NIPUNGUZE NYEGE SEHEMU YA 03
BY Steve
0765 441 971
Mama Halima alijikuta akiachia tabasamu lililonona huku kawivu kakimpanda kwa mbali kutokana na pozi walilokalia vijana wale wawili na hii ilionekana dhahiri baada ya Rose kuupitisha mkono wake kiunoni kwa paschal walipokua wakitembea kuelekea chumba alicholazwa mama paschal!!
"" ina maana paschal tayari ana mpenzi?? "".. Mama Halima alijiongelea kimoyomoyo
"" sikubali,mie ndo nishazimika hivyo lazima awe WANGU!!"
____SONGA NAYO____
Mama Halima alifika chumba alichokuwepo mama paschal na tayari akamjulia hali,
"" paschal!! ""Aliita mama Halima
"" naam! Mama,!!
"" vipi mgonjwa ana bima??""
"" hapana hana!,""
"" kwa hiyo INA maana mnamlipia kila kipimo pamoja na matibabu yote?""
"" ndio,! ""
Mama Halima aliguna kidogo"'mmh! Kwa hiyo nani anaesimamia gharama zote?""
"" Mimi ndo nasimamia!""
"" duh! Pole sana jamani?""
"Ebu ngoja kidogo nionane na daktari anaemhudumia mama yako Mara moja!""
Mama Halima aliinuka pale alipokua kaketi na moja kwa moja alielekea chumba cha daktari kwa ajili ya kuonana na daktari
"" Dada karibu Sana!! "Aliongea dokta July
"" ahsante dokta,,nilikua nashida moja, yule mgonjwa aliyeko chumba namba 12 gharama zake utanijumlishia unipe akishapata huduma zote!!"alitoa namba na kumpa dokta July
"" usijali Dada kuhusu hilo na ntahakikisha anapata huduma bora!"" Dokta July aliongea huku akitokwa na udenda kwa kuvutiwa na jinsi mama Halima alivyoumbika kama UA LA kuchora!!
Lakini hata hivyo alikua kashamtamani sana mama huyu hivyo aliwaza angepataje namba yake,ilikua ni kama zali LA mentali mama Halima kajichomeka kwa muhuni Mwenyewe dokta July!!""wow! Namba iko mikononi,kazi yangu nimeipunguza kwa 60% huhuhuuuu!! Nupewe Nini Mimi Dr July?? Mtoto kajikabidhisha mwenyeweeee minamba
!"" Yalikua mawazo ya Dr July ambae alionekana na furaha mno kwa siku hiyo
Baada ya kumaliza mazungumzo alirudi na kumkuta paschal na Rose wakiwa wameshikana mikono,huku wakiwa wamekaa,paschal alionekana ni Mwenye huzuni kubwa moyoni kwani aliwaza atapataje pesa ya kuweza kumlipia mama yake alokua taabani akikoroma.!! Maisha kwake ulikua ni mtihani usioisha kwani kila iitwapo Leo lazima alikumbwa na jambo,,Leo hii ndo alikua kashajipatia kibarua supermarket tena ndo hivyo mama yake kaugua!!
Kilichomuuma zaidi ni kwamba mfariji wake mkuu ndo yupo kitandani akikoroma kwani baba yake Alishawatelekeza siku nyingi mno,,Leo hii kodi ya nyumba yao ilikaribia kuisha na hakua na pesa mfukoni,,akiwa katika dimbwi LA mawazo mazito ndipo aliposhtushwa na sauti ya mama Halima
"" paschal usiwaze sana mwanangu! Mama atapona na atakua Mwenye afya njema!""
"" aa aaah ahsante mama !!""
"" haya Mimi nawaacheni!""
"" haya ahsante sana! Uwe Mwenye safari njema!""
"" ahsante,we rose Leo unalala hapa??""mama Halima aliita kwa ukali kiasi Fulani mpaka moyo wa rose ulimdunda!! Maana mapenzi yake na paschal ni ya siri sana na isitoshe alidanganya anaenda kwa Rafiki yake ndipo akaruhusiwa kutoka nyumbani vinginevyo asingeweza kuruhusiwa!! Alijua kabisa mama yake akijua kua kamdanganya ingekua Ni kosa kubwa kuweza kulimeza
""Mmh! Huyu mama nae?? Kafanyaje kaja huku??,kazi kuharibia starehe watu mie nilijisetia ka mpango kangu ona nae anataka kuniharibia!!""..yalikua manung'unuko ya Rose moyoni,... aliendelea
"" Mungu Wangu hili balaa sasa!!""
