NIPUNGUZE NYEGE SEHEMU~12
By Steve
WhatsApp 0765 441 971
Umri 

""Bosi huyu hapa!!""
""Ooh! Good! Mmebakiza kazi ya Yule mwingine!""
""Usijali kabahatika kutupotea lakini maadamu tumefahamu mazingira Yake tutampata tu kirahisi!!""
""Safi Sana!!""
(Yalikua mazungumzo ya wale vijana watatu pamoja na mzee huyo!!)
Mzee Yule alitoa simu mfukoni na kupiga!!
""Kwa kua ulikataa kufuata maagizo niliyokupatia! Basi mtu wako umpendae namwangamiza!!""
________TETEMA NAYO________
""Wewe Ni Nani?? Na tuliongea na wewe lini??""
(Ilikua Ni sauti ya kike ilikua ikijibu ile simu iliyopigwa na mzee Yule anaejulikana kwa jina la Alben)
""Hahaaha! Mama Halima aaaa! Unajifanya hukupata onyo zangu!!?"'
""Onyo zipi hizo??""
""Mama Halima tambua kua huwezi fanya mapenzi na mwanamme yeyote yuleee!! Nilikupa onyo mara ya kwanza kupitia ndoto,nukakupa onyo nyingine lakini Sasa hutaki!!"'
""Wewe umerogwa Nini??""
""Sijui kama nimerogwa au we ndo umerogwa,!!""
""Hebu nipishe na ukae mbali nami mxiuuu!!""
""Aaaaa! Uamuzi upo juu yako mama Halima kama hutaki Basi tunamuangamiza mtu wako umpendae!!""
"" Mtu wangu?!""
""Usijifanye hujui chochote, uamuzi upo kwako unaweza kumuokoa au kumuangamiza wewe!!""
""Kivipi,?!""
""Tukutane Black house rumu 045 ! "'
""Mxiuuuuu,fanya ufanyavyo mi sio wa kiivyo !!""
""Haya usinilaumu kwa kumuangamiza Dr July!!""
""Nini!??""
Mzee Alben alikata simu na kumuacha mama Halima hewani!!
Mama Halima alibaki akitetemeka mwili mzima,nguvu ziliukataa mwili wake,nguo ziliukataa pia mwili wake,alihisi kukonda ghafla kwa taarifa ile ya mzee Alben,kila akikumbuka jinsi Dr July alivyokua akimtia,alipatwa na hofu kubwa moyoni,,sio kwamba alitokea kumpenda kiviile dokta July lakini tatizo mahaba aliyoyapata kutoka kwake ndo yaliyomchanganya zaidi mama Halima ambae kwa Mara ya kwanza alionyesha udhaifu kwa mwanamme toka mumewe kumtoka!!
""Mmmh! Huyu mtu anataka Nini,?? Na ninani haswa mpaka anijie ndotoni??,mmmh! Niende kumsaidia Dr July?? Hapana! Acha niendelee na Mambo yangu!! Mmmh!! Lakini ndo nisipoenda sitaweza kumuona mtaalamu wangu mwenye ladha tamuuu!?. ..nifanyeje mie??""
Wakati mama Halima akiwa katika dimbwi la mawazo! Aliingia ndani pale binti mmoja mrembo kweli kweli mwenye asili ya uarabuni!! Na umbo la kiafrika,sura Yake machoni hakika ilikua tamu zaidi ya pipi mdomoni,,iling'ara zaidi ya mbalamwezi,hakika angekua wangu kumwacha ningekua siwezi!!!,binti alisogea na kuita tena
""Maaamaa!?""
Mama Halima alishtuka Sana kutoka mawazoni
"Aaaaa! Halima mwananguu!!'''
(Haaa kumbe alikua Ni mwanae Halima)
""Mama mie nimekuja nimekuita weeee! Hata huitiki mama yangu shida Nini??""
""Aah! Nisamehe mwanangu sikusikia!!""
""Mwaaaaaa! Hujambo mwananguu??""
""Mwaaaaaa! Sijambo mama!!"'
"Nilikumisi Sana mama yangu!"'
""Hata Mimi kipenzi changu!""
Basi wawili Hawa walifurahi Sana walipiga story wakapika na kula Kisha na kumaliza na kuendelea na maongezi mbalimbali! Ilikua Sasa Ni kipindi ambacho Halima nae alikua amekwisha hitimu masomo yake,hivyo mama Halima alifurahi Sana kwani kwa Sasa hataokua mpweke tena hapo nyumbani kwake!!
Wiki moja Sasa ilikata huku kila mmoja akiwa bize na Mambo yake!
