Header Ads

Header ADS

SITASAHAU NILIVYOFANYA KAZI YA KUNUNUA KONDOMU ZILIZOTUMIKA.

 SITASAHAU NILIVYOFANYA KAZI YA KUNUNUA KONDOMU ZILIZOTUMIKA.




Sehemu ya Nane ( 8 )
***********
“ Sasa sikia! Ujue kwa umri wangu huu nimeona vtu vngi sana, na ninajua mengi! Hv unajua kwanni anakataa kukuuzia salama?”
Sijui..”
“ Ni kwel huwezi kujua.” Alinijibu.
“ Twende huku.” ALiniamba. ALnishika mkono akanizungusha nyuma ya ile lodge. Tukiwa tumefika nyuma, mlinzi aligeukia na kujitambulisha. Aliniambia anaitwa Sudy, japo weng wanamuita mzee sudy.
“ Mzee wangu umenitembeza toka kule hadi huku ili uje uniambie jina lako?” Nlimuuliza nikiwa nimeshachukia. Kifupi alinkera sana.
“ Tulia kjana wangu..” ALiniamba.
“ Nitulie nini? ujue had sasa sikuelewi. Unaongea mengi lakni sjui shda yako nini. Niambe unataka nini?” Nlmuulza kwa ukali.
Mzee sudy hakunjibu kitu, badala yake kwa ishara alinonyesha shmo la takataka la ile lodge.
Kwa mshangao nlijizba mdomo.
Kwenye shimo kulikuwa na salama nying zilizotumika.
“ Nimekuita hapa ili nikupe nafasi ya kujiulza swali. Naomba jiulize inakuwaje mtu akatae hela unayompa na aje kutupa salama shimoni.” Alinambia.
Hakika haikuniingia akilini.
‘ kuna jambo, Haiwezekani mtu akatae kupokea elfu 25 kwa salama moja halafu aje kuzitupa shimoni. Sio bure, kuna jambo hapa.”
“Uspanic,kwanza naomba zunguka lodge zote ambazo mara ya kwanza walikuuzia salama lakin ulvyoenda tena walkukatalia. Kla lodge nenda shmoni kaangalie. Ikwa nako utakuta salama wamezitupa baada ya kukuuzia naomba ntafute. Namba yangu hii hapa.’ Aliniambia huku akinikabidhi simu yake. Haraka haraka nilikop namba na kuondoka eneo lile.
……………………
Kama alavyoniambia. Nlizunguka lodge moja badala ya nyingne, Kote nilikopita nilkuta salama zimetupwa shimon.
“ Yaani wanakataa kupokea elfu 25 kwa salama moja ? wanaona bora kutupa salama kulko kuniuzia?” Nilijiulza maswal yasyokuwa na majibu.
Nikiwa kama nimeweuka nilrudi nyumbani.
Mitaa kadhaa kutoka nyumbani, Nilimshuhudia juma, mmoja wa vjana niliwowafundsha kufanya mapenz kwakutuma mende. Nlimuona akiwa kashika tissue na kuitupa porini. Nikiwa namkaribia, sele jiran yangu altokea.
“ Mwanangu nmekuona umetupa salama.” Sele almwamba Juma.
“ Ndugu yangu sku hiz mm staki tena demu! Kuna kamchezo katamu sana nmefundishwaaa, yaaani nguvu niliyokuwa naiweka kwenye kutafuta mademu sazi naweka kwenye kutafuta mende.” ALiongea Juma.
Wakt akongea hayo, tayar nlikuwa nimesogelea.
“ Sasa juma tabia gan hii ya kutupa salama? Hujui kama hizo salama mimi nazihtaji! Tena sio bure nakupa hela.” Nilimwambia.
Juma aligeuka kunitazama, bila ya kuongea lolote aliingia ndan kwake.
“ Nmerogwa …nmerogwaaa so bure….nmerogwaaa.” Nilijamba baada ya kuachana na Juma. Nilifika had nyumbani kwangu. Niliingia ndani na kujilaza ktandani. Niliwaza na kuwazua nikaamua nimpigie simu yule mlinzi.
“ Nina baba yangu asiyeshndwa kamweeee….yesu ni baba yangu asiyeshindwa kamweeee….” Uliskika wimbo kwenye smu ya mlinzi.
“ Mmmh! Huyu mzee na yesu wapi na wapi?” Nilwaza baada ya kuusikia ule wmbo.
Simu liita had kakatka paspokupokelewa.
Nlipiga tena.
Kama mwanzo, simu iliita had kakatka pasipo kupokelewa.
Nkwa nimekata tamaa, sijui nifanye nini. Ujumbe ulinga kwenye simu yangu Haraka niliufungua. Ulkuwa ni ujumbe kutoka kwa mzee sudy.
“ Usinipigei simu nipo na boss. Naomba leo saaa nane usku njoo nyumban kwangu.” ALiniamba kisha pale pale akanituma message nyingne ya kunielekeza nyumban kwake.
…………………………..
Majira ya saa saba usiku nliamka. Nilinawa uso kisha nikatoka nje, moja kwa moja nilekeea nyumbani kwa mzee sudy.
Mkiwa wavivu kucoment namimi nakuwa mvivu kupost hivyo comment kwa wingi jamani ili mnie mizuka
# PIA USISAHAU KUNI FOLLOW ILI USIWE UNAPITWA NA STORY ZANGU FAIDA YA KUNI FOLLOW NI KUWA WA KWANZA KUPATA STORY KILA NINAPO POST

No comments

Powered by Blogger.