Chombezo: Dunga dunga sehemu ya tisa (09)
Siku nzima nilikaa nikimfikiria Nilfat, nilikuwa na kiu kubwa sana ya kumuingiza katika mikono yangu na hatimae kufanya nae mapenzi na kuitoa bikira ambayo niliamini kwamba alikuwa nayo. Kwanza kichwa changu kilikuwa kikifikiria zaidi kuhusu ngozi yake.
Katika maisha yangu nilikuwa nikiwapenda sana wanawake weusi lakini cha ajabu wanawake weupe ndio ambao nilikuwa na bahati nao sana. Nilitembea na mademu waliokuwa na kila rangi, sikujali mwarabu, msomali wala mswahili, nilipitia wote tu.
Ila kwa Nilfat niliona kwamba alikuwa msichana wa tofauti kabisa. Ingawa nilikuwa nimebahatika kukutana nae siku moja tu lakini alionekana kunidatisha kupita kawaida. Sikujua kwa nini nilikuwa na uhakika kwamba Nilfat alikuwa na bikira asilimia mia moja, labda ilitokana na muonekano ambao alikuwa nao.
Siku ya kwanza ikapita na ya pili kuingia. Nilikuwa na kimuemue cha kumuona Nilfat. Mara kwa mara nilikuwa nampigia simu na kuongea nae huku nikiendelea kumdanganyadanganya kwamba alikuwa msichana wa ndoto yangu.
Maneno yangu matamu zaidi ya asali yalimfanya kuniamini, akaniamini kupita kawaida. Sauti yangu ya unyenyekevu nayo iliongeza chachu kubwa sana ya yeye kuvutiwa nami. Mpaka inafika siku ambayo alikuwa amenipa ahadi ya kunipa jibu langu, wala hakukuwa na shida, akanikubalia na ukurasa wa mapenzi wa muda mchache kuanza.
Kila siku nilikuwa nikimuonyeshea mapenzi ya dhati ambayo yalimfanya kuniamini zaidi na zaidi. Unyenyekevu ndio ilikuwa silaha yangu kuu kwake ambayo ilikuwa ikimfanya kujiona yuko juu. Hakujua kabisa kwamba nilikuwa nikifanya vile kwa sababu ya kitu kimoja tu, Bikira.
Upande wa pili, Christina alikuwa akiendelea kuning’ang’ania kiasi ambacho mpaka nikashindwa kuhema viliri. Nilikuwa sinywi maji wala kula vizuri kwa ajili yake. Kila siku alikuwa akinitumia salamu pamoja na vijizawadi huku akisisitiza kwamba alikuwa akitaka kuwa nami.
Christina kwangu alionekana kuwa kama kituko, sikujua alikuwa akitaka nini kutoka kwangu ambacho hakuwa akikipata kutoka kwa wanaume wengine ambao alikuwa akitembea nao. Nilimchukia kiasi ambacho hata wakati mwingine sikutaka hata kumuona.
Mimi nilikuwa bize katika kipindi hicho, ubize mkubwa wa kuzitafuta bikira popote zilipo. Sikutaka kabisa kuangaika na wasichana ambao wala hawakuwa na bikira, nilijiona kama kuupoteza muda wangu kwao. Nilihitaji heshima, heshima ambayo kila mtu angeniona kustahili kuitwa jina la Dungadunga.
Sikutaka kuendelea kuwasiliana na Nilfat kwa simu tu bali sasa hivi nilitaka kukutana nae na kuongea nae. Nilimwambia na wala hakuonekana kukataa, akapanga tuonane kokote nilipopaona panafaa. Sikutaka kupanga kuonana nae Guest House kwani ni lazima angejua ni kitu gani ambacho nilikuwa nikikitaka kutoka kwake.
Alitaka tuonane sehemu tulivu, sehemu ambayo tungeweza kuongea mambo mengi kwa utulivu mkubwa. Nilichomwambia ni kwamba ningependa kuonana nae nyumbani kwangu. Kidogo akaonekana kushtuka lakini kutokana na kuwa na taaluma ya kuwaondoa wasiwasi wasichana, akajikuta akikubali.
Nilimwambia kwamba siku inayofuata ndio ingekuwa siku nzuri ya mimi kuonana nae. Aliniambia kwamba angekuja numbani siku hiyo japokuwa asingekaa sana, nikakubaliana nae japokuwa nilijua fika kwambani lazima angekaa muda mrefu hasa pale ambapo ningeanza kufanya vitu vyangu.
Siku ambayo tulipanga kuonana ikafika. Nikaamka asubuhi na mapema na kisha kuanza kukifanyia usafi chumba changu. Nikaanza kukiangalia kitanda changu, nikabaki nikitabasamu tu. Nilikiona kitanda changu kujaa dhambi nyingi sana, tena dhambi za mapenzi.