Hospitalini kote Dr July alikua akiuluziwa pasipo kupatikana jibu!! Alitafutwa kila Kona lakini hawakuweza kumpata simu zilipigwa lakini hazikupatikana
Frola na Dr Denis na wengine wote walipatwa na wasiwasi wakihisi huenda kashajifia huko nyumbani kwake,lakini hata hivyo hawakuweza kuingia ndani kwani funguo zake alikua nazo pindi anaenda kwa mama Halima
Paschal baada ya kuhakikisha kua mama Yake kapona kabisa alirudi zake kazini kwake kwani kwa Sasa alikua na amani kuu moyoni mwake kwa kuliona tabasamu la mama Yake lililonawiri usoni na kuufuta uzee ule ulokua ukimnyemelea kwa Kasi kutokana na maisha magumu aliyoyapitia mama Yule takribani miaka mitano iliyopita
Leo ilikua Ni birthday (ukumbusho wa siku ya kuzaliwa ya) binti Ruth hivyo shughuli za supermarket kwa siku hiyo ziliwahi kusitishwa,,ilikusudi Mama Ruth apate muda wa kutosha kuweza kusheherekea hafla ile ya kuzaliwa kwa mwanae wa kipekee kwa jina la Ruth Dominic
Mama Ruth aliwaalika marafiki zake wote akiwemo mama Halima pamoja na mama Rose kwa ajili ya kusheherekea tafrija ile,
Mama Ruth alimwalika pia paschal kwani isingekua busara kutomualika daktari wa moyo wake shoga ake!!
Giza lilianza kutawala nyakati Ni za saa moja moja mziki mtamu ulianza kuburudisha umati ule!
Watu wote walionyesha nyuso za tabasamu nono!
Rose na mwenzake Ruth walikua na furaha isiyo kifani,,walikutana na Halima ambae wana muda kidogo hawajaonana
""Wow! Dada Halima! Ni wewe??""(rose alimkumbatia Halima)
""Ndio Ni Mimi sweetheart,uko poa Rose!?""
""Niko poa!!""
""Dada Halima mwaaa!!""
(Alikua Ruth)
""Wow! Mwaaa Ruth,happy birthday to you sweetheart!!""
""Ahsante my
,umekuja lini jomoni!!?""
""Nimekuja juzi tu mamy!""
Watatu Hawa walifurahi Sana walipiga story nyingi mno huku wakizunguka zunguka maeneo Yale ya pale nyumbani kwao Ruth
Paschal nae aliwasili ili kuweza kujumuika na wageni waalikwa pamoja na wenyeji,
Kusema kweli leo Paschal alikua kape ndeza tofauti kabisa na siku zote
Katika harakati za kuzunguka zunguka alikutana ana kwa ana na mabinti wale watatu!
""Kaka Paschal mwaa!!""
(Ruth alikimbia na kumrukia Paschal)
""Nimekumis Sana Paschal!!""(Ruth aliongea kwa kulegeza sauti huku akampiga piga Paschal kifuani kwa kudeka)
""Aaaa! Mdogo wangu Ruth!!,hata Mimi nimekumisi sanaaa!!""
""Kwanza kabla ya yote Happy birthday to you!!""
""Ahsante my bro!""
Halima na Rose walibakiwa na mshangao
Rose siunajua Ni mpenzi wake paschal?? Kawivu kalimkaba Koo akajikuta akiropoka kwa hasira!
""Wengine hutuoni eeh??""
""Aaah! Samahanini Sana jamani,,habari za uzima?""
Halima na Rose walisonya""mxiuuuuu!'" na kuondoka pale
Ruth hakufurahishwa na kitendo kile ambacho rafiki zake wamekifanya!!
Ilibidi awafuate
""Rose? Halima! Mbona mnakua hivyo jamani!? Si Kaka Paschal kawasalimu jamani!""
Halima alidakia
""Sikutegemea kabisa kwa hadhi yako unamrukia kapuku kama Yule! Oooh! Kaka Paschal! Oooh! Nimekumis!! Yaani Yule ndo wa kumbembea kifua?""
Hapa Sasa Halima aligusa pabaya Rose nae akaumia moyo kwa Yale maneno ya Halima
""Eeeeeh! We nae,huo ukapuku umefikaje tena hapa!? Kwa hiyo unataka kujifanya umemsahau huyo kijana,?!""
""Shosti muache tu Halima ndivyo alivyo ila mi nampenda Sana Paschal nashindwa nimpateje Ni mwanaume ambae nimetokea kumpenda kwa dhati kutokana na jinsi anavyojali hasa nilipokua na shida alinifariji aliniletea zawadi mbalimbali na pia alinifuta machozi!! Msinione namwita Kaka Kaka,Ni kwa sababu nataka nimfanye awe karibu yangu zaidi!!"
(Ruth alishusha maneno mazito Sana mbele ya Rose na Halima)
Haya Sasa Ruth nae kamwelewa dogo Paschal unadhani itakuaje Sasa!!
USIKOSE KUJUA YANAYOJILI
Usisumbuke kupata kipande kimoja kimoja! Lipa 500 ili upate vipande 8 vilivyo baki au 100 kwa kila kipande kupitia namba
0765441971
Ukiwa WhatsApp nitumie meseji unijulishe nikutumie mzigo wote!!
Pia jiandae kwa vigongo vikali vinavyokuja Kama vile
1.MWARABU WA TANGA (chombezo)
2.UNO LA MTOTO WA KINGONI(chombezo)
3.BLUE EYES
4.I CAN'T LEAVE YOU
pia Kama hauna WhatsApp unaweza nicheki inbox Facebook ukapata uhondo wote
By stimer the donny@@@@ stay blessed

No comments