Header Ads

Header ADS

NIPUNGUZE NYEGE SEHEMU ~13



By Steve
WhatsApp 0765 441 971
Umri✝️ 🔞
_________ILIPOISHIA_________
""Shosti muache tu,Halima ndivyo alivyo ila mi nampenda Sana Paschal nashindwa nimpateje Ni mwanaume ambae nimetokea kumpenda kwa dhati kutokana na jinsi anavyojali hasa nilipokua na shida alinifariji aliniletea zawadi na pia alinifuta machozi!! Msinione namwita Kaka Kaka, Ni kwa sababu nataka nimfanye awe karibu yangu zaidi!!"
(Ruth alishusha maneno mazito Sana mbele ya Rose na Halima)
Haya Sasa Ruth nae kamwelewa dogo Paschal unadhani itakuaje Sasa!!
_________SONGA NAYO________
""We Ruth,,ehee! Usiniambie! Yaani hicho kikaka ndo unachokipenda!! Sitaki kuamini nachokisikia pu! Pu pu pu puuuh!!"
(Halima alitema mate chini alionyesha kuchukizwa baada ya kumwona Ruth akiwa amezimika kwa Paschal,!)
""Mmmmh! Jamani da Halima,maneno gani hayo unayosema!!"(aliongea Rose)
""Weeee! We ni mdogo wangu,na pia Ruth Ni mdogo wangu,sipendi mtoke na vibwana vya ajabu ajabu kama huyu mwehu mnaemwita Paschal!!"'
(Halima aliendelea kutoa mapovu ya hali ya juu)
""Tena mnisikilize wadogo zangu!! Sisi mnaona maisha yetu jinsi yalivyo,halafu unatoka na mtu kapuku kama huyu,atakusaidia Nini hasa??""
""Mmh dada Halima maneno mabaya hayo,ina maana humkumbuki Paschal kweli??""
(Aliuliza Rose)
""Hata kama namkumbuka au simkumbuki hainihusu!""Halima alijibu na kuondoka pale maana aliona rose na Ruth Ni kama walikua wanamkera na kumpotezea muda wake bureeeeee
Maneno Yale yalimuuma Sana Rose kwani moyoni mwake alitamani Sana siku moja aje kumtambulisha mpenzi wake ambae ni Paschal kwa shosti xake Halima,na Ruth
kusema ukweli si Ruth Wala si Halima,wote hawakuwahi kujua kua Rose waliyekua wamesimama nae hapo,alikua ndo mmiliki halisi wa Paschal,lakini leo hii ndo ilikua siku ya pekee ambayo alitamani awakutanishe rafiki zake ili wamfahamu shemeji yao(Paschal) lakini kwa maneno Yale machafu aliyoyatamka Halima!! Mmmh haikua rahisi kumtambulisha Paschal kwao maana angeambulia maneno machafu zaidi ya aliyoyapata Ruth!!
Tafrija iliendelea watu wakala keki na chakula na kisha kupata burudani ya mziki,,
Mama Halima alikua bado hajakutana na Paschal
""Shosti vipi mbona leo sikuoni na daktari wako?""(aliuliza mama Ruth)
""Daktari gani tena shosti yangu?""
""Mmmh! Usiniambie we Ni kigeugeu!!"(alidakia mama Rose)
""Hahahahaa! Nyie watu bhana,Yule dogo hamna kitu rafiki zangu nimeona nimpotezee tu!!""
(Mama Halima alijibu)
""Mmmmh! Basi itakua ulimtamani tu haukumpenda!!""
(Mama Ruth)
""Kweli kabisa we ulimtamani tu!""
(Mama Rose)
""Mmmh! Labda ila kwa Sasa simhitaji!!""
Basi kutokana na mazungumzo yale mama Ruth aliomba Paschal aitwe pasipo mama Halima Wala mama Rose kujua chochote!! Mama Ruth alitaka ahakiki Kama kweli mama Halima aliyekua kafa kaoza kwa Paschal angempuuzia Paschal au Ni aliongea kwa kuzuga
Paschal alifika pale ndani,,
Mmmh!! Kwa jinsi kijana alivyokua kapendeza,,wamama hao wote watatu walijikuta wakimmezea mate, mama Rose alikohoa na kuongea "" mmh Ni handsome na mwenye umbo zuri"",,,mama Halima Sasa ndipo alijua kwanini alimzimikia Paschal!
""Mmmh!! Jaribu gani hili,tayari nishatamka mbele ya mashoga zangu kua simhitaji tena! Itakuaje??""(mama Halima huyo ndo kaanza kupenda upya)
