Header Ads

Header ADS

Chombezo: Nipe kidogo sehemu ya kumi (10) MWISHOOO

 SIMULIZI ZA MAPENZI

 




Baada ya wiki moja akaenda kiuchawi kwa mumewake wa mwanzo nakuchukua mwili wake kimiujiza kisha kumpeleka uwanjani ruvu wanapokutana wachawi wote.


"Amkaaaaaaaa"


Alimwamsha uyo mwanaume aliyekuwa amelala ajielewi


"Haa nipo wapi nyinyi wakina nani msiniue tafadharini"


Alijitetea Baba priska


"Hahhahahhaa hahahhaaaa utakufa vibaya sana leo mashakaa lete kisuuu"


Aliamuru Maria kisha kimiujiza akawekwa kwenye meza kubwa uku akiwa kama amefungwa asiweze kutoka.


Kile kisu kilikuwa kikali sana akakatwa miguu na wachawi waliokuwa karibu wakaanza kugombania nyama nakula alikatwa kiungo kimojakimoja adi mwisho walipomaliza kichwa alichinjwa kama kuku damu ikakingwa nakunywa uku wakishangiria sana


Kulipokucha ukatangazwa msiba wa babayake priska taarifa ile akaipata Maria ambae nayeye alihudhuria mazishi uku ukwel akiujua wanazika mgomba na sio binadamu alijikuta akicheka sana watu wanaulilia mgomba.


CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/


Baada ya mazishi kumalizika Maria alimchukua mwanae priska nakuondoka nae nyumbani kwake.


Mumewake alikuwa chini yake ivyo hakumuuliza chochote kuhusu uyo binti wa mkewe.


Maisha mapya yakaanza kwa priska akiishi vizuri na mamayake ambae alimpenda sana sababu alitawa arithi mikoba ya uchawi.


Baada ya miezi michache kupita Maria akamwita ndani binti yake nakumkabidhi uchawi ambapo mwanzo aliogopa ila kutokana na vitosho alivyopewa akakubali nakuwa mshirika sasa.


Walishirikiana mama na mtoto sasa kuwatesa ndugu, marafiki, majirani uku mara kwa mara wakiua watu nakupeleka nyama kwa wachawi wenzao ajari azikuisha kilasiku mitaani.


Priska alikuwa amezaa na mume wa mtu mtoto mmoja wa kiume.


Basi ikafika wakati wake atoe kafara ya damu yake kabisa akaamua kumtoa uyo mwanaume wake ambae alikufa kwa ajari ya gari.


Wakazika mgomba na mwili ilipelekwa kuzimu kuliwa kwa furaha sana.


Walianza kuingia makanisani nakuwajaza roho chafu misikitini pia walikuwa wanaingia nakujifanya waislam mchana au Usiku wanafika uchi wakiwanga.


Chuki, wivu masengenyo yakatawala kwa watu sehemu za ibada zikawa sehemu za kugombania mabwana kuibiana pesa au vitu vingine chuki majivuno watu kujionyesha wanapesa sana baada yakumwabudu mungu ikawa ni sehemu zakufanyia machafu yote ni kazi zao.


Wanasemaga za mwizi arobaini ata za mchawi pia ni ivyo siku moja waliamua kwenda kanisani kuwanga usiku ilikuwa na lile kanisa linanguvu sana za mungu walinasa wote wachawi watano walikuwepo adi asubuhi kunakucha watu wanaamka nakuwaona ilikuwa aibu sana kwao kibaya zaidi wapo uchi wa mnyama kuna waliowajua Maria na Priska hawakuamini walibaki wanashangaa tu wenye simu zao wakaanza kupiga picha ilikuwa tukio la kustaajabisha sana.


CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/Adi pale mchungaji alipokuja nakuwatoa kwa maombi mazito mwisho akawaingiza kanisani uku watu wamejaa uchawi ukatolewa nakuchomwa moto kwani walikuwa na ungo zao pamoja na uchawi mwengine.


Baada ya apo wakafanyishwa sala ya toba nakuokoka ushirikina wakaacha.


Watu walishangiria kuona wachawi wamekubali kubadirika tangu siku iyo Maria na mwanae wakawa wanashiriki kanisani priska amepata mume na ameolewa tayari ila wale wachawi bado wanamuandama sana Maria ambae anajikuta akitamani kuridiana nao japo amekuwa akimwabudu mungu.


******


Siku ya safari ikafika kwenye gari wakiwa watatu Kelvin, Brown na monalisa walianza safari yao mapema sana adi jioni walikuwa wameshafika kwa mtaalamu.


Walikuta watu wachache bahati nzuri Kelvin anajuana na uyo mganga aliingia kumsalimia baada nakumuelezea tatizo la ndugu yake mganga akamwambia wakapumzike Kesho asubuhi waje.


Basi baada ya apo waliondoka nakutafuta chumba wakapumzika adi kesho yake waliwahi nakuanza tiba ambayo haikuchukua muda mrefu sana uyo mganga alikuwa kiboko aliutoa uume wake nakumpaka dawa apo apo ulisimama adi mishipa ikatoka Brown hakuamini alitamani ambebe juu mganga alifurahi sana.


Monalisa na Kelvin waliokuwa nje walishangaa kunanini Brown mbona anacheka sana ikabidi waingie wakapigwa butwaa kumuona Brown yupo sawa Monalisa alimrukia mumewe nakumkiss adi mganga alipomtoa amalize kazi yake kwanza.


Masaa mawili yalitosha Brown akawa mzima.


Hawakutaka kuchelewa wakarudi lodge waone inafanya kazi au vipi uko ndan hakuna kuandaana wala nini kila mtu alikuwa na hamu na mwenzie wakajitupa kitandani nakuliamsha dudeeee mbaka kunakucha


Ilikuwa kama ndo wamekutana mara ya kwanza usiku kucha walikata kiu yao adi asubuh akuna aliyeweza kuamka.


CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/


Kelvin alienda kuwagongea waondoke wakamwambia tangulia alijikuta akicheka sana.


Walishinda adi jioni safari ikaanza walirudi nyumbani.


Brown alijiona kidume haswa wiki moja ilitosha kumbadirisha nakuurudia uhandsome wake uku akimpa mkewe dozi ya uhakika kipindi kirefu kilipita bila kukutana.


Baada ya mwaka mmoja monalisa akapata ujauzito upendo kwao uliongezeka nakuishi kwa amani kwenye ndoa yao.


BONYEZA HAPA KUSOMA MAKALA ZA MAFANIKIO


MWISHO




No comments

Powered by Blogger.