""Vipi Rose mbona huongei??""
"" hapana mama Halima naondoka muda sio mrefu!""
"" utarudi nyumbani kwa miguu.?""
"" ndio mama Halima usiwaze!! ""
"" nisiwaze nini? Huoni Giza ndo linaingia hivyo we mtoto wa kike utatembeaje na miguu?""
"" nimebeba nauli mama wala usiwe na shaka!!""
"" haya njoo twende!""
Rose alisimama huku akiwa na hofu kubwa moyoni mwake kwani alijua huu tayari ni msala!
Paschal nae alijua nia ya mama Halima kua ilikua njema hivyo aliona itakua salama zaidi kama angeongozana na mama Halima ,Paschal alimhimiza mpenzi wake huku akisema""Rose nenda na Mama Halima, ndo utakua salama zaidi,!""
Basi rose aliagana na mpenzi wake paschal na kuondoka zake!!
Mama Halima alipiga hatua chache na alifungua gari lake na kuchukua koti lililokua ndani ya gari na kurudi kwa paschal
"" ebu ingia ndani ya gari unisubiri Mara moja!""..ilikua ni sauti ya mama Halima aliyempa maelekezo Rose na Kisha yeye aliyeondoka na koti Lile na kurudi tena hospitalini Kisha na kuingia moja kwa moja kwenye ile wodi aliyolazwa mama Paschal
"'Paschal!!!""
"" naam mama!!""
"" usiniite mama! Chukua huu mkoti utakusaidia!!"" Paschal alishangazwa kuambiwa vile
""Samahani sasa nikwiteje?!"
""
"" niite Dada Ashura!!"
"" sawa Dada Ashura! Nashukuru kwa kunijali sana!!"" Paschal hakusita kukubaliana kumwita mama Halima Dada Ashura kwani sura ya mama Halima ilikua ya kibinti sana,na hata hilo jina la mama Halima ambalo rose alimwita paschal alidhani halima atakua ni binti mdooogo Mwenye miaka isiyozidi mitano!!
"" nikipata nafasi tena ntakuja kuwatembelea!!""
"" sawa Dada Ashura nashukuru Sana!! ""
"" haya mdogo Wangu kwa heri mwaaa!! Nakupenda sana paschal!! ",..laaaaaah mama weee!! Mama Halima alimtwanga busu LA shavuni paschal!!
Busu lile lilimzubaisha paschal kwa sekunde kadhaaa kwani lilikua ni busu LA kiutuuzima lililoenda shule kusoma na sio LA mchezomchezo achana na vibusu vya baadhi ya wadada wa siku hizi ambavyo ukipigwa hata jamaa wa ikulu hashtuki wala kusisimuka ,hili la mama Halima ni busu lililoambatana na harufu nzuri ya marashi ya kutoka Pemba na omani kwa waarabu,,busu lililoacha alama ya midomo miwili shavunikwa paschal kwa rangi ya lipsticks alizokua kapakia mwana mama Ashura Abdallah ama kwa jina alilozoeleka mama Halima jimama LA mjini lenye pesa zake lisilokua na shobo wala choyo na mtu!..
"" paschal vipi mdogo Wangu! ""
"" aah,hakuna kitu Dada! Ahsante!!""
"" ahsante nini mdogo Wangu!?""
"" as! Kwa busu!""
Kwa kua alipomkumbatia akimvalisha koti ndipo mama Halima alipopatia mwanya wa kumpiga busu,askari wa Paschal alituna na kujaa kwenye suruali,hadi ikayagusa mapaja ya mama Halima ...mama Halima baada ya kupapaswa na injini ya paschal alishtuka na kuguna kidogo!
"".mmh! Kumbe we ni mwanamme wa kazi? Wow!"
Mama Halima alijisemea kimoyomoyo alishusha mkono wake mmoja na kumpapasa yule askari""mmmh! Kumbe ana mguu wa mtoto kabisa? Na nyege zangu nilizonazo huyu ndo wa kunitekenya vizuri,""..yote hayo yalikua ni mawazo ya mama Halima..
Paschal kuona ile hali alijaribu kuangalia angalia pembeni ili kuyatoa mawazo asijeshtukiwa na mama Halima ambae tayari kashamsanukia kijana yule
"" paschal kesho nahitaji njoo nyumbani kwangu mida ya mchana uje umchukulie mama chakula!!""
"" sawa Dada Ashura ntafanya hivyo!!""
UNADHANI NINI KINAENDA KUTOKEA??

No comments