( 16 & 17 ) SITASAHAU YALYONIPATA WAKATI NAFANYA KAZI YA KUNUNUA SALAMA ZLZOKWSHA TUMIKA
Sehemu ya Kumi na sita & kumi na Saba ( 16 & 17 )
********
Loooh.
Chumba kilkuwa kimejaa salama! Kulikuwa na roba zaidi ya tatu! Zote zimefungwa salama zilzokwsha tumika.
“ Aahahaha.ahahahaha..” Lily alicheka.
“ Unacheka nini?” Nilimuulza.
“ Nacheka kwakuwa swal uliloniuliza ni swali ambalo hata mimi nlitaka kukuulza. Nahitaji kujua na wewe unazipeleka wapi salama ulizokuwa unaziokota barabarani.?” Alinuliza. Nilishindwa kumjbu! Hvyo nilimuangalia tu!
Ukmya ulitawala.
“ Tukiendelea kuangaliana hiv tutakesha hapa! Ni vyema tukaelezana. Wewe unatafuta salama, na sisi pia tumekuwa tunafanya kazi hio ya kutafuta salama zilzokwsha tumika. Tulivyosikia na kukuona unaztafuta tulitaka kujua ni za nini. Hvyo ndio mana nikafanya njama na shoga yangu li uje huku. Lengo letu sio baya ni kujua tu.”
“ Kukweli mmi sifahamu znatumka kwenye nni! ILa nimepewa tu kaz ya kuzitafuta.” Niliwaambia.
Kishingo upande waltiksa vichwa vyao kukubaliana na mim! Waliniambia hata wao hawajui zle salama ni za nini! ila wapo pale kuzilinda. Bos wao ndye anayezkusanya na kuziweka pale.
Hawakuonekana kama wanadanganya.
Nliwaomba niondoke wakanishi nisimwambie mtu kuhusu nilchokona pale! Niliwatoa hofu ksha nikaondoka. Nikiwa Mita tatu kutoka pale, nilmuona Lly na ana wakitoka nje kuniangalia. Sikuwajal. Nilongeza mwendo na kuondoka kabsa eneo lile.
…………………..
Niliendelea kuingia majalalani na kutoka! Nilizunguka maeneo yote yenye ushawish wa watu kufanya ngono lakini niliambulia patupu.
“ Kpnd cha nyuma wakat sizihtaji hizi salama nlkuwa naziona, lakni leo nazhtaji hata sizioni kabisa.” Nilijiambia.
Nlizunguka na kuzunguka lakin skuambulia kitu.
Had giza linaingia sikufanikiwa kupata salama hata moja! Hatari ya kuuwawa niliona mbele yangu! Sikuona kama ni busara kwenda nyumbani pasipokuwa na salama. Hvyo taratbu nilikata kona ma kurudi tena nlikotoka.
“ Yanpasa kuongea na Lily.” Nlijiambia.
“ Ndio..” Niliwaza. Nlirudi hadi kwenye ile nyumba. Nikiwa mlangoni, niliwasikia wakiongea ndani mambo yalyonishtua kidogo.
“ Me nilikuambia, yule kaka hajui kitu! Angekuwa anajua wala asingeang’ahika kuokota hovyo mjalalani.” Alongea Ana.
“ Lakni ujue ni mdogo wake kabisaaa…yeye na Elgius ni mtu na kaka yake. Inakuwaje asijue kitu?” Aliuliza Lily.
“ Watu wenye hela wanamambo meng sana ujue.. We fikiria kwa utajir aliokuwa nao elgius unazani angekuwa mtu mwingne angeruhusu kaka yake afanye kazi ile. Bla shaka angemfanya awe msimamizi.” Alijibu Ana.
Nlichoka.
Pale pale nliishiwa nguvu na kukaa chini!
Dakka kadhaa mbele! Bila ya watu wa ndan kujua.Nilisimama na kuondoka eneo lile. Njia nzima kchwa changu kiliuma sana kwa maswali! Nilijiulza na kujiulza meng yasiyokuwa na majibu! Sikumwelewa kabsa kaka.
“ Paaaaah!’ Niligongwa na gari. Mzima mzima nikiruka juu na kutua chini. Puuuuh. Pale pale nilipoteza fahamu.
