Header Ads

Header ADS

SITASAHAU NILIVYOFANYA KAZI YA KUNUNUA KONDOMU ZILIZOTUMIKA.



Sehemu ya Pili ( 2 )
***********
“ Unasemaje?” Nilimuuliza kwa hamaki kana kwamba sijamsikia alichoongea.
Acha kuniulza mara mbili mbili…fanya ulichokisikia..” Alinisisitiza.
“ Hapana kaka? Kwanin nifanye?”
“ Nahitaji salama nyngi sana. Hizo ulizokuwa nazo hazitoshi kitu.. nahitaj nyingi kupita maelezo..”
“ Hatakama unahitaji nying! Mimi siwezi fanya..kesho nitaendelea kukukusanyia mpaka zitimie unazozitaka.”
“ Rich naomba tusibishane! Naomba mpigie mchumba wako aje mfanye mapenzi … tena kila siku itabidi ufanya nae mapenzi ili uongeze idadi ya salama.”
“ Kaka mmi siwezi fanya mpaka uniambie hizi salama za nini? kukununulia nitakununulia, lakin swala la kufanya mapenz mimi haiwezekani.”
“ Kama hivyo kazi imekushinda! Nilipanga kukulipa milioni tatu kwa mwezi, ila kwakuwa hutaki basi, nitatafuta mtu mwingineee..” ALiniambia na kukata simu.
Nilijaribu kumpgia tena muda ule ule sikumpata.
“ Shiiit.” Niljikuta nimetamka. Toka naanza kazi sikuwa najua nitalipwa shilingi ngapi! Milioni tatu ilinishtua! Nilijikuta napanga mipango mingi sana. Kwa mshahara wa miloni tatu niliona kabisa maisha yangu yatabadilika.
“ Lakin nitafanyaje mapenzi na mpenzi sina ” Nilijiuliza pasipo majibu.
“ Piga ua, siwez kukubal miloni tatu inipoteee hvi hv. Nitafanya jambo.” Niliwaza. Niltoka nje usiku ule ule na kutega barabara ya kuelekea nyumbani kwakina ester! Ester alikuwa ni mpenzi wangu, ila tuliachana baada ya mimi kutaja jina la mschana mwngine tukiwa kwenye shughuli, yaani tukiwa tunafanya mapenzi badala ya kumtaje ester, nlimtaja mercy na kumsifia.
“ Muda huu Ester anaendaga kumsaida mama yake kufunga duka! Acha nitege hapa nitampata tu.” Niliwaza.
Nilisimama barabarani kwa masaa zaid ya mawil lakin ester hakutokea. Taratibu nilipiga hatua kuelekea nyumbani kwao. Nikiwa mita kadhaa kutoka kwao, nyuma ya choo chao nilihis ktu. Haraka kwa tahadhari kubwa nilienda kuangalia.
“ Eeeeh!’ Nilishtuka baada ya kufika.
Nilimkuta ester akiwa na Jerome, walikuwa wanashikana shikana na kubusiana mdomoni.
“ Unafanya nini ester? Hi ndio tabia gani?” Nilimuuliza . Kabla hajanijibu niliwavamia. Nilimshika Jerome na kumpiga ngumi za tumbo. Eeeeh! Jerome naye hakuwa boya, pale pale alinigeuzia kibano, kwakushirikiana na ester walinidunda hadi sio poa.
Waliniacha nikiwa hoi wakaondoka.
Nikiwa nahema kwa tabu sana! Simu yangu upande wa wastup iliita.
Alikuwa kaka.
‘ Ulinpigia?” ALiniulza.
“ Ndio! Nilitaka nkuambie nipo tayari kufanya mapenzi ila bahati mbaya mpenz wangu mwenyewe kanikataaa.” Nilimwambia.
“ Duuuh! Pole.”
“ Lakin si unaitaji salama ilyotumika! Si naweza ivaa salama kisha nikajichua?”
“ Mmmh! hapana. Ukjichua inakuwa haifai! Inabidi itumike kwa watu wawili. Chakufanya hapo naomba tafuta salama, kisha tafuta mende mzima. Ukivipata hivyo nipige nitakupa maelezo.” ALiniambia.
“Sawa.” Nilimjibu.
……………..
Saa moja mbele nilikuwa nyumbani, nilikuwa na salama paketi moja pamoja na Mende wazima wawili wakiwa kwenye kopo. Nilimpigia simu kaka ili anipe maelezo.
“ Sasa kama nilvyokuambia! Nahitajika salama iliyotumika. Lakini licha ya kutumika inabidi watu wawil wafanye mapenzi, ila kwakuwa wewe hauna mpenzi basi tutatumia nafsi ya huyo Mende. Utafanya mapenzi na huyo mende.” Aliniambia.
Niliduwaaa.
“ Usishtuke wala usishangae, ifungue salama moja kisha muweke Mende ndani ya hio salama.” ALiniamba.
“ Nikashamuweka nafanyaje?” Nilmuuliza.
“ Ukishamuweka vaa hio salama. Mende atakuwa ndani kwa mbele.” ALniambia.
“ Mmmh!’
“ Usigune fanya hivyo.” Aliniamba kwa ukali.
Sikuwa najinsi nilifungua salama moja na kumuweka Mende kisha nikaivaaaa kwenye uume wangu. Ajabu, ile nmeivaaa tu, Mende……………….
Mkiwa wavivu kucoment namimi nakuwa mvivu kupost hivyo comment kwa wingi jamani ili mnie mizuka
# PIA USISAHAU KUNI FOLLOW ILI USIWE UNAPITWA NA STORY ZANGU FAIDA YA KUNI FOLLOW NI KUWA WA KWANZA KUPATA STORY KILA NINAPO POST

No comments

Powered by Blogger.