27 - SITASAHAU YALYONIPATA WAKATI NAFANYA KAZI YA KUNUNUA SALAMA ZLZOKWSHA TUMIKA
Sehemu ya Ishilini na Saba ( 27 )
********
"ni kweli, inanipasa niungane nae kwanza ili nipate pesa.” Niliwaza.
Licha maneno yake kunikera lakini kwa kiasi kikubwa niliona yalikuwa na ukweli! Tena sio ukweli mdogo, ukwel mkubwa. Kwenye dunia ya sasa ili uheshimke, na hili ufanye jambo lolote la msingi ni lazima uwe na hela.
“ Umeniambia ukwel kaka! Ukwel huu utakuja kukudhuru baadae., ipo siku nitalipa kisasi kwa ajili ya baba na mama yangu.” Nilijiambia moyoni.
Niliinua sura yangu na kumtazama kaka.
“ Npo tayari kaka.. ntaenda dar kufanya kaz kama ulvyoniagiza.” Nilimwambia.
“ Safi, lakin kabla sijakupa kazi yangu nataka ufanye jambo…”
“ Jambo gani?”
“ Mtukane huyo MUNGU wako.. sema neno lolote baya kumuhusu.”
“ Nipo tayari kufanya lolote lile! Lakini hilo hapana aiseee. Siwezi fanya.” Nilimwambia.
“ Basi kama hutak ondoka.. hakuna kazi..’ Alniambia.
Nlikubali! Nilipiga hatua kuelekea nje, lakini kabla sijafika mlangoni, aliniambia ananitania, hivyo nijiandae kwa safar ya dar.
“ Utakapokuwa unazinunua usisahau kuzifunga kwa juu ili mbegu zisimwagike.: ALiniambia.
“ Usjali kuhusu hilo.” Nilimwambia.
……………………..
Siku ya pili asubuhi sana, nilipanda gari hadi dar.
Nilichukua chumba guest kisha nikainga mtaani. Katika zurula zurula mitaa ya mbezi mwsho, nilikutana na mtu ambaye alinifanya nitetemeke. Maisha yangu yote sikuwah kuogopa wala kuwa na hali ile.
“ Aaa…aaaaa…’ Nilitaka kumsimamsha nilishindwa. Yule dada alinipita pasipokusema neno. Nilijitutumua na kumfata kwa nyuma.
“ Sa…sa…….sa….’ Nlitaka kumwambia samahan lakn nilishndwa.
Kiukwel alkuwa ameichota akil yangu kabisa, yaan nlipomuona tu, nilijua yeye ndio mke wangu. Nilimpenda gafla bin vuu. Nikiwa nababaika mbele yake ni kama alijua shida yangu. ALinisogelea na kunitaka ntulie.
Nilivuta hewa ndani kwa nguvu kisha nikatoa nje.
Niljikaza sana kisha nikafungua mdomo wangu.
‘ Dada sikufahamu wala hunifahamu… lakini nitakuamba ukwel wa moyo wangu, ukiniona kichaa sawa, ukiniona Malaya sawa…vyovyote vile utakavyoniona ni sawa. Ukwel wa moyo wangu ni kuwa nilipokuona tu akili yangu iliniambia wewe ni mke wangu..japo sikujui, sijui tabia zako na sijui chochote kile kukuhusu..naomba uwe…. Mke… wangu..” Nilimwambia nikiwa natetemeka.
“ Mmmh!’ ALiguna yule dada kwa aibu. Aliangalia kushoto na kulia ksha akanitaka nimpe simu yangu.
Nilimpa.
Aliandika namba yake kisha akaondoka pasipokusema lolote.
“ Uuuh…uuuuuh…uuuh” Nilihema na kuchuchumaa chini.
………………..
Majra ya jioni nilirudi kwenye lodge nliyofikia. Nilibadilisha nguo kisha nikatoka nje, moja kwa moja nilekea mbezi mwisho kwa godi. Niliingia kwenye danguro moja nikamchukua kahaba mmoja na kutoka nae nje.
“ Nahitaji tuongee biashara..” Nlmwambia.
“ Kawaida elfu 10, kwa mparange elfu 20…na pekua elfu 30..” ALiniambia.
‘ Sihitaj huduma hio.” Nilimwambia huku nikiifungua wallet yangu na kutoa noti kadhaa za elfu kumi kumi. Nilimkabidh paspo kuzihesabu na kujua zipo sh ngapi.
“ Ya nn hii?” aliniuliza.
Mkiwa wavivu kucoment namimi nakuwa mvivu kupost hivyo comment kwa wingi jamani ili mnie mizuka
# PIA USISAHAU KUNI FOLLOW ILI USIWE UNAPITWA NA STORY ZANGU FAIDA YA KUNI FOLLOW NI KUWA WA KWANZA KUPATA STORY KILA NINAPO POST

No comments