21 - SITASAHAU YALYONIPATA WAKATI NAFANYA KAZI YA KUNUNUA SALAMA ZLZOKWSHA TUMIKA
kk
Sehemu ya Ishilini na Moja ( 21 )
********
‘ Kuhusu hilo niachie mimi! Ninachotaka sasa wewe jiandae na uende dar es salaam, kule kuna makahaba weng, ongea nao na mfike makubaliano! Na muda wote unafanya hii kaz naomba uwe unavaa hii chen.” ALiniambia. ALitoa mkufu mfukoni kwake na kunivesha. Mkufu ulikuwa na fuvu dogo la chuma pamoja na mifupa miwili ya chuma.
“ Lakini kaka, inamaana hakuna njia nyingne ya kufanya kuepukana na huu ushetani? Kwanni tujitumbukize kwenye haya?’
“ Mdogo wangu kungekuwa na njia nyingne hata mm nngeifata, lakin haipo, na mbaya zaid kubishana na hawa watu ni mbaya, mabaya yanaweza kukukuta.” ALniambia. Alchukua simu yake akanionesha picha ya julius malema mwanasiasa mashuhuri wa saouth afrika akiwa kwenye maandamano ya kutetea haki za ushoga.
“ Si unaona hii picha?” Alniuliza.
“ Ndio naiona.”
“ Sasa huyu mtu wa nne mstar wa pili anaitwa Belotha, akiwa na miaka kumi na tatu nae aliingiwa na jinni ambae alimpa uwezo mkubwa sana wa akili, lakin kupitia maombi jin akaondoka.”
“ Sasa si umeona! Hata wewe kama ungetuambia na ssi tungekazana kwenye maombi ungeepukana na hili.”
“ Kwani yeye aliepukana nalo? Angekuwa kaepukana nalo wala asingekuwa kwenye maandamano ya kutetea hak za ushoga.”
“ E\eeh! Sasa ilikuwaje had akawa hapo wakat jini walifaniikiwa kulitoa?’
“ Baada ya lile jinni kutoka, liliweka mipango na kufanya Belotha afukuzwwe shule, mwaka mmoja mbele baada ya kufukuzwa shule, lile jin lilimuingia rafik yake belotha , bila kujua yule rafki yake belotha akafanya alichoambwa na lile jinni?’
“ ALfanyaje?’
“ Alienda kumshawish belotha waende ulaya kutafauta maisha! Na kwakuwa yule rafki yake alkuwa na jinni ndani baadhi ushawishi wake ulikuwa mkubwa na wenye nguvu, belotha bila kujua kama n mpango wa yule jinni aliyefukuzwa kwenye mwili wake alikubali. Yeye na rafk yake walipanga kutoroka kwa meli kwenda ulaya.”
Aliendelea.
“ Siku waliyopanga kuondoka, rafki yake belotha hakutokea, belotha akajikuta yuko peke yake ndani ya meli.’
“ Kwahiyo alifankiwa kufka ulaya?”
“ Ndio, lakini kabla hawajafka kuna jambo lltokea. Wakiwa kat kati ya bahari, lile jini liliwaingia wenye mel na kuwafanya wajue kuna mtu asiyetakiwa kwenye meli. Haraka sana walifanya ukaguzi wakampata belotha.
“ ikawaje?’
“ Walimwambia achague moja! Wamtupe baharin afe au wamuingie kinyume na maumbile. Kwa hofu belotha hakujbu ktu. ALitetemeka tu kwa hofu. Wale watu bila huruma wakiiwa na jin ndan walimkamata belotha na kumuingia kwa zamu pasipokumpa nafasi ya kupumzika.”
“ Walmfanya hivyo had akazimia! Na alipozimia hawakumuacha, walimpa huduma ya kwanza na kuendelea kumfanyaa tena vle vile.”
“ Mmmh!’ Niljkuta nmeguna.
“ Ilikuwa hvyo, walpofika uingereza lile jinni lilimuingia tena na kumpa fursa ya maisha bora! Belotha hakuwa na namna! Alkubali. Na ndo lillomfanya akawa tajri mkubwa sana. Hapa unapomuona anafanya maandamano ya kutetea ushoga .”
“ Kwahyo sasa huyu kazi yake nini? kutetea ushoga au?”
“ Ndio, nitakupa mfano wa jambo moja kubwa sana alilowah kulifanya.
Alianza kunisimulia.
Ni hivi,
Mwaka 2006, mwez wa saba wakati south africa inajiandaa kupitisha sheria ya kuruhusu ndoa za jinsia moja. Belotha arud nchni kwao akiwa tajiri mkubwa.
