Header Ads

Header ADS

19 - SITASAHAU YALYONIPATA WAKATI NAFANYA KAZI YA KUNUNUA SALAMA ZLZOKWSHA TUMIKA


Sehemu ya Kumi na Tisa ( 19 )
********
“ Unakifua?”
“ Ninacho.”
Nitakuamba kila kitu kwakuwa wewe ni mdogo wangu! Wewe ni kila kitu kwangu. Siwez kukuficha jambo lolote lile.” ALniambia. Aliuachia mkono wangu akashika chupa ndogo ya pombe iliyokuwa karibu yake na kuinywaaa.
Alnitazama tena machoni.
“ Kabla sijakuambia naomba kwanza unipe ahadi kamwe hautakuja kumwamba yeyote hii siri yangu.”
“ Usijali broo.”
“ Sawa, sasa kabla sijakuambia naomba usain hiz karatas. Huu ni mkitaba wa kutunza siri zangu .Ukshindwa kutunza nitakuua mmi mwenyewe, tena kwa mikono yangu.” ALiniambia akiwa ananikabidhi karatasi.
“ Acha utan.” Nilimwambia nikiwa napokea zile karatasi.
Haraka kaka alizirudisha nyuma.
“ Sio utani mdogo wangu! Hili ni jambo serious. Hakuna utani hapa. Ukishindwa kutunza siri yangu nitakuuua. Tena nitakuua kwa mikono yanguu.” ALiniambia akiwa kanikazia macho. Hali yake ilinifanya nianze kumuogopa.
“ Anajambo gan huyu?” Nilijiuliza moyoni.
“ Ni kuhusu biashara ya kondomu zilizotumika au?” Niljiulza tena. Nikiwa kwenye wimb nzito la maswal, nilishtuliwa tena na zile karatas baada ya kuziweka mezan kwa nguvu na kuniulza kama nitasani au sitasaini.
“ Nitasaini.” Nlmjbu. Nilichukua zile karatas na kusaini.
“ Uuuuh!’ Kaka alihema juu juuu. Alinitazama tena kwa umakini sana kisha akanisogelea na kunikumbatia.
“ Kuanza sasa wewe ni mwenzangu! Mwenzangu kwenye kla jambo, hela zangu ni hela zako, jins nitakavyoendelea mmi na wewe utaendelea hivyo hivyo. Kwa pamoja tutautoa umaskni kwenye ukoo wetu.” ALiniambia.
Aliendelea.
‘ Unajua umasikni mbaya sana! Hebu fikiri kif cha mama mdogo yule, ilihitajika milion mia afanywe opareshen na sisi hatukuwa nayo hadi akafa! Kama tungekuwa matajir bila shaka asingekufa.” ALiniambia.
‘Ni Kwel umasikin mbaya! Lakini haya unayoyasema siyaelewi! Niambie jambo lllokufanya ukagombana na baba, pia niambie hiyo sir yako kubwa.’
“ Nitakuambia! Usiwe na haraka.”
“ Bila shaka hio sir lazima iitakuwa inauhusiano na salama zilizotumika?”
Kaka hakunijibu, alntazama tu kisha akachukua kitabu kimoja kwenye mkoba wake na kunipa.
“ Unamfahamu huyo aliyekuwa kwenye cover hapo nje ya ktabu?” Aliniulza.
“ Huyu si billget?” Nilimuuliza.
“ Upo sahihi.” Alnijibu. ALininyanganya kile kitabu na kukiweka pembeni. Alinishika mikono yangu yote miwili kisha akaniuliza swali lingine.
“ Unakumbuka wakat nasoma?”
“ Nakumbuka! Ulikuwa unafaulu sana mitihani! Nakumbuka kuna wakat ulikuwa from one ukapelekwa kufanya mtihani wa form four na ukaongoza. Ulikuwa noma sana wewe, unakili sana”
“ Lakin unakumbuka wakat nasoma shule ya msngi nlvyokuwa?”
“ Yaah! Shule ya msng hasa madarasa ya chni ulikuwa mjinga sana, hukuwa na maajabu yeyote yale, tena nakumbuka wakat ukiwa darasa la tatu ulikuwa wa mwsho darasani.Lakni pamoja na hivyo, mtihan wa mwsho wa darasa la saba uliongoza mkoa mzima”
“ Nafurah kuona unakumbuka yote! Sasa nitakuambia ukwel kuhusu maisha yangu.” Aliniambia.
Aliendelea.
“ Nikiwa darasa la sita, niliingiwa na jini japo binafsi sikufahamu. Uwezo mkubwa niliokuwa nao ulitokana na hilo jini. Toka hapo maisha yangu yote ni lenyewe lilikuwa likiniongoza. Had safari yangu marekani na yote ninayoyafanya linaniongoza lenyewe.”
Niliduwaa.
Haraka haraka nlikumbua jinsi yale majini yalvyonitokea usiku.
“ Aaaah basi hata wale majini walisababishwa na wewe?”
“ Hapana. Hao unawazungumza hawahusiani na mimi.” ALiniambia
Aliendelea.
“ Mwanzo sikuwa najua kama nmeingiwa na jinni, lakn nikiwa chuo kiukuu mwaka wa tatu ndio nilifahamu kuwa mwil wangu siuongozi mim! Nlijarbu kupamba nalo nikashindwa, lakini pia sikuona ubaya sana ikiwa linaniwezesha kufanya mambo makubwa.”
“ Mambo makubwa?”
“ Ndio, moja limenitoa kwenye umaskini, mbili linanitaka niwe binadamu wa kwanza kugundua vitu ambavyo binadamu wengine wameshindwa. Mfano kwasasa nipo kwenye majaribo ya kutengeneza mtu kupita zile mbegu ulizokuwa unakusanya. Nilipokuambia ununue salama sikuwa nazitaka salama, bali nilikuwa nazitaka zile mbegu na zile nafsi zilizokuwa kwenye mbegu.” Aliniambia.
Mkiwa wavivu kucoment namimi nakuwa mvivu kupost hivyo comment kwa wingi jamani ili mnie mizuka
# PIA USISAHAU KUNI FOLLOW ILI USIWE UNAPITWA NA STORY ZANGU FAIDA YA KUNI FOLLOW NI KUWA WA KWANZA KUPATA STORY KILA NINAPO POST
May be an image of 1 person and text that says "19 L "ေေ SITASAHAU NILIVYOFANYA ΚΑΖΙ YA KUNUNUA KONDOMU ZILIZOTUMIKA."


No comments

Powered by Blogger.