……………..
Nilizinduka na kujikuta hospitali.
“ Pole sanaaa..” Aliniambia dokta.
“ Ahsante….” Nilijibu kwa tabu sana.
“ Umechukuwa muda mrefu sana kuzinduka! Tulianza kupata mashaka.” ALiongea dokta huku akichoma sindano na kuniwekea dripu.
“ Kweeeh” Mlango wa wod ulisukumw akaingia mbaba mtu mzim ambae sikuwa namfahamu
“ Eeeh! Afadhali umezinduka..maana hapa nlishaanza kuchangayikwa.” ALiniambia. Alichukua mfuko chin ya kitanda na kunikabdh simu yangu. ALinieleza yeye ndye aliyengonga na kunleta pale hospital! ALiniomba samahani na kunitaka nmsamehe kwa kilichotokea.
“ Ahsante kwakunijali..” Nilimwambia. Niliwasha simu yangu.
Ile kuwaka tu! Ujumbe uliingia upande watsup kutoka kwa kaka.
“ Pole kwa matatzo..nasikia umegongwa na gari.” Ulisomeka ujumbe. Nilguna baada ya kuona hio taarfa, ksha nikamgeukia yule mbaba kumuulza kama kuna mtu yeyote kampa taarifa.
“ Hapana..nilitaka kuwapa taarfa ndugu zako lakni niliogopa! Hivyo nilizima simu yako na kusubir upone ili uweze kuwaaambia wewe mwenyewe.” ALiniambia.
“ Kaka kajuaje? INamaana anawatu wananifatilia?” Nilijiulza. Nikijiulza hilo, ujumbe mwingne ulingia kutoka kwa kaka.
“ Nimekusamehe kuhusu hela na zile salama..ishi maisha yako kwa amani sasa.” Ulsomeka ujumbe.
Niliiweka simu pemben na kujlza kitandani! Licha ya msamaha wake! Bado nafs yangu ilkosa aman kabisa. Sikuwa na raha hata kidogo.
…………………………….
Wiki moja mbele nilruhuswa kutoka hospitali, nilimpigia baba kuwa naenda, lakin tofauti na matarajio yangu, sauti ya baba haikuonesha kama yupo sawa. Jibu jibu yake ilionesha kuna jambo. Sikujali. Siku ile ile nlitafuta gari na safari ikiaanza.
Nilifka.
Niligonga mlango ukafungulwa na kaka.
“ Aaaah! umerudi lin?” nilmuuliza kwa mshangao. Wakati mmi nikiwa na mshangao, kaka ali…………..
SITASAHAU YALIYONKUTA WAKAT NAFANYA KAZI YA KUNUNUA SALAMA ZILZOTUMIKA 17
“ Aaaah! umerudi lin?” nilmuuliza kwa mshangao. Wakati mmi nikiwa na mshangao, kaka alinibusu mashavuni na kunpga piga mgongoni.
“ Pole kwa yote mdogo wangu..pole sana..” Aliniambia.
“ Ahsante.” Nlimjbu na kujitoa mwlni mwake.
Alnshka mkono tukaingia ndani.
Tukiwa bado hatujavifikia viti na kukaaa, baba aliongea kaul iliyonifanya nimtazame mara mbl mbili. Sikumwelewa kabsa.
“ Hujanisikia?” Baba alimuuliza kaka.
“ Nitaondoka mzee.”
“ Nilikuambia nikirud hapa nisikukute. Kwanin bado upo hapa?” Aliuliza kwa ukali sana baba.
Niliduwaaa.
“ Kaka kafanya nn hadi baba amfukuze nyumbani? Kuna nn hapa?” Nilijiulza moyoni pasipokuwa na majibu.
Mara zote nilizokuwa namtembelea baba alikuwa akimlaumu kaka kwa uamuzi wake wa kwenda kukaa mbal na wao! Alilaumu sana, sasa kitendo cha kumfukuza nyumbani kwake sikukielewa kabsa. Nlihisi uenda ni yale aliyonifanyia mimi!, lakini kwa hali ilivyo niliona sio. Ilinipasa nikae chini na kumuuliza baba kulkoni.
“ Atakuambia kaka yako mwenyewe. Ila sitaki kumuona tena hapa.” Aliongea baba. Haraka nlimgeukia kaka.