Mwezi November, wakat baadh ya vongoz wa dini na wananchi wenye hasira wakiandamna kutaka serikal isipitishe sheria ya kuruhusu ndoa za jinsia moja,kwenye kichaka karibu na walipokuwa wanaishi wazazi wa belotha ilpatkana miili ya vijana watatu wakiwa wamechomekwa chupa kwenye tupu zao za nyuma.
Uchunguzi ulioneshwa walikuwa wameingiliwa kinyume na maumbile kabla ya kuchomekwa hizo chupa.
Mtu asiyefahamka aliwatumiwa picha za mili ya wale vijana wakiwa na chupa kwenye maungo viongozi wa maandamano na kuwataka kuacha mara moja maandamano kama hawataki yaliyowatokea wale yawapate.
Hakuna alyekuwa tayari kufanywa vile, hivyo Maandamano yote ya kupinga ile sheria yalikoma. Wote waliondamana mara ya kwanza walijifungia majumbani kwao ispokuwa kijana mdogo aitwae rick. Peke yake aliandaamana hadi bungeni kulitaka bunge lisipitshe ile sheria.
Rick Alipoulizwa na wenzake kama haogopi aljibu ni bora kufa kulko kushuhudia nchi yake inapitishwa ile sheria . Aliapa kuandamana na kufanya kila awezalo kuhakkisha ndoa za jinsia moja haziruhusiwi nchni mwake.
Bunge ni kama masikio yake iliweka pamba, sheria ilipitshwa na ndoa za jinsia moja ziliruhusiwa south Afrca.
Jambo la ajabu zaidi, siku ya pili baada ya sheria kupitishwa, Wapenzi wawili wa jinsi moja Walifunga ndoa. Kwenye party waliyoandaa usiku wa ile siku, Belotha alikuwepo, na ajabu zaidi, rick pia alikuwepo.
Katikati ya sherehe, Belotha aliomba azungumze jambo. Alipewa mic, na kwa mbwembwe zote alimuita Rick mbele na kumtangaza kama mume wake. Aliahdii yeye na rick nao watafunga ndoa siku inayofatia.
Kwa mbwembwe zote, alimfata rick na kumnyonya ulimi wake.
Watu wote waliokuwa pale walishangaaa. Maswal yalikuwa mengi kulko majibu! Inakuwaje mtu aliyeandamana na kuapa kupambana hadi mwisho kupinga ushoga akamuoa mwanaume mwenzake. Wengi walijiuliza na hakuna aliyekuwa na jibu, bla shaka hata nawe unajulza ilkuwaje.
“Ndio najiulza ilikuwaje?”
“ ahahahaha..mbona ni swal rahsi sana, belotha ndiye aliyefanya hio kazi, kwa sir sana alimchoma sindano Rick iliyobadilisha kabisa mawazo yake, naa baada ya kumchoma almtaka amuoe, rick pasipokujua lolote alikubali.”
“ mmmmh!’
“ Na hio ndio kaz ya belotha kwa upande wa Africa, yeye kaz yake kubwa ni kuwafata watu wote wanaopinga ushoga kwa nguvu kubwa na kuwabadlsha mawazo yao kwa kuongea na wakiwa wabishi anawachoma hio sindano.” Alniambia.
Nilichoka sana aiseee.
Alinitaka nirud nyumbani na kesho asubuh sana niende ili niweze kwenda dar es salaama kuanza kazi ya kununua salama . Nilrud nyumbani, lakini katka hali isiyokuwa ya kawaida, niliwakuta watu wengi sana nyumbani
“ Kuna nini?” Nilwaulza
‘ Pole sana.’ Jirani yangu aitwae moze aliniambia. Nikiwa nashangaaa, nlishuhudia polis wakiwa wanatoa mait ndan, haraka niliwahi kwenda kufunua. Looh! zilikuwa mait za baba na mama, mama alikuwa kachomwa kisu tumboni na baba alikuwa kakatwa koromeo.
Imekuwaje? Tukutane kwenye muendelezo sehemu inayofata
Mkiwa wavivu kucoment namimi nakuwa mvivu kupost hivyo comment kwa wingi jamani ili mnie mizuka
# PIA USISAHAU KUNI FOLLOW ILI USIWE UNAPITWA NA STORY ZANGU FAIDA YA KUNI FOLLOW NI KUWA WA KWANZA KUPATA STORY KILA NINAPO POST
No comments