24 SITASAHAU YALYONIPATA WAKATI NAFANYA KAZI YA KUNUNUA SALAMA ZLZOKWSHA TUMIKA
Sehemu ya Ishilini na Nne ( 24 )
********
“ Hata iweje ndugu zangu siwezi kumuomba radh mtu aliyewaua wazaz wangu! Huyu mnayemtukuza yeye ndie aliyewaua baba na mama…” Niliwaambia machozi yakiwa yananitoka.
Wote waliduwaa.
“ Kwanza baba kabla hajafa alikuwa na ugomvi nae mkubwa sana. Nna uhakka baba mwenyewe hatak azikwe na kaka! Hataki..” Nliwaaamba machozi yakinitoka.
Ndugu waliangaliana kwa mshangao.
“ imetosha sasa..imetosha…yaan inafka hatua kunizingia hayaaaa… au unazan nna mpango wa kuchukua hzi mali za wazeeee?” Aliongea kaka kwa uchungu sana. Alisimama pale alpokaaa akawa anaelekea kwenye gari lake. Ndugu haraka haraka walmfata na kumtuliza. Walmtaka apunguze jazba ili tuweze kuongea.
“ Nawezaje? Nawezaje kukaa hapa wakati mdogo wangu ananishtumu kwa mambo ambayo hayapo? iNawezekanaje? Eeeh hebu fikiria.. mim naweza kumdhuru baba yangu mwenyewe? Nawezaje?” Aliulza kaka kwa uchungu sana.
Baba mdogo na mjomba walmshka mkono wakamleta hadi pale tulpokaaa.
“ Kama huyu anakuwepo hapa mm naondoka.” Niliwaambia.
“ Ondoka…uwepo wako hapa unaleta shida tu! Unawezaje kumwambia kaka yako hivyo.” Aliongea shangazi.
“ Aaaah!
“ Unashangaa nn! Ondoka? Hvi unawezaje kusema kaka yako kawaua wazaz wako inawezekana vipi?’ Ndugu wengine walidakia.,
Wote walnvama kwa maneno hadi nikaona kero! Hakikuwa kikao tena! Bal yalkuwa n malumbano. Walinshtumu na kunitaka niondoke eneo lile haraka iwezekanavyo. Nam nlkataaa. Sikuona kama ni sawa.
“ Nikondoak utakuwa usalti mkubwa sana kwa wazaz wangu..haiwezekan.” Niljiambia moyoni.
Nikiwaza hilo, nilipata jambo la kufanya. Nilitembea haraka haraka had kituoni! Nlmpigia yule mpelelezi akaniambia niende ofsin kwake.
“ Kuna jipya?” ALiniulza.
“ Ndio lipo.” Nlmwambia.
“ Nakusklza.”
‘Muuaji namjua..muuaji namjua kabsaaaa.”
“ unasema kwel?”
“ Ndio! Muuaji wa baba na mama ni kaka? inaweza ikawa sio yeye, lakin yeye ndye alyewalpa wauaji..naomba nieleweni katika hlo.”
“ Mmmmh!” ALguna Afande! Pasipokuongeza neno alinipa karatasi na kunitaka niandike maelezo
Niliandka.
…………………..
“ Nashukuru kwa maelzo yako! Nitayafanyia kaz! Kukiwa na ukwel wa aina yoyote ule nitaenda kumkamata kaka yako.” Alinambia baada ya kumaliza kuandka.
“ Kwanni usiende kumkamata sasa?” Nlmuulza.
“ Mambo hayaend hivyo! Humkamat mtu kwasababu tu fulan kasema ni muhalfu! Uchunguz ndio unatuwezesha kuwakamata wahalfu na wala sio maneno ya mtu. Hvyo kuwa na subira.” Aliniambia.
Niliachana nae na kurud msbani.
Nilikuta misa imeshaanza. Padri alkuja na wanajumuiya walkuwepo pale wakiimba. Nilijunga nao. Nusu saaa mbele, baada ya misa kuisha, na watu kuubeba mwl kuelekea makaburin, difenda ya polisi ilifka.
“ Safi sana.. “ Nlijsemea moyoni. Nlpomuona yule mpelelez moja kwa moja nljua kaka amekuja kuchukuliwa. Lakini wakat mm nawatazama polisi kwa furaha, ndugu weng walkuwa wananitazama mm na kunongonezana.
Mplelez alinisogelea hadi nlipokuwa na kunionesha kibal cha kunikamata.
“ Upo chin ya ulinzi kwa kosa la mauaji ya wazaz wako.” ALiniambia.
“ hapana sio mim! Mtu niliyekuambia ni kaka, yule pale..” Nlmwamba yule mpelelezi.
“Paaaah..” ALnpiga kibao na kunitaka nitulie.
Niliduwaa.
“ Tunaushahdi wote unaonesha wewe ndye muuaj! Hivyo kuanza sasa upo chini ya ulinzi.” ALiniambia.
“ analaana huyu mtoto…” Niliwaskia baadh ya ndugu wakiambana. Walinitetea na kuniombea mabaya. Nikiwa hoi hata sijuk chakufanya polis walinifunga pingu na kuniingiza kwenye defender.
Mkiwa wavivu kucoment namimi nakuwa mvivu kupost hivyo comment kwa wingi jamani ili mnie mizuka
# PIA USISAHAU KUNI FOLLOW ILI USIWE UNAPITWA NA STORY ZANGU FAIDA YA KUNI FOLLOW NI KUWA WA KWANZA KUPATA STORY KILA NINAPO POST

No comments