SITASAHAU NILIVYOFANYA KAZI YA KUNUNUA KONDOMU ZILIZOTUMIKA.
Sehemu ya Sita ( 6 )
***********
Kama ilivyokuwa kwangu, Mende alivyotaka kutoka, yule kijana alianza kupiga kelele za raha, lakini ajabu akiwa anakariba kwenye kilele cha raha, alianguka chini mzima mzima na kutulia tuli.
Wote tuliokuwa pale macho yalitutoka kwa mshangao.
“ Daudi…Daudi…” Nilimwita nikiwa namtikisa yule kijana.
Hakuzinduka.
“ Mende kamnga’ata naniliue yake ndio maana kazimia.” ALiongea kijana mwngine aitwae Ayubu.
“ Sio kweli.” Niliwaaamba huku nikiwa namtikisa tikisa Daudi. Licha ya juhudi kubwa za kumtikisa, Daudi hakuzinduka, wenzake walianza kunilaumu na kunitaka nimpeleke hospitali.
Niliwakatalia.
“ We jamaaa mchawi! Umeleta mende wako wa kichawi kamng’ata jamaaaa…” Waliongea mengi kunishutumu.
Kuthibitisha kuwa Mende hajamng’ata. Nilimvua ile salama, lakin ile nimeishika naniliua yake na kuitoa salama, Daudi alizinduka.
“ upo sawa?” Nilimuuliza.
“ Nipo sawa. Naomba salama nyingine na Mende! Sijawahi kusika raha kama niliyoisikia leo. Nataka nifanye tena..nataka…” ALiniambia Daudi. Nilimkatalia kata kata. Kwa utaratibu nilimuuliza kilichopelekea azimie ni nini.
“ Nikiwa kwenye raha sana uwa nazimia.”
“ Kwahiyo kuzimia kwako hakuna uhusiano na mende?”
“ Ndio! Tatizo ni raha ilizidi kupita maelezo.” ALituambia.
Kimoyo moyo nilimshukuru MUNGU, niliwataka watoke na kila mmoja akafanye nyumban kwake na kuniletea salama ilyotumika.
Waliondoka na kuniacha peke yangu.
……………………………..
Nikiwa peke yangu chumbani nilimkumbuka kaka, pia nilimkumbuka mwenyekit alvyokuwa anacheka baada ya kumwambia aliyenituma kununua zile salama ni kaka.
“ Kwanni mwenyekiti alicheka baada ya kumwambia ni kaka?” Nilijiuliza.
“ Mmmmh! hivi ni kwanini kaka anazitaka salama zilizotumika?” Nilijiuliza tena na tena.
Akili yangu haraka sana ikaanza kukumbuka baadhi ya matendo ya kaka, nilikumbuka maisha yake ya nyuma.
“ Hivi kaka yako ni mchawi! Anawezaje kufanya hivi?” Nililikumbuka hili swali ambalo niliulzwa na mwanafunzi mwenzangu wakati tukiwa shule. Swali hil hakuniulza yeye tu, wengi waliniulza, na hiii ilitokana na uwezo mkubwa wa kaka darasani. Maisha yake yote ya shule kaka alikuwa mtoro sana, lakini licha ya hivyo mara zote alikuwa wa kwanza kwenye mitihani.
Hata kwenye mitihani yake ya form four na form six alikuwa wa kwanza kitaifa licha ya kuwa mtoro sana shuleni.
“ Mmmmh! hivi kaka aliwezaje kufanya yale yote? Alwezaje kufaulu vizuri vile wakat alkuwa mtoro? Na mbaya zaidi hata nyumbani sikuwa namuona akisoma?” Nilijiuliza.
“ Mmmmh!” Nlijikuta nimeguna tena?”
“ Na hizi salama za nini? hivi hataniingiza kwenye matatizo huyu mtu?” Nilijiuliza. Hofu ilianza kuniingia moyoni. Baada ya kufikiria sana niliamua kumpigia baba kumuomba ushauri.
“ Unasemaje?” Baba alniuliza kwa mshangao.
“ Ndo hivyo baba, kaka kanipa hio kazi ya kununua salama. Tena ananilipa vizuri sana. Shda n kuwa nina wasiwasi. Sijui hizi salama ni za nini yeye?”
“ Kwa hilo lazima uwe na wasiwasi. Na ni vyema umeniuliza, chakufanya kwasasa acha kufanya hio kaz. Usinunue salama nyingne kwanza mpaka utakapojua hizo salama za nini.”
“ Sasa nitajuaje na yeye hatak kuniambia?”
“ Tutajua tu, kaka yako alivyofka likizo kaacha note book yake anayoandka mambo yake. Kwenye hii note book kuna kla ktu kinachomuhusu yeye, bla shaka hata maelezo kuhusu hizo salama yatakuwepo maana hakuna ktu kaka yako anakifanya bila kuandika kwenye note book.” ALnambia baba.
“Basi Kesho asubuhi nakuja.” Nilimwambia.
………………………..
Asubuhi sana siku ya pili nilsafr kuelekea iringa, baba na mama walihamia iringa baada ya baba kustaafu kazi, walikuwa wakiishi kihesa.
Majira ya saa tisa mchana nlifika.
“ Karibu.’ Alnkaribsha baba ndani.
“ Ahsante.” Nilijibu na kumtaka baba anipe note book ya kaka.
Alinipa.
Haraka niliifungua
Mkiwa wavivu kucoment namimi nakuwa mvivu kupost hivyo comment kwa wingi jamani ili mnie mizuka
# PIA USISAHAU KUNI FOLLOW ILI USIWE UNAPITWA NA STORY ZANGU FAIDA YA KUNI FOLLOW NI KUWA WA KWANZA KUPATA STORY KILA NINAPO POST

No comments