Header Ads

Header ADS

SITASAHAU NILIVYOFANYA KAZI YA KUNUNUA KONDOMU ZILIZOTUMIKA.



Sehemu ya Kumi na Mbili ( 12 )
********
“ Usiniite broooo..nataka salama au hela zangu… una sku mbli tu! Lasivyo kitakachokupata usishangae.” ALiniambia na kukata simu.
Niliduwaaa.
Macho yalinitoka misiri ya fundi saa kapoteza nati. Niliwaangalia baba na mama lakini sikuwaona. Kwa sekudne kadhaa nilikaa kimya kama mwendawazmu! Baba na mama waliniuliza kulkoni lakini sikuwasikia kutokana na mawenge.
“ Rich..rich..’ Baba aliniita huku akinitiksa tikisa.
“ Ungempigia kaka yake kwanza…yeye ndiye aliyesababsha hi hali.” ALiongea mama! Baba alkubali, alsogea pembeni na kumpiga kaka.
Hakupokea.
“ Hebu niambie kaka yako kasema nin?” ALiniulza.
“ Anataka hela yake..”
“ Alikukopesha?”
“ Hapana. Alnpa kle kazi niliyokuambia! Sasa kazi imeshndikana, halafu kumbe ile kaz sio salama kabisa kwa jamii! Wote ambao nachukua salama zao hawataweza kupata watoto tena.” Nilimwambia.
Baba kwa mshangao alijiziba mdomo.
………………….
Baada ya kutafakar kwa kina sana, baba aliniambia niondoe hofu, kwakuwa Elgius ni kaka yangu bas hawez kunifanya chochote kbaya! Aliniamba kama ataendelea kuning’ang’aniza nmpe hela yake bas niwasiliane naye yeye.
“ Sawa.’ Nlimjibu .
“ Kweeh.” Mlango wa wod yetu ulfunguka akaingia daktar akiwa na file mkononi.
“ Rich unaendeleaje?” ALiniuliza.
“ Npo sawa kabsa..naendelea vzur.” Nilmjibu.
“ Ok sawa..sasa sisi hatuna tena chakukutibu! Hali yako naona ipo sawa. Kila kitu kwenye mwili wako kimeimarka. Hivyo unaruhusiwa kurud nyumbani.” ALiongea. Kwa pamoja na wazazi wangu tulimshukuru akaondoka.
Baba alienda ofisin akamalizia taratibu na kufanya malpo mengine kisha tukaondoka! Siku ya pili wao walirudi iringa .Wakati wote wamefika pale kuniuguza,walikuwa wanakaa ndugu yetu aitwae seleli.
……
Nikiwa peke yangu nyumban nilikumbuka kaul za kaka kuwa atanifanya kitu kibaya. Lcha ya kias fulan kunipa hofu niliamua kuzipuuza, kwanza halikuwa kosa langu salama kupotea, pia mwenyekiti aliniambia nisifanye tena ile kazi pale.
Nilijlaza kitandan nikifkir kitu gani naweza kufanya kuendeleza maisha yangu!
Sikukipata.
“ Kaka aliniwah kuniambia niende marekani nikakataaa.. acha nimuambe anifanye mpango niende.” Niliwaza. Haraka nlchukua simu yangu na kumpigia.
Baada ya salamu nilmueleza mpango wangu.
“ Aaah! Yaani baada ya kuzitafuta salama zangu unawaza kuja huku? Hvi unaakili wewe?’ ALiniulza kwa ukal sana.
“ Hiv unazani nafanya utan ninavyokuamba nataka salaam zangu au hela?”
“ Lakin kaka…”
“ Hakuna cha lakini… wewe unazani utani! Ngoja sasa nikuonyeshe mimi sio wa mchezo mchezo.’ ALikata simu. Sikujihangaisha nae. Niliiweka simu pembeni na kujilaza kitandani. Haikuchukua muda nililala.
“ Meryc..mercy..mery..” Nilitamka pasipo kujielewa.
Gafla nilishtuka.
Nilikuwa peke yangu chumbani!
“ uuuh!” Nilihema. Hli jina la mercy, ni jina ambalo mara nying nimekuwa nalitaja. Toka nikiwa mtoto nilkuwa nalitaja sana pasipokumjua mercy mwenyewe .Hata nikiwa nafanya mapenzi, mara kadhaa nimekuwa nalitaja kiasi cha wapenz wangu kuchukia na wengine kuniacha.
“ Hili swala la mercy nalo spaswi kuliacha hvi hiv! inabidi nifanye jambo.” Nilijiambia Nililivuta shuka gub gubi nikalala.
Dakka tatu mbele, mlango wangu uligongwa. Kabla ya kufungua nliangalia saaa. Ilkuwa ni saa nane usiku.
“ Nani wa kuja kuniamsha saizi?” Nlijiuliza. Kinyonge nljweka sawa. Niliwasha taa ukutani na kwenda kuufungua mlango.
“ Samahani! Mim ni mgen hapa.. naomba msaada wa sehemu ya kulala..’ ALiniambia.
Sikumwelewa, kwanza nilijipikicha macho. Nilihis naota. Haikuwa kawaida, nyumba yetu ilikuwa mbali sana na barabara. Haikungia aklin mtu atoke barabaran aje agonge mlango wangu.
“ We ni nani?” Nilmuuliza.
“Tafadhal naomba kwanza nikae..nitakueleza kila kitu.” ALinambia. Kabla hata sijamkaribsha ndani alingia na kukaaa. Nikiwa namtafakari vzur, simu yangu iliita. Niliitazama alikuwa kaka.
“ Mmmh!” Nilijikuta nimeguna.
Mkiwa wavivu kucoment namimi nakuwa mvivu kupost hivyo comment kwa wingi jamani ili mnie mizuka
# PIA USISAHAU KUNI FOLLOW ILI USIWE UNAPITWA NA STORY ZANGU FAIDA YA KUNI FOLLOW NI KUWA WA KWANZA KUPATA STORY KILA NINAPO POST

No comments

Powered by Blogger.