SITASAHAU NILIVYOFANYA KAZI YA KUNUNUA KONDOMU ZILIZOTUMIKA.
Sehemu ya Saba ( 7 )
***********
Haraka niliifungua.
“ Vipi?” Baba aliniuliza.
“ Hamna kitu humu! Note book imechorwa chorwa tu vitu vsivyo eleweka, pia inamaneno yasiyoeleweka.
“ Hayo maneno ndio mipango na mambo ya kaka yako! Kila kitu unachokiona humo ndan kinamaana yake! Yeye mwenyewe alinambia kuwa kla jambo lake uwa analiandika humo!”
“ Kwa hali hii siwezi kujua kitu! Siwezi kabisaaaaa.”
“ Mimi nilijua wewe utajua kwakuwa ni msomi, kama umeshindwa kuelewa basi hio kaz acha. Usiendeleee kununua salama utaingia matatizoni!”
“ Lakn mshahara anaonipa ni mkubwa sana. Ni vyema nikaifanya.”
“ Usiharibu maisha yako kisa mshahara. Kaka yako sio mtu wa kuaminika. Mbaya zadi yeye hayupo hapa.” Alinambia baba. Licha ya hayo aliniambia mengne mengi yalyobadil kabsa akli yangu.
Nilimuelewa.
…………………
Siku ya pili mapema sana nilmpigia kaka na kumpa taarifa juu ya kuacha kazi.
Hakunisumbua.
ALiniamba kwakuwa nimeamua mwenyewe sio shida. Alnieleza jion ya siku ile kuna mtu atakuja kuchukua mzgo wote wa salama nlizonunua.
Nlpanda basi kurudi nyumbani.
Majira ya saa kumi jion nilifika, ajabu, nje ya chumba changu nlwakuta watu wawili nisiowafahamu kabisa.
“ Richard mambo vipi?” Walinisalimia.
“ Salama .” Niliwajibu.
“ Tumetumwa na kaka yako utupe mzigo.”
“ Sawa.”Niliwajibu. Moyoni nilkuwa na furaha ya kuondokana na harufu ya kondomu mle ndani. Nlfungua mlango wa chumba changu na kuingia ndani. Ajabu, barazani nilipoziweka salama palikuwa patupu.
Nilishtuka.
Akli yangu ilifanya kaz haraka nikahisi uenda niliziweka chumbani! Haraka nilwahi chumbani! Looh! Nako kulikuwa patupu. Mafurushi ya salama zilizotumika hayakuwepo. Nlrudi tena barazan hapakuwa na kitu.
“ Shenzi.” Nilitamka kwa hasira huku nikitoka nje.
“ Vipi?” Wale jamaa waliniuliza.
“ Vip? Mnaniuliza mimi tena ? Yaani mmechukua furushi zote za salama halafu saizi mnaniulza mim vpi tena? Acheni ujinga nyie watu. .” Nliwaambia. Wale watu waliangaliana kana kwamba hawajui ninachoongea.
“Sikia rich! Sisi tumepigiwa simu na kaka yako tuje kuchukua mzigo, na tumefika hapa tumekaa nje pasipokungia ndani, bila shaka hata kufuri la chumba chako umeliona lilivyo. Tupe salama tuondoke. Usitufanye wajinga.”
“ Ndani hakuna salama! Na kwenye mji huu hakuna anayeztaka salama zaid ya kaka, nyie aliowatuma ndo mmezchukua.” Niliwambia. Pale pale niliibonya bonya simu yangu na kumpiga kaka watsup call.
Alipokea.
Bila kufcha kwa hasira zote nilimweleza kilchotokea. Nlimlaumu kwa kuwaamba watu wake waje wazichukue salama paspokunipa taarifa. Kaka alkataa kata kata,lakin licha ya kukataaa Aliniambia kitu kilichonifanya nifikirie sana.
Nilikata simu na kukaa chini.
“ Haionekna kama kaka ndiye aliyechukua hz salama.” Nilijiambia. Nikijiambia hivyo nilikumbuka baadhi ya maneno ya kaka.
