle. Hakukuwa na salama.
“ Hawa watu mbona wajnga sana! Wanafanyaje mapenzi bila salama?” Nilijiuliza sana.
Nliendelea kusubr, lakin hadi bar inafungwa, wote waliingia kwenye ule mchochoro hawakuacha salama. Hii iliniumiza kichwa sana.
“ Kesho inabdi nlete box la kondom na nimkabz meneja wa hii bar! Tena inabidi nisilete mmi asije kunshtukia.” Nlwaza.
Kinyonge nlrudi nyumbani.
Njiani smu yangu iliingia ujumbe! Ulikuwa umetoka kwa kaka.
“ Yule jaamaa anakuja usiku wa leo kuangalia kama kaz unafanya au unaleta tu masihara..” Ulisomeka ujumbe.
“ Nafanyaje?” Nilijiuliza. Haraka nliwahi lodge jiran . Niliongea na muhudumu akaniuzia salama mpya.
“ Hizi mpya nakupa tu! Hata ukitaka box kumi nakupa lakini zile zenye manii lazima unpe hele..tena unipe cash.’ ALiongea yule muhudumu. Skumjibu, nilpokea salama alzonipa na Haraka nilijweka sawa na kuwahi nyumban. Nilifungua mlango wangu nikawasha taaa. Kwa umakin mkubwa nlienda sehmu ninayopikiaga chakula na kutafuta mende.
Katka pekua pekua nilipata mende wawili.
“ haraka nilivua suruali yangu na kumuweka mende mmoja.” Nlivaa kwenye maungo yangu. Kama ilivyo siku zote, mende kila alpotaka kutoka alintekenya hali iliyonifanya nijisikie raha sana. Raha ile ilifanya nifike mshindo.
Haraka niliivua ile salama na kuvaa nyingne ikiwa na mende ndani, tofaut na mwanzo safar hii mende licha ya kunitekanya naniliua yangu haikusimama wala kushtuka. Muheshimwa ni kama alikuwa kalala usingizi wa fofofo.
Nlivuta hisia na kujarbu kumtiksa lakin hakuznduka.
Nikiwa nawaza nfanye nn, mlango wa chumba changu uligongwa. Sauti ya alyegonga ilipoingia tu sikioni nilimkumbuka.Puuuh. Moyo ulidunda.
TANGAZO. MZIGO UPO SOKONI HUU NI BONGE LA STORY
****************
SIMULIZI YA "SITASAAU NILIVYOFANYA KAZI YA KUNUNUA KONDOMU ZILIZO TUMIKA *💃" NIMEAMUA KUISHIA KIPANDE CHA 13 SITAENDELEA NAYO KWA WATAKAO ITAJI KUPATA MWENDELEZO ILI WASOME MPAKA MWISHO WATABIDI WAFUATE UTARATIBU WA MALIPO NIMEFANYA IVYO ILI TUWEZE KUCHANGIANA CHOCHOTE KITU SI MNAJUA KAZI YA UANDAAJI WA SIMULIZI ULIVYO MGUMU NA UNATUMIA GARAMA YA MB MUDA NA VINGINE VINGI SI MBAYA UKIWA KAMA MDAU WANGU UKAGUSWA KUCHANGIA ILI TUWEZE KUSONGESHA GURUDUMU HILI LA BURUDANI ILI NAMI NIWEZE KUWALETEA VITU VINGINE AMBAVYO VITAKUFANYA UPATE KUJIFUNZA VITU VINGI KWENYE MAISHA
Jamani Simulizi ya " SITASAAU NILIVYOFANYA KAZI YA KUNUNUA KONDOMU ZILIZO TUMIKA!!" inapatikana kwa garama ya shiling 1500/= wai mapema kabla atujaanza simuizi mpya kwani tukianza simulizi mpya sitopenda kuona maswali yanayosema kaka mbona simulizi ya " SITASAAU NILIVYOFANYA KAZI YA KUNUNUA KONDOMU ZILIZO TUMIKA!" atuoni mwendelezo wake wai ili ujionee mambo yalivyo pamba moto amini ukilipia autajutia kuisoma hii simuizi
UTARATIBU WA MAIPO UKO HIVI
maipo yanafayika kwenye namba +255714903603 jina a Tigo pesa itakao tokea ni PETER JOSEPH MBAGA ukisha maiza kufanya malipo unatakiwa utume sms yako ya malipo kwa whatsapp number +255714903603 ukifanya hivyo utatumiwa fasta vipande vilivyo salia
KWA WALE WASIO NA WAHATSAPP UTARATIBU UKO HIVI
Ukisha maliza kulipia unatakiwa uni sms fb in box ili niweze kukupa utaratibu
TANGAZO KWA WATU WA KENYA WANAOTAKA KUNUNUA SIMULIZI KWANGU NJIA YA MALIPO NI HII APA NILIO IANDIKA
*************
1.Anabonyeza *840# Kisha unachagua number 1.Send money abroad.
Then unachagua number 1.send to mobile number then unachagua country Tanzania.Then unaweka number yako +255714903603.(usisahau kuweka +255).
Kisha unachagua source of funds,then unachagua purpose if unakutumia za biashara or za personal use,Kisha unatuma.
Ikienda through utaletewa ujumbe baadaye aweke m-pesa pin

No comments

Powered by Blogger.