SITASAHAU NILIVYOFANYA KAZI YA KUNUNUA KONDOMU ZILIZOTUMIKA.
Sehemu ya Tisa ( 9 )
***********
Majira ya saa saba usiku nliamka. Nilinawa uso ksha nkatoka nje, moja kwa moja niliekeea nyumbani kwa mzee sudy.
“ Kaka anataka salama zilizotumika za nin?” Nlijiulza.
“ Na hawa watu kwanini hawatak kuniuzia salama? Yaani ni bora wakaztupa kulko kunpa mimi?” Nlijiulza tena tena.
Puuuh! Uso kwa uso niligongana na mtu.
“Uwe unaangala mbele wewe kaka.” ALiniambia yule mtu!
“ Samahani. Nlmwamba paspokumuangala usoni. Kabla sjaondoka, nilijpapasa mfukoni kuhakksha simu ipo. Ilikuwepo. Pia niliangalia chini kuona kama kuna kitu chochote nmeangusha, lakni ile natazama tu chini.
Loooh.
Huwezi amini! Yule mtu alikuwa na kwatu za ng’ombeee.
“ Mamaaaaaaaaaaaa.” Nilpiga kelele na kumuagala usoni.
Loooh! Nlishangaaa zaidi. ALikuwa ni Ashura, mke wa alex.
Sikukaaa.
Kwa kasi sana nilikimbia.
…………………………….
Baada ya kukimbia umbali mrefu nlismama. Niliangalia kushoto na kulia, mazingra bado yalntsha. Hvyo nilianza kutembea tena haraka haraka. Moyo wangu ulidunda kwa kas kubwa sana.Kimoyo moyo nilijuta kutoka nyumban usku. Pia niliomba nikutane na watu ili niwasimulie klchotokea.
Baada ya mwendo wa dakaka kama ishirin, nlikaribia kwa mzee sudy, nkiwa nyumba ya tatu kutoka kwa mzee sudy, nilwaona watu wa familia moja wakwa nje ya nyumba yao wakila chakula.
“ Wanakula daku.” Nilijiambia kwakuwa ulikuwa n mwez wa ramadhani.
“ Karbuuuu..” Mmoj wa wale watu alinambia.
Niltaka kukataaa, lakin nilpoangalia mbele, mazingra yalinitisha, karibu na kwa mzee sudy kulkuwa na mit mng sana, Hvyo kuondoa hofu niliamua kwenda kwa ile famli kwanza kutuliza nafs yangu na kujipa matumaini.
Nilisogea had pale na kukaa kwenye mkeka.
“ inaonekana umekimbia sana.” Baba wa ile familia aliniambia.
“ Nmekutana na mtu wa ajabu sana.”
“ Mtu wa ajabu?”
“ Ndio. Toka nizalwe sijawah kumuona mtu kama yule..’Nlmwambia.
“ zuwena, ngia ndan mchukule mgeni wetu chakula..” ALiongea yule mzee. Pale pale bnt yake alsmama na kwenda ndani. Alirud akiwa na sahani imejaaaa wal na nyama. ALiniwekea mbele yangu na kunitaka nile.
“ Karibu chakulaaaa..halafu umesema umekutana na mtu wa ajabu..uajabu wake n nini?’
“ Kwatooo..kwatoooo.” Nliongea huku zuwena akwa ananiwasha maj.
“ Kwato?”
“ Ndio, yule mtu anakwato za ngo’ombe..” Nilmwamba.
“ Kwat za ngo’ombe? Kama hizi?” ALiniuliza huku akinonesha miguu yake.
Loooh.
Naye alkuwa na kwato za ng’ombe.
Sikushangaa.
Kama mshale nilichomoka. Nilkimbia kwa kasi ambayo sijawah kukmba, moja kwa moja nlpitlza hadi nyumban kwa mzee sudy, bla ya hodi niliusukuma mlango na kuingia ndani.
“ Uuuuh…uuuuh..uuuh..” Nilihema.
“ Kweeh.” Mlango wa chumba cha piliulisukumwa aktoka mzee sudy.
“ Ndugu yangu hata kupga hodi hakuna? Hvi ungenikuta na shemeji yako tupo uchi ingekuwaje?” ALniulza.
“ Majini…”
“ Mmmh! mtaa huu hauna majin! Kama wangekuwepo lazima ningejua tu.”
