20 - SITASAHAU YALYONIPATA WAKATI NAFANYA KAZI YA KUNUNUA SALAMA ZILIZOKWISHA TUMIKA
Sehemu ya Ishilini ( 20 )
********
“ Ndio, moja limenitoa kwenye umaskini, mbili linanitaka niwe binadamu wa kwanza kugundua vitu ambavyo binadamu wengine wameshindwa. Mfano kwasasa nipo kwenye majaribo ya kutengeneza mtu kupita zile mbegu ulizokuwa unakusanya. Nilipokuambia ununue salama sikuwa nazitaka salama, bali nilikuwa nazitaka zile mbegu na zile nafsi zilizokuwa kwenye mbegu.” Aliniambia.
“ Ndio! Na mapaka sasa nimefikia hatua nzuri sana.”
“ Mpaka sasa bado sijakuelewa kaka. Sasa kama hio ndio siri yako, inamaana baba kachukia baada ya kuijua hii siri au?’
“ Hapana, baba hajajua hii sri, baba kajua kitu kingine, hili jin linalonipa uwezo huu wa akili,lilinitafutia mtu wa kuishi nae kama mke wangu, ni yule mzungu uliyemuona.”
“ Aaah! Lakin yule si mwanaume?’
“ Ni kwel! Lakini yeye hataki kuwa mwanaume! Kaamua kuwa mwanamek ndio mana kawa mke wangu. Sasa nilipofka kwa baba, bahati mbaya usiku tukiwa chumban nilikuwa namuingia yule jamaaa, sasa baba sijui ikawaje akaja chumbani na kutukuta. Toka hapo kaniambia nimelaaniwa na hatak kuniona.”
“ Mmmmh! lakin hio sio sawa kaka! Unaanzaje kumuingilia mwanaume mwenzako knyume na maumbile? Unaanzaje kusuport ushoga broo? Unaanzaje? Hizi ni laana? Unamchukiza MUNGU.”
“ MUNGU ndo nan?”
“ Usiseme hvyo kaka! Tutagombana.”
“Utafit nnaoufanya lengo lake ni kushindana na huyo unaemwita MUNGU. Nikiweza kutengeneza mtu mimi na yeye hatutakuwa tofauti.” Aliniamba maneno yaliyoniacha mdomo wazi. Maneno yake licha ya kunichanganya yalnfkirisha pia.
Yalinfanya nijue kwanini matafa makubwa dunian yanasupport ushoga na mapenzi ya jinsia moja.
‘ Kumbe ni masharti wanayopewa na shetan ili kuwawezesha kwenye sayansi, na ndio maana wanagundua mambo meng nakubwa, kumbe sio akili zao.
“ Aaaah.” Nlijkuta nimejiziba mdomo kwa mshangao.
Nilikumbuka picha ya billget aliyonionesha kaka, pia niliwakumbuka matajir na watu maarufu weng dunian wanaosupport ushoga.
Nilchoka.
“ Kla siku nilikuwa najiuliza , kwa nini haya mataifa makubwa yanapambana sana na sisi nchi za kiafrka wakitaka tusupport ushoga, kumbe chanzo ni wanasayans wao wanatumiwa na shetan kupingana na MUNGU.’ Nilwaza kwa sauti.
“ Lakini watashindwa tu! MUNGU ni mkubwa sana, MUNGU ananguvu kuliko wao.” Niljsema kmoyo moyo.
Ukimya ulitawala kwa dakka kadhaa kisha kaka akanisogelea karibu tena.
“ Ukitaka ufanikiwe kwenye hii duna ni lazima uungane na hawa watu! Kwanza huwez kupambana nao, maana kila ktu duniani wamekishika wao, Utake usitake wakitaka ufanye jambo lao utafanya tu. Na ili uwe tajri au maarufu n lazma uungane nao.” Alniamba.
“ Lakini wapo mtajiri weng tu maarufu hawaung mkono ushoga! Pia wapo hata vongozi wa serikal hawaungi mkono ushoga.” Nilimwambia.
Badala ya kunijbu kaka alicheka sana.
“ Weng wanaongea tu kuwazuga, muda ukfika utajua ukweli! Halafu kama hawaungi mkono mbona hawakamat mashoga wanaozagaa mitaani! Kuna mashoga wangap mtaani, kuna mashoga wangap wanajitangaza waz wazi kwenye mitandao ya kjamii. Zile ni zuga tu mdogo wangu. Hi dunia ina mambo sana.”
“ Lakni kwanini umeniambia haya yote?’
“ Nimekuamba kwakuwa nataka tushirikiane! Nataka kuanza sasa uwe mwenzangu na ufanye kazi zangu paspo maswali! Pa usaidie kurudisha uhusiano wangu na wazazi wangu, ujue nafanya haya yote kwa ajil yao, nafanya haya ili kuuokoa ukoo wetu kwenye janga la umasikini.”
“ Nmekuelewa kaka, lakn nitafanyaje kazi yako wakat kuna watu wengine wanapinga na hawatak nnunue salama! Ona wamenifanya nimekuwa kichaa lakini pia wamechukua salama ambazo tayari nlishakwsha nunua.”
‘ Kuhusu hilo niachie mimi! Ninachotaka sasa wewe jiandae na uende dar es salaam, kule kuna makahaba weng, ongea nao na mfike makubaliano! Na muda wote unafanya hii kaz naomba uwe unavaa hii chen.” ALiniambia. ALitoa mkufu mfukoni kwake na kunivesha. Mkufu ulikuwa na fuvu dogo la chuma pamoja na mifupa miwili ya chuma.
Mkiwa wavivu kucoment namimi nakuwa mvivu kupost hivyo comment kwa wingi jamani ili mnie mizuka
# PIA USISAHAU KUNI FOLLOW ILI USIWE UNAPITWA NA STORY ZANGU FAIDA YA KUNI FOLLOW NI KUWA WA KWANZA KUPATA STORY KILA NINAPO POST

No comments