Nilipomaliza, nikachukua shuka langu safi jekundu na kulitandika. Nilijiandaa vilivyo, shuka jekundu ndilo lilikuwa shuka langu la kazi hasa la kuwabikiria wasichana ingawa sikuwahi hata mara moja kumpata msichana aliyekuwa na bikira.
Saa nane juu ya alama simu yangu ikaanza kuita nilipoangalia kioo cha simu jina la Nilfat Bikira lilikuwa likionekana katika kioo cha simu ile. Kwa haraka haraka nikaipokea na kuipeleka sikioni.
“Nimekwishafika hapa Mikumi. Njoo basi unipokee” Niliisikia sauti ya Nilfat.
“Usijali mpenzi. Ninakuja sasa hivi” Nilimwambia na kuanza kuelekea kituoni kumpokea msichana huyu mrembo.
Sikutaka kuchelewa kwa lolote lile, moja kwa moja nikaanza kuelekea kituoni kwa ajili ya kumpokea mrembo Nilfat. Kichwa changu kwa wakati huo kilikuwa kikifikiria mapenzi tu, nilitamani nikutane na Nilfat ili nimpeleke geto ambako huko ndiko kila kitu kingemalizika.
Mwendo wangu ulikuwa wa haraka haraka kana kwamba nilikuwa nikiwahi kitu cha maana sana. Nilipokaribia katika kituo kile, kwa mbali nikamuona Nilfat akiwa amekaa katika kitu kie akinisubiri. Nywele zake ndefu alikuwa ameziachia hadi kufunika mabega yake.
Hakuwa na hipsi kubwa kama ambavyo wanawake wa kitanzania wanavyokuwa nazo, alikuwa flati kidogo huku nyuma kwa kiasi fulani kukiridhisha. Nikapiga hatua za haraka kumfuata, nilipomfikia, nikamgusa bega kwanyuma, alipogeuka, sura yake nzuri ikanifanya kupata ganzi.
“Ooohh..! Gideon.!” Aliniita huku akiitanua mikono yake kunikumbatia.
“Karibu mrembo” Nilimwambia.
Hatukutaka sana kupiga stori pale kituoni kwa kujua kwamba mambo mengi tungeongea nyumbani, ndani ya chumba changu ambacho hakikuwa na kiti hata kimoja zaidi ya kitanda tu. Tukaanza kutembea kwa mwendo wa taratibu kuelekea nyumbani.
Kila mtu ambaye tulikuwa tukipishana nae, macho yake yalikuwa yakimwangalia Nilfat, uzuri wake haukuwa wa kawaida, alikuwa akifanana kabisa na yule muigizaji wa kihindi aitwaye Kajool. Ingawa nilikuwa nikiongea mambo mengi pamoja nae lakini kichwa changu kilikuwa kikifikiria mapenzi tu.
Staili mbalimbali zilikuwa zikimiminika kichwani mwangu, nilitaka kumaliza maujuzi yote kwa msichana huyu ambaye ilikuwa na uhakika asilimia mia tatu kwamba hakuwa akifahamu mapenzi.
Wala hatukuchukua muda mrefu, tayari tukawa tumekwishafika nyumbani ambako tukaingia na kutulia. Hali ya hewa nje haikuwa mbaya, jua halikuwa likioekana kutokana na mawingu mazito ambayo yalikuwa yametanda angani. Mara manyunyu yakaanza kupiga huku joto lote likitoweka.
Muda mwingi nilikuwa nikimwangalia kwa macho ya wizi, mkao wake ambao alikuwa amekaa pale kitandani ulikuwa ukinichanganya kupita kawaida. Sikujua ni nini kilitokea, nikashangaa kumuona akianza kuvua nguo moja baada ya nyingine.
Nilichanganyikiwa mara baada ya kuiona tight yake iliyokuwa na rangi nyekundu ikiwa imemkaa vizuri mwilini mwake. Hadi kufika kipindi hicho, tayari nilikuwa nimekwishachanganyikiwa zaidi. Sikujua ni kwa namna gani Nilfat angeweza kutoka chumbani kwangu salama, yaani nimuache pasipo kuduu nae? Hapana, sitoweza kuvumilia hivyo.
“Unasikia joto niwashe feni?” Nilimuuliza.
“Hapana” Alinijibu huku akitoa tabasamu pana.
Sikutaka kukaa mbali nae tena, tayari nilikwishaona kwamba Nilfat alikuja hapo kwa ajili ya jambo moja tu, kufanya mapenzi. Nikamsogelea na kuwa karibu nae zaidi, pumzi zangu zilikuwa zikisikika vizuri masikioni mwake.
