Header Ads

Header ADS

22 SITASAHAU YALYONIPATA WAKATI NAFANYA KAZI YA KUNUNUA SALAMA ZLZOKWSHA TUMIKA


Sehemu ya Ishilini na Mbili ( 22 )
********
‘ Pole sana.’ Jirani yangu aitwae moze aliniambia. Nikiwa nashangaaa, nilishuhuda polis wakiwa wanatoa maiti ndan, haraka niliwah na kwenda kuifunua. Looh! Ilikuwa ni mait ya baba na mama. Mama alikuwa kachomwa visu tumboni na baba alikuwa kakatwa koromeo.
“ babaaaaa..babaaaaaaa….” Niliita.
Mamaaaa..mamaaaaaa…” Niliita pia, kama mwenda wazimu niliwashika na kupiga kelele.
“ Hebu tulia wewe! Na acha kuzishika hizi maiti utaharibu ushahidii. “ ALinifokea askar. Walizifunuka na kuziingiza kwenye gari.
Uchungu usiokuwa wa kawaida ulinishika! Nilijikuta nakaa chini pasipokujielewa. Nilijishika sura na kugumia kwa uchungu usiokuwa na mfano! Majiran walinishika na kuniingiza nyumba jirani kwakuwa pale kwetu hakuruhusiwa mtu kuingia kwasababu za kiuchunguzi.
“ Nini kmetokea! Nani kafanya haya?” Nilijiuliza tena na tena pasipokuwa na majibu.
“ Mama unawezaje kufa kikatil hivi! inawezekanaje?” Nilijiuliza tena na tena.
………………….
Masaa matatu mbele nilitulia! Kwa tabu sana niliomba majirani waniambie kilichotokea, lakini hakuna aliyekuwa anajua.
“ Hakuna aliyekuwa anajua? Nani aliwapigia polisi?” Niliwauliza.
“ Mama Khadija ndiye aliyewapiga.” ALiniambia Moze. Niliwaomba waniitie mama khadija. Haikuchukua muda mrefu alifika.
“ Samahani dada, naomba niambie nini kimetokea hapa! Nani aliyefanya yale?” Nilimuuliza.
“ Kusema ukwel sifahamu kitu! Nilikuwa napita njia nikaona damu nying inatoka mlangoni, niliposogelea kuchungulia nikaona watu wamelala chini wanavuja damu! Haraka nikapiga simu polisi.” Aliniambia.
Kiukwel nilichoka. Nilijikuta sina nguvu kabisa.
Majirani walinituliza na kunitaka niwe na amani ni kaz ya MUNGU.
“ Hapana hii sio kazi ya MUNGU! MUNGU hawezi kuruhusu mama yangu na baba yangu wakafa hivi.” Niliongea.
Dakika kumi na tano mbele polis walifka tena pale nyumbani. Walitoa ule utepe waliouweka na kuturuhus kuingia na kuendelea na taratibu za msiba.
Nikiwa najadiliana na majirani chakufanya kuhusu chakula na mambo mengine, kaka alifika akiwa na yule mzungu mwenzake.
“ Nasikia baba kamuua mama na yeye kajiua?” Aliniambia.
‘ Hapana..baba hawezi kumuua mama..haiwezekani.” Nilimjibu.
Kaka hakuongea neno! Alitoka tuliposimama na kulifata gari kubwa lililokuwa limebeba maturabai na viti.
“ Shusheni hapa.” ALiwaambia.
Haraka Watu walianza kushusha vitu kwenye lile gari, haikupita muda lilifika gari lingine ndogo lililokuwa limejaaa chupa za maji,
Hayo yote yakiendelea akil yangu ilikuwa kwa kaka! Kwakwel sikumuelwa hata kdogo. Niliona giza mbele yake, sura yake haikuonesha uchungu wala kujali lolote lile! Kwa taarifa ile ya gafla wala sikutegemea kama angeleta maturabai na viti.
Kwa kawaida nilijua kwanza lazima angechanganykiwa.
Maswala ya vti , maj na maturuabi yangekuja baadae.
Nkwa namuangalia sjui nfanye nini! alifka mwenyekit wa mtaa na kuniambia nahitajka polisi. Niliimfata kaka tukaingia kwenye gari lake hadi polisi.
“ Poleni sana kwa msiba>” Alituambia Askari alyepewa kazi ya kupepeleza ile kesi.
‘ Ahsante.” Tulimjibu.
“ uchunguzu muhimu umefanyika! Hvyo mnaweza kuendelea na taratbu nyngne za msiba!” ALiongea yule afande. Kwa ishara ya mkono alitutaka tumfate. Tulitembea nyuma yake had chumba cha mwish kabsa. Alisukuma mlango na kuingia ndani.
“ Karibun sana.” Alituambia na kwenda kukaa kwenye kit kilichokuwa mbele yake.
“ Kwenye utafti wako umegundua nini?” Nilmuulza.
“ Baba yenu kabla hajajikata koromea aliandika ujumbe! Na kwenye ujumbe wake kasema aliamua kumuua mkewe na kujiua yeye mwenyewe kwakuwa mkewe hakuwa mwaminifu. Usalit wa mama yenu ndio chanzo cha haya yote.” ALituambia.
Japo iliumiza sana lakini kwangu ilikuwa kichekesho, baba kumuua mama! Haikuwa sawa. Niliona ni kama maigizao hvi.
“ Samahan afande! Hz taarifa zako za uchunguzi kuna mtu yeyote ulimwambia?”
“ Hapana. Nyie ni watu wa kwanza kuwaambia! Hata askari wernzagu hawajui kuhusu hli.” ALijibu.
Tiii. Taa nyekundu iliwaka kichwan mwangu! Haraka nilikumbuka kaul ya kaka kuwa baba kamuua mama na yeye mwenyewe kaamua kujiua.
‘ Alijuaje kama baba kajiua mwenyewe na kumuua mama?” Nilijiuliza moyoni.
Mkiwa wavivu kucoment namimi nakuwa mvivu kupost hivyo comment kwa wingi jamani ili mnie mizuka
# PIA USISAHAU KUNI FOLLOW ILI USIWE UNAPITWA NA STORY ZANGU FAIDA YA KUNI FOLLOW NI KUWA WA KWANZA KUPATA STORY KILA NINAPO POST
May be an image of 1 person and text that says "22 L SITASAHAU NILIVYOFANYA KAZI YA KUNUNUA KONDOMU ZILIZOTUMIKA."
All reactions:
347


No comments

Powered by Blogger.