“ Kuna watu inaonekana wanataka salama kama sisi! Wao ndio waliochukua, unakumbuka siku ya pili ulizunguka lodge zote na ukakosa salama had nikakufundishs kuwafanya watu wafanye mapeniz na mende? Na kutoka sku ile had leo ukasanyaji wa salama umeuonaje? Si unaona sio mzuri?” Nilkumbuka maswali ambayo kaka aliniuliza.
“ Kweli! inaonekana kuna watu wengine wanazitaka hzi salama! Bila shaka wao ndio waliozichukua.” Niliwaza.
Nilmpigia tena kaka.
“ Nimekuelewa kaka! Inaonekana kuna watu wengine pia wanazitaka hizi salama. Acha niwatafute kwanza.”
“ Sawa! ukishawapata hakksha unapata na mzigo wangu wa salama. Ukishanikabdhi huo mzgo wangu ndio uache kazi.” ALiniamba kaka. Nilikubaliana nae. Niliwataka wale watu walotumwa waondoke Niliingia ndan nikabadilsha nguo ksha nikatoka nje. Nikiwa mlangoni, kwa mbele yangu nilimuona hamisi. Kijana nilyemfundisha kufanya mapenz kwakutuma mende.
“ Hamis umeniletea salama?” Nilimuuliza.
“ Achana na mmi wewe.” ALnjibu kfup na kuondoka.
Nlishangaaa,
Hii ilinipa maswal zaidi, ilinfanya niwafate vijana wengne pale mtaani, lakini ajabu kama ilvyokuwa kwa hamisi nao wote walkataa kuniuzia salama.
“ kuna jambo halpo sawa hapa! gafla bin vuu wanalodge wote hawatak kuniuzia salama, ksha hata vijana niliowafundisha kufanya mapenz na mende nao hawatak kuniuzia?” Nlijiuliza.
“ Nitajua ..nitajua kila kitu.” Nilijiambia. Moja kwa moja nilielekea kwenye lodge niliyonunua salama mara ya kwaza kabisa. Nlimkuta yule bnti aliyeniuzia salama. Nilimsalimia na kumueleza lengo lake.
“ Hatuuz salama hapa.” ALiniambia kifupi.
“ Usinifanyie hivyo dada! Au kuna mtu mwingine ananunua kwa be ya juu? Sema, mimi nitakulipa zaid ya huyo mtu.”:
“ mlinzi..mlinz……” Yule dada badala ya kumjbu alimuita mlinzi. Kweeeh! Kwa kas mlangi ulisukumwa akaingia mzee mmoja akiwa na sare za mgambo.
“ Mtoe huyu mtu nje haraka..” ALimwambia. Nae mlinzi pasipokushangaa alinshika mkono tukaongozana had nje, hayo yakfanya kichwa changu kiliwaka moto kuwaza nn kinachoendelea. Nilkuwa kwenye giza zito.
Sikuwa na namna, kinyonge sana nlipiga hatua kuondoka eneo lile!Nikiwa mita mbili kutoka kwenye geti la ile lodge mlnzi aliniita.
Nilienda.
“ wewe ndo yule kjana ulyekuwa unanunua salama?” Aliniuliza.
“ Kwanini unaniulza hvyo?”
“ Kwasababu huyu dada alnamba ukija niskuruhusu kuingia ndani! Na kama ukiinga nikutoe. Bila shaka ni wewe.” Aliniambia.
Sikumjibu! Nilimtazama tu.
“ Sasa sikia! Ujue kwa umri wangu huu nimeona vtu vngi sana, na ninajua mengi! Hv unajua kwanni anakataa kukuuzia salama?”
Mkiwa wavivu kucoment namimi nakuwa mvivu kupost hivyo comment kwa wingi jamani ili mnie mizuka
# PIA USISAHAU KUNI FOLLOW ILI USIWE UNAPITWA NA STORY ZANGU FAIDA YA KUNI FOLLOW NI KUWA WA KWANZA KUPATA STORY KILA NINAPO POST
No comments