Chombezo: Dunga dunga sehemu ya sita (06)
Kichwa changu kilikuwa kimejaa maswali mengi kiasi ambacho sikuona raha yoyote ya kufanya kitendo kile. Nilibaki nikimwangalia Judith ambaye alikuwa akionekana kuwa kileleni kabisa. Nilifanya kwa sabau nilijiona kuwa na jukumu la kumridhisha Judith.
Tulitumia muda wa saa moja na nusu na ndipo kila kitu kikamalizika huku tayari ikiwa imetimia saa kumi jioni. Nikaandaa maji na kisha wote kuelekea bafuni kuoga. Bado kichwa changu kiliendelea kujiuliza maswali mengi juu ya bikira ile ambayo alikuwa nayo Judith.
Nilichokuwa nikikitamani ni kuziona damu ambazo zilikuwa zimemtoka mara baada ya kuika mishipa yake laini ya damu. Nilibaki nikikiangalia vizuri kitanda, kutokana na shuka kuwa na rangi nyekundu, nikainama kabisa na kuanza kuliangalia vizuri ili kuona kama kulikuwa na damu yoyote ile.
Sikuona damu kabisa.
Baada ya muda wa dakika chache, Judith akaingia chumbani huku akiwa amejifunga taulo langu. Alisimama na kuanza kuniangalia kwa macho ya mahaba. Ili kumuonyeshea kwamba sikuwa na hali ya maswali moyoni, nikaanza kutabasamu na kisha kumfuata na kumkumbatia.
“Umenifurahisha mpenzi” Nilimwambia huku ikiwa nimekumbatia.
“Hata wewe pia. Nimefurahi sana. Sikuwahi kupata raha kama leo kabla japokuwa nilikuwa naumia” Aliniambia.
“Kwani hii ni mara ya ngapi Ya kwanza?” Nilimuuliza.
“Hapana. Hii ni mara ya pili” Alinijibu.
Jibu ambal alikuwa amelitoa likaninyong’onyeza kupita kawaida, nikamwangalia usoni mara mbili mbili, akaonekana kuhisi kitu. Ili kumficha hali halisi, nikamuongezea tabasamu zaidi kumuonyeshea kwamba kila kitu kilikuwa shwari. Tulibaki tukipiga stori mpaka katika kipindi ambacho akaaga na kuondoka.
Nilikasirika sana. Nikaona kwamba kumpata msichana bikira ilikuwa ngumu sana. Kazi kubwa ikaoekana mbele yangu. Nilitamani kuwafuata wanafunzi wa shule za msingi lakini huko nilikuwa naihofia miaka thelethini. Ilibidi niendelee kuitafuta humu humu mtaani, hasa kwa watot hawa wa Sekondari.
Sikutaka kuanza kutafuta msichana mwingine japokuwa nilikuwa nikiendelea kufanya na Judith zaidi na zaidi. Baada ya mwezi mmoja kupita, nikaanza upya kazi yang ya kuanza kuitafuta bikira.
Naikumbuka siku hii ambayo nilikuwa nikitoka posta. Niliingia katika daladala na kukaaa katika kiti cha watu wawili ambacho hakikuwa na mtu. Abiria wakaanza kuingia katika daladala ile. Macho yangu yakatua katika uso wa abiria mmoja ambaye alikuwa akiingia kwa mwendo wa mapozi huku akionekana kuyaogopa macho ya watu. Msichana huyu alikuwa msichana wa kiarabu ambaye alikuwa na macho yaliyokuwa na mvuto mkubwa sana.
Kwa haraka sana nikaanza kuziangalia siti za mule ndani, kila siti ilikuwa na mtu na ilibakia siti za kiti nilichokuwa nimekikalia. Msichana yule akaanza kupiga hatua na kuja kukaa pembeni yangu.
“Mambo!” Alianza kwa kunisalimia.
“Poa. Umependeza” Nilimuitikia na kumsifia japokuwa alikuwa amevaa baibui ndefu huku kichwa chake kikiwa kimefunikwa na ushungi.
“Asante” Aliitikia huku akitoa tabasamu.
****
Muda wote nilikuwa nimekaa kimya huku kichwa changu kikifikiria ni kwa jinsi gani ningeweza kumuingia mtoto yule wa kiarabu ambaye kwa kumuangaia tu alionekana kuwa msichana wa dini. Kila wakati nilikuwa nikimwangalia msichana yule.
Nikaanza kujiona mjinga, nilijiona fika kwamba ningepoteza muda na bahati kama tu ningeendelea kubaki kimya. Kitu nilichokifanya ni kuchukua simu yangu kisiri siri na kuiweka tayari kwani niliamini kwa vyovyote vile ni lazima msichana yule angeniachia namba zake za simu.
“Mbona unaonekana kuwa na wasiwasi?” Nilianza mazungumzo kwa kumuuliza swali.
BONYEZA MAANDISHI HAYA KUPATA MAKALA ZA MAFANIKIO
ITAENDELEA

No comments