SITASAHAU NILIVYOFANYA KAZI YA KUNUNUA KONDOMU ZILIZOTUMIKA.
Sehemu ya Kumi na Tano ( 15 )
********
Haraka niligeuka nyuma kuangalia kama kuna mtu! hakuwepo, haraka haraka nilwah pale konani na kuzichukua zile salama, lakni ile nataka tu kuziweka mfukoni, lily alitokea.
“ Kulikoni? Unachukua nn huko?” Aliniuliza.
“ Amechukua kitu?” ALidakia Ana kutokea barazani! Haraka alimpita lily na kunifata niliposmama. Alinikuda roba na kunitaka niseme nilichochukua! Aliingiza mkono wake mfukoni mwangu na kuzitoa zile salama.
“ Aaaah! wewe ni mshirikina?” Aliongea kwa sauti kubwaaa.
“ Unatembeaje na salamaaaa zlizotumika?” Aliniulza.
Sikuwa na lakufanya zaidi ya kuwatazama tu! Akili yangu iliwaza yasiyowezekana! Haikuniingia akilin zile salama kukaa pale! Kla nlipofikiria niliona ni kama mtego hivi. Haikuwa sawa hata kodogo.
“ Hawa watu wanaanzaje kunikarbisha ndani kwao wakati hawanijui?” Nilijiuliza. Sikuwa na majibu! Muda wote niliwaza nilivyoingia inga mle ndani .Nilikosa kabisa majibu! Nilihisi kuna jambo lisilo la kawaida.
Ana baada ya kuzitoa salama mfukon alinikuda roba kwa nguvu sana.
“ Hizi salama wewe za nini? Kwanin unatembea na salama zilzotumika?” Aliniulza.
Nlimtazama kwa tahadhari sana huku nikiisoma akil yake! Nilimuangalia machon kwa sekunde kadhaa akakwepesha macho yake! Nilimgeuka lily na kumkazia macho! Naye hakuwa na ujasiri wa kuniangalia machoni! Haraka sana alikwepesha macho.
KuKwepesha kwepesha macho kulinifanya niwaze ktu.
Baada ya kukifkir iko kitu nilcheka. Tena nilicheka kwa nguvu sana. Ana na Lily waliangaliana. Niliviweka vyombo chni kisha kwakujiamini sana nilimsogelea Ana.
“ We ni nani? ’ Nlimuuliza nikiwa nimemkazia macho. Kwa hofu alirudi nyuma. Alnitsha kupiga kelele na kujaza watu! Wala sikuogopa. Nilimpa ruhusa. Nilimwambia apige kelele kama anavyotaka .
Hakupiga.
Nilimpita na kumfata Lily. Naye nilimkazia macho na kumuulza yeye ni nani! Kama ilivyokuwa kwa ana nae aliktaa kabsa kuniambia chochote kile. Nilijikuta nacheka tena. Nilicheka kama kichaa hiv nikawa nawatazama.
“ Paaa.paaaaa…paaaaaa.’ Nilipiga makofi.
“ Hongereni sana…hongereni sana..” Niliwaambia.
“ Hongera ya nini?”
“ Mpango wenu umefanyika kama vle mlivyotaka! Kwanza mlnivamia kwa maswal pale jalalani, ksha mkaniita ndani kwenu na kunipa chakula. Kisha baadae mkaweka mtego wa salama na kuniambia nipeleke vyombo jikoni. Lengo lenu nizione hzi salama ksha nizichukue." Niliwaambia.
Macho yaliwatoka kwa mshangao. Muonekano wao ulonesha nilichosema ni sahihi.
“ Mnataka nini kwangu? Na kwanni mmenfanyia hivi..eeeeh?” Niliwauliza.
“ Kusema ukwel tu…” Ana altaka kuongea lakini alikatishwa na Lily. ALmtaka akae kmya, Kisha taratbu sana lily alinisogelea na kunishika mkono. Alpiga hatua na kutaka twende barazani.
Nlkataa.
Sikuwa tayar kwenda barazan.
Niliutoa mkono wake na kutaka kuinga kile chumba ambacho niliona salama mlangon. Nikiwa nalivuta pazia, haraka sana Lly alitoa bastola na kunioneshea.
“ Nilionekana mwema lakini sio mwema kama ulivyofkiria. Uwa naongea mara moja tu! Na nikisema unatakwa kufanya kile ninachokuambia.” Alniambia.
“ Achia hilo pazia na haraka sana geuka kunifata.” Aliniamba. Taratibu nlliachia pazia na kumfata . Kabla sijamfikia nilikata shauri! Oblangata yangu iliniambia niingie kle chumba. Shauku ya kujua klichokuwa ndani ilkuwa kubwa kupita maelezo.
Pasipokujal bastola yake niligeuza na kueleka kwenye kile chumba! Kabla sijaingia Ana alniwahi na kukaa mbele yangu.
“ Acha niingie.” Nilimwambia.
“ Humu huingii aiseee.” ALiniambia.
“ Kwakuwa mmekataa kuniambia nyie ni wakina nan nitaingia! Tena nitaingia na hamtanifanya chochote kle.” Niliwaambia. Nilimshka Ana kwa nguvu na kumtoa mbele yangu! Nilisukuma mlango, haraka sana Lily aliniwahi.
“ Huwezi kuinga.” ALiniambia. ALnvuta mkono nikaanguka chini! Nikiwa chn alinyanyua mguu juu na kunipiga nao tumboni! Niligumia kwa maumivu makali.
“ Nlikuambia! Mmi sipo vle unavyofikiria” ALiniambia. ALinshika mkono na kunivuta kwa juu! Nilsmama, nilijaribu kumpga teka lakni alilipangua kiurahisi sana. Hakuwa mwanamke wa kawaida. Alikuwa anazijua sanaa zote za mapigano.
“ Hatuna haja ya kuendelea na haya yote! Naomba kuwa mpole. Kwa pamoja naomba twende barazani tukaongeee.”Alniambia. Alinnyanyua msobe msobe na kunipeleka barazani. Sikuwa na namna, ilibidi niwe mpole.
“ Kwanini unatafuta salama! Na unazipeleka wapi?”Aliniuliza swali.
“ Nyie ni wakina nani?” Nami nilmuulza swali.
“ Naona tunaongea kwa maswali! Ila haina shida, nitakuambia mimi ni nani kwakukuingia kwenye kile chumba.” ALiniambia. ALinitaka nisimame. Nilismama tukaelekea kwenye kile chumba. Lily alisukuma mlango nikaingia.
Loooh.
Mkiwa wavivu kucoment namimi nakuwa mvivu kupost hivyo comment kwa wingi jamani ili mnie mizuka
# PIA USISAHAU KUNI FOLLOW ILI USIWE UNAPITWA NA STORY ZANGU FAIDA YA KUNI FOLLOW NI KUWA WA KWANZA KUPATA STORY KILA NINAPO POST
No comments