""Paschal chukua ule mzigo msubirie Kuna mtu mwongozane nae muupeleke huo mzigo!""
""Sawa mama!""
Baada ya kupewa maagizo Yale na mama Ruth Paschal alitoka nje kumsuburi huyo mtu ambae wataongozana nae kuupeleka mzigo
Ghafla muda sio mrefu alitoka nje binti mrembo mwenye umbo la kipekee na sura ya kipekee!! Paschal hajawahi kuona mwanamke mrembo kama huyu!! Alitokwa na udenda kwa matamanio Yale..lakini kuangalia vizuri zaidi akakumbuka ile sura alipokutana nayo!!
""Ahaaa huyu Ni Yule binti aliyekua pamoja na Ruth na Rose"(Paschal alitambua ile sura)
""We ndo umepewa mzigo!!?""(Yule binti alimuuliza Paschal)
""Ndio dada!!""
""Okay ,unapafahamu mahala tunapokwenda!?""
""Ndio napafahamu!"
""Unajua kuendesha gari??""
""Aaaaa! Hapana bado sijajifunza!""
""Mmh! Kapuku kama wewe tena ujue kuendesha gari si utakua uchawi!!""
Maneno Yale yalimuuma Sana Paschal,alijikaza Sana ,na kupiga moyo konde!!
""Haya ingia ndani ya gari twende!!""
""Sawa dada!""
""Dada Halima na sisi tunataka twende!!"" Walikua na wale mabinti wawili Rose na Ruth(wanajiita "double R")
""Rudini bwana mama hajanipa hayo maagizo!""
""Hatutakii!!""
""Mmmh! Haya ingieni ndani!!""
""Mmoja akae huko na huyo kapuku mmoja huku kwangu mbele!!""
Ruth alidakia
""Naenda Mimi dada Halima kukaa na kapuku wangu!!""
Basi safari ilianza na kuondoka moja kwa moja kuupeleka mzigo huo!
Hatimae walifika na kukabudhi mzigo kama ilivyokua imeagizwa na kuanza kurejea nyumbani,,
Ilikua yapata mida ya saa sita usiku wakati wakiwa wanarudi njiani
Yalitokea magari mawili yaliyokua yanafukuzana ! Dereva wa gari la mbele alipoteza mwelekeo na gari lake lilianza kufuata gari walilokuwemo vijana wale wanne!!
Halima alikosa balance kutokana na woga mzito uliomkaba na kuinyonya nguvu mikono yake!!
""Oooh! Mungu wangu! Tunakufaaaa!! "" Walianza kupiga kelele!!
Paschal aliruka na kuingia mbele na kuushika usukani na kujaribu kuikontrol ile ndinga!
Na taratibuuu alifanikiwa na kuingia pembeni mwa barabari,,
Ile gari iliyokua imekosa balance! Ilijikita kwenye mti na kusababisha ajali mbaya Sana!!
Wanawake wale watatu waliokua pamoja na Paschal hawakuamini kama kweli wako hai!!
"Uuuummmh! Ahsante Mungu!!""
Walishukuru Sana,Halima hakuamini kama Paschal alikua fundi kiasi kile!! Aibu kuu ilimkaba akajikuta akiinamisha kichwa chake!!
Paschal alimkabidhi usukani,,mikono ya Halima bado ilikua inatetemeka kwa woga!! Paschal alimtazama Halima usoni Kisha akashika mikono yake na kuishikisha kwenye usukani wa gari! Alimpata ishara ya kumwambia ajiamini
""Halima!!""
""Abee Paschal!!""
""Ahsante Sana!!""
""Ahsante kwa kipi Paschal ,mi ndo natakiwa nikuombe radhi na nikushukuru kwa kutuokoa!!""
""Hapana,,Mi ndo mwenye kosa!,, Nilikufanya usiniamini Halima!!""
""Kwa kipi??""
""Nilikudanganya kua sijui kuendesha gari!!""
""Sawa Paschal ila Ni kwa sababu ya maneno yangu!!"'
""Hapana! Yasingekua maneno yako!! Tusingejifunza kupitia mapungufu yetu!!,Halima naomba usinifikirie kua siwezi chochote tafadhali niamini!!""
Halima alitikisa kichwa kuashiria kua kakubali!!
Rose na Ruth walifurahi Sana kuona Halima nae kamuamini Paschal ..
Simu ilipiga kwa mama Halima""nenda mochwari uuchukue mzigo wako!!""
Ilikua Ni namba ya Mr Alben!!
UNADHANI NI MZIGO GANI HUO?

No comments

Powered by Blogger.