“ Yapo…nmekutana nayo mara mbili.” Nlmwambia. Kwa umakin sana Akili yangu ilikumbuka lile tukio. Gafla niliachama mdomo kwa mshangao wa yule bnti aliyeniletea chakula, alikuwa ashura! Hakuwa zuwena kama yule mbaba alivyomuita.
“ Ilikuwaje sikumjua pale? Kwanini niliona kawaida tu hadi nilipoona kwato?” Nilijiuliza. Nkwa kwenye lindi la mawazo, mzee sudy alnitiksa bega.
“ Naomba tuongee swala la msng llilokufanya ukaja hapa” ALniamba mzee Sudy. Alinipa ashara nikakaa kwenye kiti naye akakaa kwenye kiti chake.
“ Kijana..” ALiniita.
“ Sifahamu unanunua salama kwa ajili ya nin?” ALiniambia.
Alinangalia kwa umakini kisha akaendelea.
“ Nimejikuta nakuonea huruma, unahangaika na hupati kle unachokitaka. Na hii inatokana na wewe kufanya biashara kitoto sana. Ulmwengu wa leo unamambo meng sana.Chukulia mfano wale watu wa lodge na watu wa mtaan kwako. Sio kwamba hawatak kukuuzia salama, la hasha. Wanataka sana, ila shda ni kuwa wamefungwaaa. Akli zao zimechezewa hivyo kamwe hawawez kukuuzia.”
“Aliowachezea n nani? Na kwanni afanye hivyo?”
“ Hlo swezi kukuambia! Kazi yangu siio kuwataja wanaofanya ubaya, bal kuwasaidia.”
“ Ntafurah sana kama utansaidia.” Nilimwambia. Mzee sudy alisogea pembeni kdogo akachukua kibuyu na kukimimina mkononi kwake. Ukatoka unga. Alinpa kwenye kganja changu na kunitaka niulambe.
Niliulamba.
“ Saf sana. Sasa watu wa lodge na watu wengne wote watakuuzia salama bila shda.”
“ Lakini kwanni had umenileta huku? Huu unga si ungenipa tu kule kule lodge.”
“ Sheria ya unga hautok humu ndani! Wote nawapa hapa hapa, ukitoka tu nje haufanyi kazi. Aliniambia. Nltikisa kchwa kukubaliana nae.
Nilmuuliza kuhusu malipo! Mzee sdy alkataa kata kata.
Kutokana na gza nje, nliamua kubak pale had asubuh, majra ya sa kum na moja nilimuaga na kuondoka pale, lakn ile nmtoka tu mle ndani, kchwa kilianza kuniuma isvyo kawada. Ni kama kuna mtu alikuwa akinigonga na nyundo .
Nilijkaza hivy hvyo had nyumbani.
Nlijtupa ktandan kwa kuzan uenda kitatula lakini hakikutulia.
“ Hk kichwa sio cha kawada, bla shaka dawa ya mzee sudy.” Nlijiambia. Nlchukua smu nmpge kumueleza lakni namba yake haikupatikana.
“ Mmmmh” Nljikuta nmeguna kwa uchungu mkubwa sana.
“ Hapana..hapana…inabidi nimpate mzee sudy anpe dawa nyingne ya kuzimua hii aliyonipa .” Nilijiambia. Nilmpigia jamaa yangu wa yebo akaja kunichukua. Moja kwa moja alinipeleka lodge alikokuwa analinda mzee sudy.
Ajabu, getni nlikutana na mlinzi mwengne tofaut kabisa na mzee sudy .
“ Mzee sudy yuko wap?” Nlmuulza.
“ Mzee sudy ndio nani?” Naye alniulza swali.
“ Yule babu alyekuwa analinda hapa..”
“ hakuna babu anayelinda hapa. Hili ni lindo langu, huu mwaka wote niko mm hapa.” Alniambia.
Mambo ndo kwanza yanaanza.
Mkiwa wavivu kucoment namimi nakuwa mvivu kupost hivyo comment kwa wingi jamani ili mnie mizuka
# PIA USISAHAU KUNI FOLLOW ILI USIWE UNAPITWA NA STORY ZANGU FAIDA YA KUNI FOLLOW NI KUWA WA KWANZA KUPATA STORY KILA NINAPO POST

No comments