“Vipi?” Nilimuuliza.
“Nini?” Nae alinirudishia swali.
Sikutaka kuongea kitu chochote kile, nilichokifanya ni kuanza kuzishikashika nywele zake kwa kuamini kwamba wasichana wengi walikuwa na ashki nyingi katika nywele zao. Nikazivuta kwa nyuma, alipokiinamisha kichwa chake kwa nyuma, nikaanza kumpiga lita za mfululizo.
Sikutaka kutoka kinywani mwake, niliendelea zaidi na zaidi, mara miguno fulani ya mahaba ikaanza kusikika. Nilfat alionekana kuwa na mzuka kupita kawaida, alikuwa akiunyonganyonga mwili wake huku mikono yake ikiishika zipu ya suruali yangu.
Niliendelea na zoezi la kupiga lita zaidi, nikamlaza kitandani na kuanza kumfanyia mchezo wangu. Cha kwanza nikakikimbilia kitovu chake, nilikuwa nakinyonya kwa staili ya kukivuta hali iliyomfanya kuanza kupiga kelele nyingi za mahaba.
Nilibaki kitovuni kwa dakika tano, nikaahamia kifuani, hapo ndipo ilipokuwa balaa zaidi. Nilikaa hapo kwa dakika ishirini, nikaanza kuyaona mabadiliko makubwa. Nikaamua kuhama na kuhamia kuleeee... huko ndiko ambako kulikuwa balaa zaidi.
Nilipang’ang’ania kwa muda mrefu kiasi ambacho yeye mwenyewe akaanza kunilazimisha nianze kufanya kile kilichokuwa kimemleta mahali pale. Nikaanza kuchojoa nguo zangu huku nae akinisaidia kuzitoa mwilini mwangu. Sidhani kama nitakuwa na busara kuelezea kile ambacho kilitokea baada ya hapo. Ila kuna kitu nilitaka sana ukifahamu kwamba Nilfat hakuwa na bikira yoyote ile.
*****
Nilijiona kuwa mtu nisiyekuwa na bahati hata kidogo, kutembea na wasichana zaidi ya themanini na kutokutoa bikira hata moja kulinihuzunisha. Nikakata tamaa kabisa ya kuendelea kuzitafuta bikira kwani niliamini kwamba hazikuwepo kabisa.
Zoezi langu la kuzitafuta bikira likaishia hapo, sikutaka tena kuwatafuta wasichana wa namna hiyo. Nikaanza tabia yangu ya kuwarukia wasichana ambao walikuwa wakikatiza mbele ya macho yangu. Nilitembea na wengi huku ufanisi wangu wa kufanya mapenzi ukiwa umeongezeka maradufu.
Kama kawaida yangu, kila msichana ambaye nilifanya nae hakutaka kuniacha, alitamani kufanya pamoja nami zaidi na zaidi. Nilionekana kuwa mzoefu mkubwa sana kitandani tang siku ya kwanza nilipofanya na msichana wa kitanga ambaye yeye ndiye alinibikiri.
Ufundi wangu ulikuwa wa hali ya juu kupita kawaida, skutaka msichana anitawale kitandani, nilichokuwa nikikifanya mimi ni kuutawala mchezo wote katiika dakika zote.
Kwa kuwa nilikuwa nimeamua kwa nia moja kwamba sikuwa na lengo la kutafuta bikira, hapo ndipo nilipoamua kumridhisha msichana Christina ili nae ajione kwamba ni msichana miongoni mwa wasichana. Wala sikupata kazi sana katika kumtafuta kutokana na yeye muda mwingi kuja kuwasalimia marafiki zake ambao walikuwa katika nyumba ile niliyokuwa nimepanga.
“Kila siku unakuja ndani ya nyumba hii Christina, yaani hata siku moja kuja chumbani kwangu kunisalimia” Nilimwambia. Christina akaonekana kushtuka, hakuamini kama kungetokea siku yoyote katika maisha yake kusikia maneno yale ambayo nilikuwa nimemwambia.
“Hautaki kunikaribisha na ndio maana sitaki kuja kwako” Aliniambia.
“Usijali. Karibu” Nilimwambia.
Kwa kuwa alikuwa katika ukumbi wa nyumba, nikamshika mkono na kumvuta chumbani kwangu kwa mvuto wa mahaba. Tukaingia chumbani na kutulia. Nikabaki nikimwangalia, idadi ya wanaume ambao nilikuwa nikimkuta nao ilionekana kunikasirisha.
