SITASAHAU NILIVYOFANYA KAZI YA KUNUNUA KONDOMU ZILIZOTUMIKA.
Sehemu ya Kumi na Moja ( 11 )
***********“ Aaaah!” Nliduwaa baada ya kuwaona. Babu yake ashura alkuwa mzee sudy.
Kwa kasi ya umeme nlimvamia mze sudy tukaanguka wote chini! Puuu. Haraka nilsmama na kumkalia kwa juu.
“ Puuuu..puuuuu..puuuu.” Nilmpiga mfululizo pasipokumpa nafasi ya kujitetea. Aljaribu kunisukuma nitoke juu ya mwil wake lakini alishndwa. Alex nae alkuja kujarbu kunitoa lakin alishindwaaa.
“Wewe ndio chanzo cha mm kuwa kichaaaa..” Nilimwambia huku nikiwa nampiga.
Kwakushirkiana na majirani pamoja na mke wake, alex alifankwa kunitoa juu ya mwili wa mzee sudy. Nae kwa hasira alnipga usoni! Bahat mbaya alnipiga nikiwa nimeshikwa. Nilipojitahidi nitoke nilipe kisasi ilishindikana. Majirani walkuwa wamenishika vzuri sana.
“ Puuu..puuuu.” ALnpiga.
“ Alex hebu acha..usijichukule sheria mkononi.” ALiongea mwenyekt wa mtaaa. Alex aliniacha. Mwenyekiti alitutaka wote tuingie ndan tuongee .
Tuliingia.
“ Naomba kla mmoja aeleze upande wake! Nataka tuyamalze haya hapa! Sitak maswala ya polisi wala maswala ya ofisini! Nyie wote ni wananchi wangu hivyo nnawajibu wa kuwalinda kwa kla kitu.” Aliongea mwenyekiti ksha akanipa naafsi ya kujieleza.
Nilieleza yote! Mwanzo mwisho.
“ Hapana..mmi sijawah kuja kwako na kukuambia wewe ndo chanzo cha mmi kutopata ujauzto..sijawahi kufanya hivyo mimi.’ ALjitetea ashura.
“ Kwahiyo mm kchaa? Yaan nitunge tu?” Nilimuuliza.
“ Kwani wewe nani had usitunge? Inashindkana nni wewe kutunga?” ALniulza. Sikumjibu. Nilimtazama tu kwa hasira .
“ Ashura! Naomba tuwe wawazi kwa kila jambo hapa… Huyu ni mtu mzima. Hawezi kutoka huko na kuja hapa kuyaongea haya , hilo haliwezekani, lazma kuna kitu! Na swala la kumwambia yeye ndio chanzo cha wewe kutopata mtoto lnawezekana. Naomba ongea ukweli..”
“ Mm sijawahi kwenda kwa huyu mtu? sijawah kabisaa. Hebu mwenyekiti fikiria tu, hata swala la kusema sijui miguu yangu inakwato! Hiv hapa unaona kwato kwenye miguu yangu?” ALiuliza ashura.
“ Sioni kwato! iLa kwakuwa umekataa sio mbaya! Acha tumuulze na babu hapa? Kwa maelezo ya rich ni kuwa kwa mara ya kwanza mlikutana lodge, kisha baadae saa nane usiku alifika nyumban kwako ukampa dawa ambayo ilimfanya akawa kchaa?’
“ Sio kweli kabisa..,huko lodge mmi nikafanye nini?” ALiuliza mzee sudy.
Kataaa yao niliona inanichosha! Nilikata shauri nikasimama.
“ Sikia mwenyekiti! Hawa watu wanajfanya wajanja! Tutapambana nao kwa njia nyingine, acha waendelee kujifanya wajanja..” Niliwaamba. Nilijiweka sawa na kuelekea mlangoni, lakn kabla sijakifika kitasa cha mlango, alex alinishka began na kunitaka nirud nikae.
“ Nikae nfanye nini?” Nlimuuliza.
“ Kaaa tu.” ALniambia.
Nlkubal na kukaaa.
‘ Ndugu mwenyekit aliyoyaongea Rich hapa ni kwel! Ni kwel mke wangu alimfata na kumwambia kuhusu mtoto! Nasema hivyo kwakuwa siku ambayo Rich anasema mke wangu alienda kwake ni siku ambayo mke wangu alienda kwa babu yake huyu mzee sudy, na aliniambia kaambiwa kuna mtu anazuia hilo.”
“ Mume wangu…”
“ Kaa kmya tafadhali! “ ALongea kwa ukal alex.
Aliendelea.
‘ Hapo nje nlikuwa nagombana na rich bas tu! iLa ukwel wote naujua, Japo mke wangu alnficha na babu pia alnifcha.” Alongea alex.
Mzee sudy alivuta hewa kwa ndani kwa nguvu sana! Ksha akaitoa nje na kumtaka radhi mwenyekiti.
“ Naomba nsamehe sana! Nilkataa na mjukuu wangu alkataa kwakuwa hatukutaka mumewe ajue kitu! ila kwakuwa kashajua haina haja ya kuficha tena. Yote yanayosemwa hapa ni kweli, ila ashaura sio jinni, ule usiku nlmchezea tu akili huyu kijana ili kumtesa. Maana alichokfanya kwa mjukuu wangu sikukipenda kabisaa.”
“ Nimefanya nn mzee?’
“ Ulimfunga uzaz alex na mkewe, zle salama ulzokuwa unakusanya unazan kaz yake nn? Kwasababu ya wewe kuwa na maniii ya alex kwenye zle salama , basi ashura kamwe asingepata mimba! Hivyo ili kumtibu kwanza ilibid kukudhibiti. Na ndio mana niliamua kukufanya uwe kichaaa na pia ndo mana niliamua kuchukua salama zote zilzokuwa kwako na pia kukupa gundu ya watu kutokukuuzia salama .” Aliniambia.
Looh! Niljikuta nmelowa. SIkuwa najua kama kaz ile inawafanya watu wasiweze kuzaa tena.
“ Lakini haya ni mambo ya kishirikina, na kaka yangu hana kabisa ushirikna! Kaka yangu n msom mkubwa? Kaka yangu ni mtu wa sayansi. Uchawi na haya mambo wapi na wapi?” Nilijiulza moyoni.
Sikupata majibu.
Kutokana na maelezo ya mzee sudy, mwenyekit alinitaka niache ile kazi! Pia alitupatanisha kisha kila mmoja akaondoka. Nilirudi hospitali. ILe nafka tu, nlikutana na mama pamoja na baba. Walnifokea sana baada ya kugundua nmetoka pale bila ya wao kupata taarifa.
Nilkwasihi wanisamehe wakanisamehe.
Tuliingia wodini.
‘ Kaka yako anataka kuogea na wewe.” Aliniambia baba. ALitoa simu yake na kumpigia kwa watsup. Simu iliita kisha ikapokelewa.
“ Brooooooo shikamooo.”
“ Usiniite broooo..nataka salama au hela zangu… una sku mbli tu! Lasivyo kitakachokupata usishangae.” ALiniambia na kukata simu.
Mkiwa wavivu kucoment namimi nakuwa mvivu kupost hivyo comment kwa wingi jamani ili mnie mizuka
# PIA USISAHAU KUNI FOLLOW ILI USIWE UNAPITWA NA STORY ZANGU FAIDA YA KUNI FOLLOW NI KUWA WA KWANZA KUPATA STORY KILA NINAPO POST
No comments