Header Ads

Header ADS

23 - SITASAHAU YALYONIPATA WAKATI NAFANYA KAZI YA KUNUNUA SALAMA ZLZOKWSHA TUMIKA


Sehemu ya Ishilini na Tatu ( 23 )
********
Tiii. Taa nyekundu iliwaka kichwan mwangu! Haraka nilikumbuka kaul ya kaka kuwa baba kamuua mama na yeye mwenyewe kaamua kujiua.
‘ Alijuaje kama baba kajiua mwenyewe na kumuua mama?” Nilijiuliza moyoni.
Niligeuka kumtazama! Pasipokuongea lolote nikamgeukia askari.
“ Maisha ya wazazi wangu nayajua vzuri sana. Haiwezekan baba akamuua mama! Hilo haliwezekani kabisaa.”
“ Kwahiyo unahsi kuna watu wamewaua kisha wakaandika huu wosia.”
“ Ndio! Nina uhakka wa hilo kwa asilimia zaidi ya mia moja. Naomba peleleza tafadhali.”
“ Maoni yako nimeyasikia. Nitaendelea kuangalia kama kuna lolote limejificha.” Aliniambia. Nilmshukuru kisha nikatoka nje, kaka nae haraka haraka alinifata kule nje.
“ Hivi umechanganykiwa?” Aliniulza.
“ Kuchanganykwa kvipi?”
“ Katka akili ya kawaida nan anaweza kumfanyia vile baba? Baba alkuwa mtu mwema! Hakuwa na adui yoyote yule! Aliish vzur na watu.”
“ Najua hilo! Baba aliish na watu vizur sababu ni mtu mwema! Na kwa wema wake kamwe hawezi kumuua mama kisha na yeye akajiua. Haiwezekani.” Nilimwambia kaka. Nilisimamisha boda iliyokuwa mbele yangu nikapanda na kuondoka.
………………………….
Dakika kumi na tano mbele nilifka msibani! Niliingia ndani na kuwasalimia wageni waliokuja kutupa pole.
Ndugu na wageni kutoka sehemu mbal mbal walianza kuja.
“ Poleni sana.” Baba mdogo aliniambia. Alinishika mkono na kunitoa nje.
“ Sasa tunafanyaje hapa! Na bajet ya msiba ikoje?” ALiniulza.
“ Kuhusu hilo ondoen shaka! Kila kitu nitagharamia.” Ilisikika saut ya kaka kutoka nyuma yetu.
“ Aaah! Kumbe upo? Umefka lini?” Baba mdogo alimsalimia kaka yangu kwa heshima yote. Ungemuona ungezan kaka ni mkubwa kwake. Alijnyenyekeza sana.
“ Sikiliza baba mdogo! Huyu mtu hatakiwi hapa! Kwanza sitak hela yake na wala sitaki chochte kutoka kwake! Kwa heshima ya wazazi wangu nitazika pasipokutumia hata shilng kumi yake.” Niliongea kwa hasira sana.
Baba mdogo ni kama aliweuka!
“ Paaah!’ ALnipga kibao shavuni.
“ Unaongea nini wewe? Hiv unazan huyu ni baba yako peke yako? Eeeh… huyu sio baba yako peke yako, na pia kumbuka huyu ni kaka yangu hivy hata mimi na huyu kaka yako tunahaki hapa. Uslete ujinga wako kabsaaa.” ALinifokea baba mdogo.
Pale pale kiliitishwa kikao cha ndugu kujadili msiba.
Pasipokuficha niliwaeleza msimamo wangu! Sikutaka hata shilling kumi ya kaka itumike pale! Walitaka niwape sababu.Bahati mbaya nilishindwa kuwaeleza sababu za kwanini nataka iwe vile.
“ Ndugu zangu! Huyu n mdogo wangu, toka nitoke. Mim na yeye ni ndugu kabisa, tena sio wa kuunga unga, na ilvyo bahati mbaya tupo wawl tu. Mimi na yeye. Huu ugomv anaotaka kuuanzisha kati yetu binafsi unaniumiza sana.” ALiongea kaka .
Aliendelea.
“ Nazani mdogo wangu kachukia kwakuwa nimefanya baadh ya mambo bila kumshirikisha! Mfano kuleta mahema na maj ya kunywa na vit nilifanya pasipo kumwambia. Nazani hlo ndio kosa langu! Nazani mdogo wangu kachukulia kama namadharau! Lakini haipo hvyo.. unajua MUNGU akikubariki sio mbaya na wewe ukawasaidia wengine, mfano mimi saizi naishi marekani, hiv ikitokea fursa kuna ubaya wa kuja kuwachukua ndugu zangu na kuwapeleka kule?”
‘Hapana sio mbaya..” Ndugu wote walitamka kwa mara moja.
“ Sasa kama sio mbaya hata hili lina ubaya gani? Nimehamua kugharamia msiba wa wazaz wangu kwakuwa ninauwezo huo! Sio busara kuanza kuchangishana wakati mim hizo hela ninazo. Et ndugu zangu! Kuna ubaya gan mmi kuugharamia msiba.” Aliuliza kaka.
Ndugu wote walikuwa upande wake! Waliongea kwakumheshimu na kumtukuza kama malaika vile. Baba mdogo kwa ukal alinitaka niombe radhi.
Nilkataaa.
“ Sasa kama hutaki kuomba radh tutakufukuza wenye huu msiba! Licha ya kuwa aliyekufa ni baba yako na mama yako, lakini mmi kama kiongozi wa ukoo nina uwezo wa kukufukuza. Hvyo omba radhi haraka sana.” ALiongea baba mdogo.
Ukimya ulitawala.
“ we rich tunaongea na wewe! Hebu muombe radh kaka yako?” Aliongea shangazi.
“ Hata iweje ndugu zangu siwezi kumuomba radh mtu aliyewaua wazaz wangu! Huyu mnayemtukuza yeye ndie aliyewaua baba na mama…” Niliwaambia machozi yakiwa yananitoka.
Mkiwa wavivu kucoment namimi nakuwa mvivu kupost hivyo comment kwa wingi jamani ili mnie mizuka
# PIA USISAHAU KUNI FOLLOW ILI USIWE UNAPITWA NA STORY ZANGU FAIDA YA KUNI FOLLOW NI KUWA WA KWANZA KUPATA STORY KILA NINAPO POST
May be an image of 1 person and text that says "23 L SITASAHAU NILIVYOFANYA KAZI YA KUNUNUA KONDOMU ZILIZOTUMIKA."
All reactions:
370

No comments

Powered by Blogger.