Kadri alivyokuwa akikaa chumbani mule na ndivyo ambavyo hamu ya kufanya nae mapenzi ilivyozidi kunikamata. Kwa kuwa sikumuamini kabisa, nikafungua kabati na kisha kutoa kondom. Sikutaka aone ni kitu gani ambacho nilikuwa nimekitoa, hivyo nilikuwa nimemziba kwa mwili wangu.
Nikaanza kumwangalia pale kitandani, macho yake yalikuwa yakionesha huruma kubwa kiasi ambacho nikaanza kumuonea huruma. Niliishangaa hali ambayo nilikuwa nayo kwa kipindi hicho. Katika maisha yangu, Christina ndiye alikuwa msichana wa kwanza kumuonea huruma, sikujua sababu iliyonifanya kuwa vile.
Nikapanda pale kitandani n kumsogelea, hata kabla hajajiuliza juu ya dhumuni langu, akashtukia kinywa changu kipo mdomoni mwake na zoezi la kubadilishana mate kuanza. Nikaanza kupiga lita nilivyotaka. Mzuka wa kufanya mapenzi na Christina ukanipanda zaidi na zaidi, mwili wangu ukaanza kunilegea.
Mwili wa Christina ulikuwa ukitetemeka kupita kawaida kiasi ambacho nilibaki nikishangaa. Nikaachana na zoezi lile na kisha kuanza kumwangalia usoni. Bado mwili wake ulikuwa ukitetemeka kana kwamba alikuwa akisikia baridi, nilionekana kuogopa.
“Vipi? Mbona unatetemeka?” Nilimuuliza.
“Hakuna kitu”
“Kweli?”
“Ndio” Alinijibu.
Nikamrudia tena na kuanza tena zoezi langu la kumnyonya mate. Mwili wake ukazidi kutetemeka zaidi na zaidi. Mara hii sikutaka kujali, niliendelea zaidi na zaidi na zoezi langu. Nikaanza kumvua blauzi ambayo alikuwa ameivaa. Macho yangu yakatua katika matiti yake yaliyokuwa yamesimama.
Hapo ndipo ambapo kulikuwa ugonjwa wangu mkubwa, nikajihisi kuchaganyikiwa kupita kawaida. Nikaanza kuyaangalia matiti yake kwa macho ya tamaa. Nikayafuata na kisha kuanza kuliingiza moja kinywani mwangu. Ni kilio cha mahaba ndicho ambacho kilikuwa kikisikika kutoka kwake.
Niliendelea na zoezi lile zaidi na zaidi huku nikianza kumvua nguo zake za chini. Nilimvua nguo zote isipokuwa moja, nguo yake ya ndani. Kila nilipokuwa nikijaribu kuivua, Christina alionekana kuwa mgumu. Sikukata tamaa, niliendelea kumng’ang’aniza zaidi na zaidi lakini bado alikuwa akikataa.
“Mbona hautaki Christina?” Nilimuuliza huku kwa mbali nikionekana kuwa na hasira.
“Yaani siku ya kwanza tu unataka tufanye?”
“Nimeshindwa kuvumilia Christina. Mwili wangu umezidiwa, tafadhali naomba unielewe” Nilimwambia huku na mimi nikianza kuonyesha sura ya huruma.
“Hapana Gideon. Siwezi” Aliniambia huku akiishikilia vizuri chupi yake.
“Kwa nini lakini?”
“Hapana”
“Sawa. Usijali. Sitotaka kwenda huko chini. Niachie nifanye ninachotaka kuanzia juu ya kiuno” Nilimwambia.
“Kama juu ya kiuno sawa, ila si chini ya kiuno” Aliniambia.
Hapo ndipo mwanaume nikajikoki zaidi. Nikaona Christina akiniletea dharau. Kwa kuwa alikataa kumvua ile chupi yake, niataka yeye mwenyewe aivue na kuiweka pembeni. Nikajiweka sawa na kisha kuanza kazi. Kama kawaida yangu nikaanza kumnyonya matiti yake huku mikono yangu ikiwa bize kuzibinyabinya nyonga zake. Nilimfanya kila kitu huku nikihama sehemu moja mpaka nyingine. Nilitumia ujuzi wangu wote, ni ndani ya dakikaishirini tu, kilio chake cha mahaba kikazidi kusikika zaidi na zaidi na hatimae yeye mwenyewe kuanza kuishusha chupi yake.
Wala sikutaka kuishika, kwa wakati huo nilikuwa bize na mwili wake. Kwa kuwa alikataa mimi kumbua, sasa ilikuwa ni zamu yake kuivua kwa mikono yake. Christina alikuwa akilia, machozi yalikuwa yakitiririka mashavuni mwake. Nilijua kwamba kwa wakati huo alikuwa amezidiwa.
INAENDELEA

No comments