NIPUNGUZE NYEGE SEHEMU YA 01
By Steve
0765441971
@2020 may
Baada ya kifo cha mumewe mama Halima,,mwanamama huyu hakuwahi kuwaza tena kuingia kwenye mahusiano kwani,hakuona mwanamme mwingine ambae alivutiwa nae kama jinsi alivyokua akimpenda mumewe! Hata hivyo licha ya kwamba hakua mama Mwenye shobo kwa wanaume,alijikuta akikutana na vishawishi vya hapa na pale,lakini kutokana na msimamo aliokua nao mama huyu hamna mwanamme hata mmoja aliyewahi kulifunua ama tu kuligusa pindo LA gauni lake ..kitu alichojali tu ni maisha yake yeye pamoja na binti yake Halima!! Lakini hata hivyo umri wa halima ulitimua mbio kiasi kwamba siku za hivi usoni halima angeweza kumwacha mama yake akiwa mpweke na kuweza kuolewa na kuianzisha familia yake ,hivyo ingembidi basi aweze kumtafuta MTU wa kumpa kampani kwa kipindi chote cha maisha yake kilichobaki hapa !!
Lahasha! Pamoja na umri wa mama Halima pamoja na bintie kusonga,sura ya mama halima ndivyo ilivyozidi kung'ara na kuvutia,ilizidi kuwa sura ya kibinti na yenye ladha ya kipekee kwa kuitazama tu,,hakika mwanamme yeyote angevutiwa tu hata kukaa akimuangalia mama halima kwa uzuri alokua nao..
____Mashoga zake hawakuacha kumsihi atafute mwanamme mwingine aishi nae,lakini hata hivyo kwa kua mmguu
halima alikua mwanamke Mwenye kila kitu yaani fedha magali na nyumba za kifahari,,hivyo hakuona umuhimu wowote wa kuwa na mume
Ladha ya mapenzi kwake ilikua chungu kama nyongo,,,zaidi aliwaza na kufikiri mapenzi yangekuja kuumiza tu moyo wake na kuipoteza furaha yote ambayo amekua akiishi nayo kwa miaka yote,,
Siku moja mama Halima akiwa na mashoga zake Mama Ruth na mama Rose mambo yalikua hivi!!
"" mama Halima,,utamuwaza mmeo hata lini? Tafuta Mme bwana unakoswa na vitu vingi we hapa duniani!""aliongea mama Ruth
"" kweli kabisa namshangaa sana huyu Dada yetu,mmeo atakua anatamani upate Mme mwingine ili usahau utoke kwenye huo ukiwa,""alikua mama Rose
Mama Halima aliwajibu""siwezi olewa ,Mme wa kazi gani zaidi tu ni mateso""
..bssi licha ya ushawishi wa mashoga zake ,mama Halima aliweka mkazo kabisa na kulikataa swala lile katukatu!!
Hatimae ilifika miaka kumi sasa na tayari Halima alikua chuo kikuu mwaka wa mwisho akichukua shahada ya sheria,,Halima alikua ni binti Mwenye urembo wa aina yake! Ngozi yake nyororo vya rangi ya kahawia ndivyo vilivyidi kumtambulisha kwa kila mmoja kwamba ni binti wa Ashura Abdallah ama kwa jina alilozoeleka "mama Halima"
Umbo LA binti halima lililoonekana kama LA kuchonga a.k.a kiuno cha nyigu ndilo umbo lililomfanya mtaani awe maarufu sana,,Hakuna jina ambalo lingekidhi uzuri wa halima na mama yake kwa uzuri na urembo ule waliokua nao hivyo basi MTU na mama yake mtaani walijulikana kwa jina moja ambalo ni mapacha kwani walifanana sana na kuendana kwa kila kitu kuanzia unywele hadi ukucha wa kidole cha mguu
Mama halima alikua akipendelea kwenda kwenye supermarket ya shoga yake yaani mama Ruth,huko hununua bidhaa na huondoka,na wakati mwingine akichoka humwagiza kijana wa Rafiki yake na kuweza kumfikishia mzigo kwake hasa kwa kipindi ambacho binti yake huwa masomoni na hivyo kumfanya mama Halima kushindwa kwenda supermarket kwa kutingwa na vijikazi vya nyumbani,,hata hivyo mama Halima angeweza kuwaajili ma house girl wa kutosha lakini hakufanya hivyo,kwani alipenda sana kuwajibika mama
Siku moja shoga yake aliongeza vijana wawili wa kazi supermarket ili kuweza kuurahisisha ufanisi wa kazi..
Siku iliyofuata mama Halima akiwa amevalia vya kupendeza aliingia supermarket kuhemea mahitaji yake,,lakini siku hii alishangazwa kuona sura moja ngeni machoni pake,alikua ni kijana mmoja aitwae paschal
"" wewe sijawahi kukuona hapa""aliongea mama Halima
"" huyo ni kijana wangu mpya wa kazi anaitwa paschal!".aliongea mama Ruth aliyekua akitembea kuja kusalimkana na Rafiki yake
Lakini hata hivyo mama Halima alinakili kitu kutoka kwa kijana yule
"Eeh shoga yangu kijana mpole na Mwenye lafudhi nzuri sana!"
"" hahahaa,etie? Huyo ni mpya hapa,pashal ebu mwamkie mama yako!"aliongea mama Ruth
Nae paschal hakusita kumwamkia mama Halima "shikamoo mama!"
"Marahaba hujambo baba!"
"" sijambo mama,karibu sana na ujisikie amani tukuhudumie,hapa tuna kila kitu mama yangu!"...
Mama haya yalimfanya mama Halima ang'ate midomo Yake ya chini kwani alivutiwa sana na paschal ...aliwaza sana lile neno "hapa kuna kila kitu!"...
Hali hii ilimshangaza sana shoga yake maana hajawahi msifia mwanamme yeyote yule alihisi lazima kuna kitu...
Baada ya manunuzi yale mama Halima alirudi nyumbani kwake huku akiwa haielewielewi akili yake kwani sura ya yule kijana ilijirudia rudia kichwani kwake
Siku ilofuata aliagiza mahitaji na pasipo kukawia mahitaji yake yalifika ,lakini cha kushangaza ni kwamba Mara hii alichukia kidogo maana aliyetamani amletee mahitaji Yale hakua paschal ...
"" paschal Leo hayupo?""..mama halima aliuliza
"" yupo dukani!""alijibu kijana alokua ameleta mzigo
.mama Halima alimpigia simu mama Ruth
"'Shoga yangu vipi!""
"" safi, umepata mzigo?""
"" ndio shoga yangu! ""
"" enhee! Ebu nipe ubuyu kuna mwingine aliyekutaka tena na Leo? Maana sio kawaida yako kunicheki!""
"Hapana shoga yangu,, ila Nina kaubuyu kadogo!""
"" kaubuyu gani!?""
""Yule kijana paschal Yule!""
"" enhe ! Kaweje tena Rafiki yangu?""
"" naomba awe ananiletea siku nikishindwa kuja huko!""
"" ahahaha! Shoga yangu hilo nalo neno?,niwewe tuuuu! Mmh! Usiniambie umemuelewa shoga ?""
"" hahaha halooo!! kwani mi sifai kua na mpenzi""
Basi huo ulikua ni utani baina ya marafiki wawili waliozoeana sana
USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA

No comments