‘ Umefanya nn bro?” Nilmuuliza.
Hakunijibu.
“ Kama unamfukuza kwasababu ya kazi alyonipa naomba msamehe ! Mwenye kosa hapa sio yeye, ni mmi. Tena ilivyo bahat mbaya kanipa hela nyingi lakni kaz yenyewe haijafanyka, na salama nlzonunua zote zmepotea.”
“ Hii haihusiani na kaz niliyokupa mdogo wangu..hii inahusiana na maisha niliyoamua kuishi.” ALiongea kaka. Akisema hayo, honi ya gar ilipiga nje. Dakka tatu mbele alyepiga honi aligonga hodi. Lafudhi yake ilikuwa ya kiiingereza.
Kaka alienda kumfungula mlango, lakini kabla hajaingia baba haraka sana alienda kumzuia.
“ Nilisema sitak uingie ndan kwangu! Toka nje harakaaa..” ALiongea baba.
Nilduwaaa.
Yule mtu alkuwa mzungu mwenye asil ya Norway.
“ There is no peace here, lets go.” Kaka almwambia yule mzungu.
“ Baba unifanya nni? Unafukuzaje wageni?” Nilimuulza/. Hakunijibu, alimsogelea yule mzungu na kumsukuma nje, kaka naye alifata kwa nyuma, baba albamiza mlango kisha akainama chin machoz yakawa yanamtoka.
Sikuelewa.
Nlimfata anieleza klichotokea hakunieleza, haraka niltoka nje kumfata kaka. Alnpa ishara niingie kwenye gari, nlfungua mlango lakini kabla sijaingia nilishikwa mkono na baba.
“ Huyu sio kaka yako! Undugu sis na yeye umeisha.” ALisisitiza baba.
‘ Hiv haya yanatokana na kaz aliyonipa au kuna lngne?” Nlmuulza baba.
Hakunjibu, kaka na yule mzungu walwasha gar na kuondoka .
………………………..
Nlkaa kwa baba nikiwa na mawazo meng sana. Nilmuulza baba kila sekunde sababu ya kufanya yale. Nilmuulza tena na tena lakn hakunipa jbu lililoeweka. Nltaman kumpigia kaka kumuuliza lakn bahati mbaya sikuwa na simu.
Wakti nikiwa safarini kurjea nyumbani smu lnpotea. Hvyo skuwa na namba yake wala skuwa na smu.
“ Nafanyaje?” Nljiulza.
Nilamua kumafata mama kumuulza.
Naye baada ya kuniambia klchotojkea akawa analia. Wote hawakuwa na ujasiri wa kuniambia ktu.
Nlkta tamaaa.
Majira ya jioni nlmuomba mama aniazime hela nikanunue simu!
“ Akiba yote tulyokuwa nayo tumeituma hospital, hapa nna hela za vicoba za watu! Naomba nikikupa unirudishie mapema sana , kabla ya jumamosi jayo.”
“ Usijal mama. Nikirudi kwangu nitakurudishia.” Nlmwambia. Mama aliniazima laki mbili,. Muda ule ule nilienda mjn, nlnunua simu na kusajili line. Kwakuwa majina ya simu iliyopotea nilyasave kwenye email skupata shida sana kupata namba ya kaka.
Nilipoweka tu email yangu majin yote yalitokea. Haraka sana niliitafuta namba ya kaka na kumpigia.
Alipokea.
“ Siwez kuongea lolote kwenye simu! Njoo hotel ya la vede. Nipo chumba namba 75.” ALiniambia.
Nilikata simu haraka na kuelekea La vede Hoteli.
Kwanini wazazi hawamtaki Kaka yake rich? Kuna nini kimetokea? Hayo na mengine mengi tukutane kwenye muendelezo unaofuata. Ahsante.
Mkiwa wavivu kucoment namimi nakuwa mvivu kupost hivyo comment kwa wingi jamani ili mnie mizuka
# PIA USISAHAU KUNI FOLLOW ILI USIWE UNAPITWA NA STORY ZANGU FAIDA YA KUNI FOLLOW NI KUWA WA KWANZA KUPATA STORY KILA NINAPO POST

No comments